Bunge la Ghana lapiga kura na kuifuta hukumu ya kifo katika Taifa hilo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Ghana imeingia katika orodha ya Nchi za Afrika ambazo zimeiondoa hukumu hiyo miaka ya hivi karibuni.

Taifa hilo lina Wanaume 170 na Wanawake 6 ambao walihukumiwa kifo lakini adhabu yao sasa itakuwa kifungo cha maisha gerezani.

Mara ya mwisho Ghana kutekeleza hukumu hiyo ilikuwa Mwaka 1993, kwa uamuzi huo imekuwa Nchi ya 29 kwa Afrika kuifuta hukumu hiyo na ya 124 Duniani kufanya hivyo.

Mbunge aliyewasilisha hoja Bungeni, Francis-Xavier amesema hukumu ya kifo inamfanya mfungwa kuona kila akiamka asubuhi kuhisi siku yake ya kifo imefika hali ambayo inaathari kisaikolojia.
---

Ghana parliament votes to abolish death penalty
Ghana's parliament has voted to abolish the death penalty, joining a long list of African countries that have done so in recent years.

The country currently has 170 men and six women on death row, whose sentences will now be replaced by life imprisonment. The last execution took place in 1993.

Execution has been the mandatory sentence for murder in Ghana.

Opinion surveys suggest that most Ghanaians approve abolition.

Last year seven people were sentenced to death in Ghana - but none were executed. Treason has also been punishable by death in Ghana.

The bill to amend the Criminal Offences Act was put forward by MP Francis-Xavier Sosu and had the backing of the parliament's Committee on Constitutional, Legal and Parliamentary Affairs.

A London-based campaign organisation, the Death Penalty Project (DPP), had worked with Mr Sosu to get the law changed.

A statement from DPP says Ghana is the 29th African country to abolish the death penalty, and the 124th globally.

In recent years many African states have abolished the death penalty, including Benin, Central African Republic, Chad, Equatorial Guinea, Sierra Leone and Zambia.

Mr Sosu said that "on death row, prisoners woke up thinking this could be their last day on earth. They were like the living dead: psychologically, they had ceased to be humans.

"Abolishing the death penalty shows that we are determined as a society not to be inhumane, uncivil, closed, retrogressive and dark."

He added this would pave the way to a free and progressive society reflecting "our common belief that the sanctity of life is inviolable".

Source: BBC
 
#####

Hivi ni bunge au wabunge?
 
Hata Marekani walishawahi kuifuta kisha wakairudisha.

Ni jambo la muda tu.

Watetezi wa kuondoa hukumu ya kifo hawana hoja yoyote, ni kama watetea ushoga, hawana hoja yoyote.

Eti hukumu inamuathiri mfungwa, sijui inamtesa kisaikolojia, sijui nini. Hoja za hovyo kabisa.

Mtu ambae hajali thamani ya maisha ya wengine ujali thamani ya maisha yake ili iweje? Mfano mtu kama yule dereva wa hilux aliegonga wafanya mazoezi Mwanza juzi kwa maksudi kabisa na kisha kukimbia, yeye ujali thamani ya maisha yake ili iweje? Huyo akinyongwa useme kaonewa?

Mtu abake mtoto mdogo, defenseless person hadi amuue, huyo akinyongwa tuseme kaonewa, adhabu ya kifo haina huruma, yeye alishindwa kua na huruma na huyo mtoto?

Mtu kama yule mwanajeshi wa Congo alieenda kuua ndugu zake 13 bila sababu yoyote ya msingi na kisha kukimbia, yule akinyongwa tuseme kaonewa, hukumu ya kifo ni ya uonevu sijui na ujinga gani.

Mtu ambae hajali thamani ya maisha ya wengine hakuna sababu ya kujali maisha yake.
 
Hapa kwetu napendekeza mafisadi na wanao liingiza taifa kwenye mikataba mibovu pia wapewe hukumu ya kifo tu, maana wapo wanao kuja kugundua kwamba tumeingizwa kwenye mikataba ya hovyo na kisha wanaifuta (then wananchi wanaanza kuwalaumu walioifuta mikataba mibovu, na kuwasahau kabisa walio ingiza taifa kwenye mikataba hiyo ya hovyo)
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom