kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbona waarabu wameogopa kujiunga kwenye kesi ya SA dhidi ya Israel kule ICJ

    Hawa waarabu wamekua wakilalamika sana kwa kichapo cha Israel dhidi ya HAMAS, ila waoga likija suala la matendo, wameshindwa kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel..... Last Friday, the International Court of Justice (ICJ) concluded the first hearing of the South African case...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya yule kijana wa benki alikuwa anaibiia watu hela imefikia wapi?

    Mzuka wanajamvi, Kuna kijana flani alikuwa banker CRDB. Uzi wake uliletwa humu nadhani 2019-2020 akiwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa kuiba hela za wateja. Alikuwa akiposti mapicha ya yakujionesha insta ana hela nyingi. Nimesahau jina na link. Hivi kesi yake imefika wapi? Yoyote humu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kesi za wizi kwa njia ya mtandao

    Kumekuwa na Tabia za matapeli wengi kuongezeka kwa njia ya mtandao hususani mawakala wa kutuma na kutoa pesa. Ukienda polisi kesi za wizi wa mtandao ni nyingi mno na hazifanyiwi kazi na Wingi huo umesababishwa na Polisi hawazifatilii na wahusika hawawakamiti Sababu zikiwa ni pamoja Mawakala...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Babu Tale alivyokwepa kifungo cha kwenda jela kwa kesi ya Sheikh M Mbonde ya madai ya 250m

    https://www.youtube.com/watch?v=zEW8KhIHLF0 Chanzo: Simulizi Na Sauti
  5. JamiiForums Tanzania Uahirishaji wa kesi ni chanzo cha kupoteza muda na fedha kwa wananchi

    Je, kesi mahakamani inachukua muda gani hadi kusikilizwa? Hili ni suala linalomkabili mama mmoja mkazi wa Kawe ambaye alinunua kiwanja Mapinga kutoka kwa bodaboda mmoja anaemwamini. Hata hivyo, alipokwenda kuangalia ardhi hiyo, aligundua kwamba kuna mtu tayari ameshaanza kujenga, na baadaye...
  6. JamiiForums Tanzania Wasukuma wanaoendelea kufanya hizi mila za kimabavu zilizopitwa na wakati wapewe kesi za ubakaji, mabinti waheshimiwe.

    Hata wasukuma walioelimika waliachana na utamaduni huu lakini kuna baadhi ya maeneo bado unaendelea kwa kisingizio cha kudumisha mila, Kuna baadhi ya maeneo ya wasukuma bado elimu ya kuachana na haya mambo haijafika kikamilifu, unawakuta wachungaji wa kisukuma wamevaa mavazi yao ya asili...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hamna kesi za kijinga na za kupotezeana muda kama Kesi za Madai kwa sisi Hohehae...

    1.Yaan unaingia gharama kutafuta wakili.. 2. Inachukua muda kuendeshwa.. 3. Nado ukishinda unalipwa kwa mafungu mafungu yaani inachukua muda mtu kumaliza kiasi unachomdai.. 4. Ukishinda mdai anakata rufaa muda unazidi kwenda na ww unashida na hela yako..yaan daah 5. Dhamana zenyew wanazotupa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yaiunga mkono Israel kwenye kesi yake katika mahakama ya ICJ

    Serikali ya Ujerumani imesema iko tayari kuiunga mkono Israel katika kesi yake kwenye mahakama ya ICJ nchini Uholanzi. Kesi hiyo iliyowasilishwa na serikali ya Afrika Kusini inaituhumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki dhidi ya wananchi wa Palestina madai ambayo serikali ya Ujerumani inadai...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA, Huwa inawasaidia vipi raia wenye kesi za jinai na madai dhidi ya Jamhuri kwa kuwawekea Mawakili? Au ndo wanaishia kuwachangisha tu?

