kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwigizaji Vin Diesel afunguliwa kesi ya Unyanyasaji wa Kingono dhidi ya Mfanyakazi wake

    Nyota wa Filamu za Fast & Furious, Vin Diesel amefunguliwa mashtaka ya Unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Asta Jonasson, Mwanamke aliyewahi kuwa Msaidizi wake mwaka 2010. Mwanamke huyo amedai Septemba 2010 wakati wakirekodi vipande vya Filamu ya Fast Five aliitwa chumbani kwa Diesel akiwa peke...
  2. L

    JamiiForums Tanzania je kesi ikufutwa mahakamani(mahakama ya mwanzo)kimakosa na hukuridhika na maamuzi hayo je taratibu zipi kupata haki yako

    habari wanaJF kesi mahakamani hususan mahakama za mwanzo ikifutwa na kama kumetokea hitlafu katika ufutaji kesi hio ni taratibu gani za kuchukua kufufua kesi hio na kama hujarizika na ufutaji wa kesi ni zipi taratibu za kufanya.kupata haki zako kuendelea na kesi
  3. JamiiForums Tanzania Marvel na Walt Disney zampiga chini Jonathan Majors kutokana na kesi ya Unyanyasaji dhidi ya aliyekuwa Mpenzi wake

    Hatua hiyo imefikiwa baada ya Mahakama kumkuta Mwigizaji huyo na hatia ya kumpiga na kumnyanyasa kimwili, Grace Jabbari, aliyekuwa mpenzi wake amnaye alimfungulia Kesi Majors Machi 2023. Katika mashtaka, Grace alidai alikuta Meseji za Mapenzi kwenye Simu ya Majors na alipojaribu kuchukua SImu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Mbeya yafuta Kesi dhidi ya Wasanii Bi. Sifa Boniventura na wenzake

    15 December 2023 Mbeya, Tanzania WIMBO MNATUONA MANYANI Hii ni baada ya jamhuri kuamua kutoendelea na kesi hii iliyovuta umma mpana kuijadili huku ikiituhumu serikali kubana uhuru wa kujieleza. Wasanii waimbaji Sifa Boniventura Bujune, Salome Mwampeta na Hezekiel Miliyashi walifunguliwa...
  5. JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA. Waendelea kuwa wanachama wa CHADEMA. Kuendelea na Ubunge wao

    Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji . Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi . ==== Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa...
  6. JamiiForums Tanzania Katekista Katoliki ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua Mlei

    ONYO: Mauaji haya ya watumishi wa madhabahuni yasihusishwe na dini yeyote ile, huu ni utashi wa mtu, japo sijasikia huko TAG wakiuana ama kubaka watoto> Mahakama kuu kanda ya Iringa iliyofanya kikao chake mkoani Njombe imemhukumu kunyongwa hadi kufa Daniel Philipo Mwelango miaka (42),katekista...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mwarobaini wa kesi yoyote

    Habari Wana jamii forum nimekuja na habari ya KESI kama wengi tujuavyo Kuna WAKATI MTU anapata KESI anashtakiwa au anashtaki HALAFU anapoteza HAKI yake aidha Kwa kutojua kuongeza au watoa HAKI kuhongwa na MTU anadhulumiwa Nimekuja na suluhisho Kwa YEYOTE MWENYE KESI ya mahakamani haijalishi...
  8. JamiiForums Tanzania Marealle afungua kesi kutaka bibi yake afukuliwe mahala alipoishi miaka 80

    Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro,imeliamuru baraza la Ardhi wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro,kurejea upya mgogoro wa Ardhi wa familia maarufu ya chifu Marealle kwa kutembelea eneo linalobishaniwa na wanandugu hao na kurekodi upya mipaka na kisha kutoa maamuzi chini ya mwenyekiti...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Njombe: Aliyeua mtoto kulipiza kisasi ahukumiwa kunyongwa

    Mahakama Kuu iliyoketi Njombe, imemhukumu adhabu ya kifo, Happiness Mkolwe baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua mtoto Jackson Kiungo, ikiwa ni kulipa kisasi kwa mama yake kuwa na uhusiano wa kimapenzi na na mumewe. Inaelezwa kuwa Happiness, alimteka nyara mtoto huyo wakati akitokea saluni...
  10. JamiiForums Tanzania Masheikh 6, leo ijumaa terehe 1/12/2023, wameshinda kesi lakini wamechukuliwa tena na vyombo vya dola

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA TAARIFA YA KESI ZINAZOENDELEA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA MASHEIKH 6, LEO IJUMAA TEREHE 1/12/2023, WAMESHINDA KESI LAKINI WAMECHUKULIWA TENA NA VYOMBO VYA DOLA Masheikh hao ni sehemu ya mamia ya Waislamu walio kamatwa na serikali ya Tanzania mika 10, iliyopita na...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi kumng'ang'ania mtuhumiwa na hali ya kuwa walalamikaji hawana mpango na kesi tatizo ni nini?

