TANZIA Profesa Handley Mafwenga, Mtanzania mwenye shahada 9 afariki dunia

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Mafenga.jpg

Aliyekuwa Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu Daraja la Kwanza wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), Profesa Handely Mwafwenga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Mwafwenga aliyekuwa na elimu ya digrii saba na shahada tatu za uzamivu (PhD) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo 19, 2023, wakati akipatiwa matibabu ya figo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na familia yake kupitia kwa mdogo wake, Innocent Mwafwenga ameeleza kuwa Profesa Handely ambaye ni kaka yake alifariki majira ya saa saba usiku.

“Jana alikuwa amezidiwa ghafla na alipelekwa jengo la wagonjwa mahututi (ICU) na tulipoenda asubuhi ya leo tumemkuta ameshafariki,”amesema Innocent.

Innocent amesema Profesa Mwafwenga kwa muda mrefu alikuwa anasumbuliwa na tatizo hilo japo haikufahamika lakini baada ya kupima ikabainika kwamba anachangamoto ya figo.

“Mwanzoni alikuwa hajagundulika alikuwa anaumwa lakini tulikuwa hatujui kama ni figo lakini baadaye baada ya kupima ikagundulika na figo na alianza kudhohofika kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi,”amesema.

Innocent amesema kwa kipindi cha nyuma muda mwingi alikuwa analalamika matatizo ya mgongo lakini baada ya kuona tatizo hilo linazidi ndipo alipenda hospitali na kubainika anatatizo hilo.

Hata hivyo, Wizara ya Fedha kupitia kwa Katibu Mkuu, Dk Natu Mwamba imetoa pole kwa watumishi, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu kwa msiba huo.

Innocent amebainisha kuwa Profesa Mwafwenga aliyewai kuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameacha familia ya watu wa tano, mke na watoto wa nne.

“Watoto wake wote ni wakubwa kuna ambao wameshamaliza elimu ngazi ya vyuo na kuna baadhi wapo kazini,”amesema.

Kuhusu msiba, amesema unafanyika nyumbani kwake Mabwepande na keshokutwa wataanza safari kuelekea Tukuyu mkoani Mbeya kwa maziko.

Mwafwenga.jpg
 
R.i.p msomi
 
Bwana ametoa na Bwana ametwaa,Jina lake na lihimidiwe.Amina
 
Aisee niliona siku fulani hivi akihojiwa UTV. Ana akili sana sijui kwanini alikuwa haniungi mkono kwenye jambo langu. Amenunua eneo la ekari 7 ndiyo amejenga ghorofa pale. Vijawa wa Dar igeni mfano huu sio mnabanana kama kuku wa kisasa wakati nchi ina ardhi yakutosha.
Karibu kuna mapori mengine hayana watu
 
Back
Top Bottom