kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Raia sita wa Morocco wahukumiwa adhabu ya kifo Nchini Somalia

    Mahakama ya kijeshi Kaskazini mwa Somalia imewahukumu kifo raia sita wa Morocco ikielezwa kuwa wana uhusiano na kundi la kigaidi. Majina ya wahusika ni Mohamed Hassan, Ahmed Najwi, Khalid Latha, Mohamed Binu Mohamed Ahmed, Ridwan Abdulkadir Osmany na Ahmed Hussein Ibrahim, wana nafasi ya kukata...
  2. JamiiForums Tanzania Sura ya dada iliyomfufua mtu kutoka kwenye kifo

    Dunia ina maajabu na hayajawahi kuisha maajabu hayo...kila unaposikia moja la kuajabisha jua kuna mambo elfu moja ya kuajabisha zaidi ya hilo lakini hujalijua.. Essie Dunbar.. mwanamke aliyekuwa na miaka 30 mwaka 1915 alikuwa anaugua ugonjwa kifafa (epilepsy attack). Siku moja akadondoka...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea ikiwa marehemu aliombwa akifa azikwe sehemu fulani lakini akazikiwa sehemu nyingine?

    Nini kitatokea ikiwa marehemu aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini akazuiwa sehemu nyingine? Naomba kufahamishwa wajuzi wenye historia waliowahi shuhudia matukio haya ikiwa marehemu wakati wa Uhai wake aliomba/alitaka akifa azikwe sehemu fulani lakini baada ya kifo Ndugu/jamaa...
  4. JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Salaam, Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia Kunako Utawala wake Hayati Mwinyi alifanya mambo mengi...
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  6. JamiiForums Tanzania Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

    JE WAJUA? Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea... Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌 R.IP Rais Mwinyi
  7. W

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kifo cha Bilionea Msuya

    Historia fupi juu ya Sakata la Kifo cha Bilionea Msuya, Kuuawa kwa Dada yake, Kukamatwa kwa Mke wake hadi Kuachiwa kwake Agosti 7, 2013 Saa 7 Mchana ya Jumatano, taarifa mbaya za mauaji zinaanza kusambaa Jijini Arusha zikieleza kuwa Mfanyabiashara Maarufu na Mmiliki wa Migodi ya Madini ya...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Hayati Magufuli inavyowakosesha amani wapinzani. Hata baada ya kifo chake Bado kivuli chake kinawatesa

    Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mzee Masauni Yusuf Masauni

    23 February 2024 SALAMU ZA RAMBIRAMBI Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Hussein Ali Mwinyi amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha baba mzazi wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mbunge wz jimbo la Kikwajuni Mh. Hamad Yusuf Masauni kilichotokea leo katika...
  10. JamiiForums Tanzania Kifo cha Lowassa: Rekodi ziendelee kuwekwa sawa vingenevyo historia itapotea

    Lowassa hakuwa Mmasai bali ni Mmeru aliyezaliwa umasaini; Hakuna mtu aliyefika matanga ya Lowassa na kupata nafasi ya kuongea ambaye hajawahi kumsema Lowassa vibaya; Lowassa na Kikwete hawajawahi kuwa marafiki bali ni watu waliofanya mambo mengi pamoja; Mahusiano ya Lowassa na Kikwete ni ya...
  11. JamiiForums Tanzania Si kila mwana CCM ni wa kulilia akifa wanatutesa sana wakiwa hai

    Great Thinkers. Politicians ni binadamu kama binadamu wengine tu. Leo hii misiba tanzania iko mingi lakini ya wanasiasa inapambwa sana. Wanasiasa wenyewe ndo hawa CCM wanaotutesa na ugumu wa maisha pamoja na ubadhilifu. Kuna wanasiasa wa kulilia ila wengine hasa walio wengi tunasema asante mungu
  12. JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha kifo cha Edward Lowasa? Kenya wadai ni saratani, Tanzania wanasema ni ugonjwa wa mapafu, shinikizo la damu, na utumbo kujikunja!

    Chanzo cha vifo vya viongozi wetu huwa kinaleta mkanganyiko, sasa ni kuhusu nini hasa kimesababisha kifo cha Lowasa.
  13. JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

    Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye. Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto. Dua ZENU wadau ndio...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya DRC yataka kurejesha adhabu ya kifo kwa wanajeshi wanaopatikana na hatia ya uhaini

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ina lengo la kurejesha adhabu ya kifo, ambayo ilisitishwa miaka 20 iliyopita, kwa wanajeshi wanaopatikana na hatia ya uhaini dhidi ya waasi wa M23, kulingana na ripoti ya baraza la mawaziri. Hukumu za kifo hutolewa mara kwa mara na mahakama nchini...
  15. JamiiForums Tanzania Makonda awaomba CHADEMA kusitisha shughuli zao za kisiasa, kuomboleza kifo cha Lowassa

    Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amekiomba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha shughuli zao za kisiasa ili kuungana na CCM kuombeleza msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyayi Lowasa. Makonda amesema mjini Songea Mkoani Ruvuma wakati akiahirisha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wataahirisha maandamano kufuatia kifo cha Edward Lowassa?

    Inajulikana kwamba Edward samefarika akiwa kada wa CCM, lakini 2015 alikuwa Mgombea Urais kupitia CHADEMA. Je, CHADEMA watampa heshima stahiki kwa kuahirisha maandamano?
  17. JamiiForums Tanzania Kifo cha Lowassa kuombolezwa kwa Siku 5 kuanzia leo

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza siku tano za maombolezo kuanzia leo February 10,2024 kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Edward Lowassa (70) ambaye amefariki Dunia saa nane mchana leo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam...
  18. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Zimbabwe waunga mkono kufutwa kwa adhabu ya Kifo nchini humo

    ZIMBABWE: Waziri wa Habari wa Zimbabwe, Jenfan Muswere amesema Bunge la nchi hiyo limekubaliana na pendekezo la Serikali kufanya mabadiliko ya Sheria ya Adhabu yanayotaka kufutwa moja kwa moja kwa hukumu za Kifo. Waziri huyo amesema uamuzi huo unatokanana na Maoni ya Wananchi ambapo wengi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Serikali, CCM na Polisi wanapaswa kujiuliza kwa nini wananchi wakiona askari polisi anashambuliwa hawatoi msaada?

    Juzi hapa kulikuwa na tukia la askari Polisi mkuu wa kituo cha polisi Mwanakwerekwe, Zanzibar, akishambuliwa hadharani, na wananchi wakishangilia japo waliona askari alikuwa amezidiwa (angalia picha hapa chini). Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharib, amewalalamikia wananchi kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

    MwanaCCM na MwanaJF Thadei Ole Mushi amefariki dunia. Ole Mushi alikuwa anaugua kwa muda mrefu. Thadei amefariki duniani asubuhi hii katika hospitali ya moyo JKCI, Muhimbili. Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema peponi na atupe nguvu na faraja. Zaidi soma Ole Mushi ni mgonjwa sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…