Kesi ya Mwamposa na wenzake iliyohusu kusababisha vifo 20 kwenye Kongamano Moshi iliishia wapi?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Wakuu kwema?

Tarehe 4/2/2020 Mwamposa na wenzake 7 waliachiwa kwa dhamana kwenye kesi iliyokuwa inawakabili, ambapo Kongamano lililokuwa linaongozwa na Mtume na Nabii Boniface Mwamposa lilisababisha vifo vya watu 20 wakati waumini wakiwa katika harakati za kukanyaga mafuta.

Mwamposa na wenzake walitakiwa kuendelea kuripoti kwenye kituo cha polisi wakati uchunguzi ukiendelea.

Swali ni je, kesi hii iliishia wapi? Ripoti ya Uchunguzi ulibainisha nini? Au ndio imeisha hivyo juu kwa juu kila kitu kimezikwa?

Uzinduzi wa hoteli kule Mbeya ndio ilikuwa poza poza ya kutusahaulisha kabisa na majibu ya uchunguzi wa suala hili? Mwenye kujua undani wa hili tujuze zaidi!

Kwenu Wakuu.

===

Pia soma: Mwamposa na wenzake waachiwa kwa dhamana. Najiuliza kesi ya mauaji ina dhamana? Ila ya uchochezi/ kutakatisha haina?
 
Hakuna Cha kuwafanya,wanakula na Viongozi
 
Ilifutwa, kama ya, Gekul, watu wakubwa hao, wanajulikana na mamlaka zilizo juu, Huyu akiwaambia waumin wake, kumchagua Samia, ni agizo la Mungu, nani atapinga?
Ukiwa na fedha, Mambo madogo kama hsyo hayakupi shida,
 
Wakuu kwema?

Tarehe 4/2/2020 Mwamposa na wenzake 7 waliachiwa kwa dhamana kwenye kesi iliyokuwa inawakabili, ambapo Kongamano lililokuwa linaongozwa na Mtume na Nabii Boniface Mwamposa lilisababisha vifo vya watu 20 wakati waumini wakiwa katika harakati za kukanyaga mafuta.

Mwamposa na wenzake walitakiwa kuendelea kuripoti kwenye kituo cha polisi wakati uchunguzi ukiendelea.

Swali ni je, kesi hii iliishia wapi? Ripoti ya Uchunguzi ulibainisha nini? Au ndio imeisha hivyo juu kwa juu kila kitu kimezikwa?

Uzinduzi wa hoteli kule Mbeya ndio ilikuwa poza poza ya kutusahaulisha kabisa na majibu ya uchunguzi wa suala hili? Mwenye kujua undani wa hili tujuze zaidi!

Kwenu Wakuu.

===

Pia soma: Mwamposa na wenzake waachiwa kwa dhamana. Najiuliza kesi ya mauaji ina dhamana? Ila ya uchochezi/ kutakatisha haina?
Madereva wanaposababisha vifo inakuwaje?
 
Aliwafufua wafu kesi ikafutwa.
 
Angekuwa Muislam angepewa na kesi ya ugaidi kabisa lakini kwa kuwa ni mwenzao hutosikia akishtakiwa. Hata wale walioua watafiti wa udongo kule Dodoma tena padri akiwaita kwa kipaza sauti uliwahi kusikia kesi yao?
 
Back
Top Bottom