    Kuna kesi nyingi sana zilizofanyiwa hukumu na ambazo mashauri yanaendelea na wengi wa watuhumiwa ni kutokana kaya masikini sana ambao hawana uwezo wa kuweka Mawakili katika Mahakaman mbali mbali.Kwakuwa CHADEMA ni chama kinachopigania haki na demokrasia , kina program yoyote ya kuwasaidia hawa...
  10. JamiiForums Tanzania Wengi mnatokwa povu tu ila huu ndio ukweli wa kwanini SA imeamua kutetea haki za wapalestina kwa kufungua kesi ya mauaji ya kimbari dhidi Israel

    Ni aje waungwana, Ndugu waungwana hapa jakwaani kwetu kuna vijana wengi ambao wamekuwa waki comment ujinga katika thread za watu wenye akili, na elimu kubwa kushinda wao, lengo ni kutaka waonekane kuwa na wao ni miongoni mwa wale wanaowatetea, hata kama hao wanaowatetewa hakuna anaewajua hata...
  11. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumlawiti mke wake

    Mahakama ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Boniface Mtweve(28) mkazi wa kata ya Lugarawa kwa kosa la kumlawiti mke wake (27) ambaye jina lake limehifadhiwa. Awali akisomewa shitaka hilo na mwendesha mashtaka Asifiwe...
  12. JamiiForums Tanzania LIVE: Kusikizwa kwa kesi ya mauaji ya halaiki iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel

    Wanaukumbi. https://x.com/qudsnen/status/1745379031334437068?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw 🇿🇦🇮🇱 KESI YA ICJ - NCHI ZINAZOUNGA MKONO KUWAFIKISHA ISRAEL Leo, Afrika Kusini inawasilisha madai ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika mahakama ya ICJ. Inasaidia...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mwamposa na wenzake iliyohusu kusababisha vifo 20 kwenye Kongamano Moshi iliishia wapi?

    Wakuu kwema? Tarehe 4/2/2020 Mwamposa na wenzake 7 waliachiwa kwa dhamana kwenye kesi iliyokuwa inawakabili, ambapo Kongamano lililokuwa linaongozwa na Mtume na Nabii Boniface Mwamposa lilisababisha vifo vya watu 20 wakati waumini wakiwa katika harakati za kukanyaga mafuta. Mwamposa na wenzake...
  14. JamiiForums Tanzania Kesi ya Watumishi waliochepusha Mapato ya Halmashauri ya Mbeya imefikia wapi?

    Tuliambiwa humu na kwingineko kwamba Watumishi wale watafikishwa Mahakamani, tena tuliambiwa katika lugha iliyojaa Mikwara hasa, tukajua hakika wezi wale watakiona cha moto! Sasa baada ya Kimya kizito kutanda, sisi wananchi tumerudi tena kuulizia ilipofikia kesi hiyo kabambe. Naomba kuwasilisha.
  15. JamiiForums Tanzania Serikali za kiafrika zingeweza kuvumilia hili? Hapa waandamaji wangepewa kesi ya uhaini

    Hii ni video inaonyesha waandamanaji wanaounga mkono palestina wakiwa karibu na makazi binafsi ya katibu wa serikali ya marekani (waziri wa mambo ya nje) antony blinken wakimwagia vimininika vyenye rangi nyekundu karibu na gari la blinken. Cha ajabu kwa sisi waafrika hao waandamanaji hayupo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Madeleka kufungua kesi ili ukweli ujulikane kama waliouawa Vingunguti ni panya road

    Alichoandika Peter Madeleka. Hakuna “PANYA ROAD” anastahili KUULIWA bila kufikishwa MAHAKAMANI kwa mujibu wa KATIBA na SHERIA za nchi yetu. Nitakwenda MAHAMANI ili KUTHIBITISHA UONGO juu ya MAUAJI ya RAIA hao hapo. Upo USHAHIDI wa KIMAHAKAMA kwamba POLISI waliwahi KUUWA wafanyabiashara wa...
  17. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa DPP juu ya kumfutia Kesi ya Jina Pauline Gekul

    Mosi, hili shauri limefunguliwa chini ya Kifungu 128(2) cha CPA na mshtaki binafsi (private prosecutor), ambapo utaratibu huu sheria inamtaka Hakimu kwanza AJIRIDHISHE kuna ushahidi wa kutosha kabla ya kuanzisha mashtaka. Hakimu alifanya hivyo na akakubali kuanzishwa kwa mashtaka kwa sababu...
  18. JamiiForums Tanzania Mahakama yawaachia huru Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Raia Mwema na wenzake wawili

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam imeifuta Kesi Namba 407 ya 2022 ya Kimtandao katika Kundi la WhatsApp iliyokuwa ikimkabili Mwandishi wa Habari za Afya na Uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo. Uamuzi huo wa...
  19. JamiiForums Tanzania Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…