    Wakuu kuna jamaa yangu alipatwa na tatizo wakawa wamempeleka polisi, kule polisi akapata dhamana kwa sababu kosa lake lilikuwa lina dhamana, akaenda kuzungumza na wale waliokuwa wanamshitaki na wakawa wameelewana kuwa mambo yasiendelee mbele zaidi yaani kufika mahakamani. Sasa changamoto...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mtu kauza kiwanja. baada ya kupokea hela kagoma kutransfer umiliki wa kiwanja chake kwenda kwa mnunuzi

    habari wadau. wataalamu wa sheria naomba majibu yenu. JUMA anamiliki kiwanja chenye sqm 1200. amepatwa na shida ameamua kumuuzia AMINA sehemu ya kiwanja chake. kamuuzia sqm 400 na yeye JUMA amebaki na Sqm 800. wameandikishana kwenye mkataba wao wa makubaliano. kuwa baada ya kupokea hela...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ni mingi sana lazima kesi zitaishia Polisi

    Nimemsikia waziri Mkuu akiongea na ma OCD juu ya kesi 50 za wanafunzi kupata mimba kuishia POLISI. Mawazo yangu juu hali hiyo, Miaka 30 ni mingi mno. Hivyo hata polisi nae ni binadamu, familia nao huwa na ubinadamu miaka 30 sio kitu rahisi. Ushauri wangu utaratibu ungekuwa kama ifuatavyo...
  14. JamiiForums Tanzania Rapa Sean 'Diddy' Combs anatuhumiwa kwa ubakaji katika kesi mpya

    P. Diddy amekumbwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono. Nguli huyo ameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Manhattan akidaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke ambaye alimnywesha dawa za kulevya mnamo mwaka wa 1991 katika mojawapo ya kesi zilizofunguliwa chini ya Sheria ya Watu Wazima...
  15. JamiiForums Tanzania Msanii Ditto afungua kesi ya Madai ya Tsh. Bilioni 6 dhidi ya Multi Choice (DSTV)

    Mwanamuziki, Lameck Ditto amewasilisha vielelezo tisa wakati akitoa ushahidi katika kesi ya madai dhidi kampuni ya Multichoice Tanzania Limited, akiituhumu kutumia wimbo wake bila ridhaa yake katika kipindi cha kampeni ya Afcon 2019. Ditto ambaye jina lake halisi ni Dotto Bernard Bwakeya...
  16. JamiiForums Tanzania Wakili Mpole Mpoki kufungua kesi 8 kupinga kusimamishwa Uwakili

    Wakili Mpole Mpoki aliyefutiwa uwakili kwa miezi sita, anakusudia kufungua kesi nane ikiwemo ya kikatiba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki kupinga kusimamishwa kufanya kazi hiyo. Mpoki amesimamishwa uwakili Novemba 20, 2023 na Mwenyekiti wa Kamati ya...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya polisi wanaodaiwa kumuua muuza madini: Shahidi adai washtakiwa walitumia gari la OCD

    Gari la Polisi lililodaiwa kutumiwa na washtakiwa wa kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis kwenda katika kituo cha Polisi Mitengo Mtwara na kisha kuondoka na mtu aliyebebwa kwenye machela limetajwa kuwa lilikuwa ni la Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD) ya Mtwara. Hayo yamebainishwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usiruhusu haya ya Mwabukusi na kesi ya kubumba ya uwakili, sifa mbaya yote inabebwa na wewe na si Jaji Feleshi wala Jaji Ntemi

    Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake. Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako. Tafakari matendo ya wateule wako!
  19. JamiiForums Tanzania Vurumai zaibuka kwenye kesi ya Mwabukusi, Mpale Mpoki afungiwa miezi 6, Mawakili Wajitoa

    Haya ndio yaliyojili Kwenye Mahakama kuu leo , Jaji Anataka kuendesha kesi kienyeji utadhani Katiba ni ya familia yake . Lengo kuwafurahisha waliomtuma . Hebu jionee mwenyewe . ====== Jopo la mawakili tisa likiongozwa na Wakili Mpale Mpoki limefika Mahakama Kuu, Dar es salaam, Kanda ya Ardhi...
  20. JamiiForums Tanzania Shetani kashindwa kwa mara nyingine kesi ya Sabaya

    NA HAYA NDIO MAAMUZI YA MAHAKAMA YA RUFAA KATIKA KESI YA LENGAI OLE SABAYA. Well,Kwanza Nitangulize Kusema kwamba Mahakama hii ya Rufaa ndio Mahakama ya Mwisho Kabisa katika Ngazi ya Maamuzi ya Kimahakama Nchini Tanzania, Shauri hili baada ya hapa limefungwa Rasmi....tuendelee..👇 Hili Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…