Masheikh 6, leo ijumaa terehe 1/12/2023, wameshinda kesi lakini wamechukuliwa tena na vyombo vya dola

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,989
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

TAARIFA YA KESI ZINAZOENDELEA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA

MASHEIKH 6, LEO IJUMAA TEREHE 1/12/2023, WAMESHINDA KESI LAKINI WAMECHUKULIWA TENA NA VYOMBO VYA DOLA

Masheikh hao ni sehemu ya mamia ya Waislamu walio kamatwa na serikali ya Tanzania mika 10, iliyopita na kufunguliwa mashtaka mbalimbali ya ugaidi.

Baada ya kukaa gerezani kwa zaidi ya miaka 9, leo wameshinda kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam

Masheikh hao ni:

1. Fundi Khamisi Kamaka.
2. Issa Mussa Mustafa.
3. Eliasa Kalinda Kazana.
4. Athumani Khamisi Abeid.
5. Juma Rajab Mbonde. Na-
6. Issa Abdullah Kokoko.

Wamekua gerezani toka 2014.

Hata hivyo katika hali ya kushangaza baada ya Mahakama Kuu kuwaona hawana hatia wamechukuliwa na vyombo vya Usalama na kuondoka nao.

Shura ya Maimamu Tanzania inaendele kufuatilia kuchukuliwa tena watu hao na itatoa taafa baada ya kazi hiyo.

IMAM SHAABAN IBRAHIM, KAIMU AMIRI WA SHURA.
 
Wakati naelekea kivukoni kama niliona mahabusu mmoja akitoroka toka kwenye karandinga.

Au sijui macho yangu hayakuona sawa.
 
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

TAARIFA YA KESI ZINAZOENDELEA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA

MASHEIKH 6, LEO IJUMAA TEREHE 1/12/2023, WAMESHINDA KESI LAKINI WAMECHUKULIWA TENA NA VYOMBO VYA DOLA

Masheikh hao ni sehemu ya mamia ya Waislamu walio kamatwa na serikali ya Tanzania mika 10, iliyopita na kufunguliwa mashtaka mbalimbali ya ugaidi.

Baada ya kukaa gerezani kwa zaidi ya miaka 9, leo wameshinda kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam

Masheikh hao ni:

1. Fundi Khamisi Kamaka.
2. Issa Mussa Mustafa.
3. Eliasa Kalinda Kazana.
4. Athumani Khamisi Abeid.
5. Juma Rajab Mbonde. Na-
6. Issa Abdullah Kokoko.

Wamekua gerezani toka 2014.

Hata hivyo katika hali ya kushangaza baada ya Mahakama Kuu kuwaona hawana hatia wamechukuliwa na vyombo vya Usalama na kuondoka nao.

Shura ya Maimamu Tanzania inaendele kufuatilia kuchukuliwa tena watu hao na itatoa taafa baada ya kazi hiyo.

IMAM SHAABAN IBRAHIM, KAIMU AMIRI WA SHURA.
Kuna shida yawezekana hati ya mashtaka labda ilikuwa na makosa wanaenda kurekebisha waanze nao kesi upya
 
msumbiji magaidi ya kiislam yanaua kwann usitumie muda wako kukosoa pia kuliko kutetea mtu huna ukakika wa unachotetea

Uislamu na ugaidi wapi na wapi! Usome Uislamu acha uvivu

Umeshaambiwa wameshinda kesi👇

Back
Top Bottom