kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Sangu: Mtu anaajiriwa leo anataka kuwa milionea, anaanza kuwaona wengine sio wajanja

    Serikali imesema itachukua hatua stahiki za kuwawajibisha Watumishi wa umma wanaokiuka maadili ya utumishi na kushindwa kusimamia miradi ya maendeleo ipasavyo pamoja na viongozi wanaodhalilisha Watumishi wa Umma hasa kwenye ziara za ukaguzi wa miradi ya maendeleo Hayo yamesemwa jana Januari 15...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dalili za Iran kushambuliwa usiku wa kuamkia kesho

    Ndege ya Waziri Mkuu wa Israel Bwana Benjamin Netanyahu inaripotiwa kuonekana kwenye radar ikiondoka kuelekea Ugiriki leo hii. Huku harakati za ndege vita za Marekani na Israel kusogezwa karibu na ghuba ya Uajemi zikiendelea. Inasemekana leo hii usiku huwenda Iran ikashambuliwa. Maana hata...
  3. JamiiForums Tanzania Kesho yetu

    Matayo 6:11 1)* Utupatie leo riziki yetu ya kila siku.* 2)Mathayo 6:34 Msiisumbukie kesho. Kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Kila siku ina mahangaiko yake ya kutosha. 3) Luka 12:25 Ni nani kati yenu kwa kuwa na wasiwasi sana anaweza kuongeza kidogo urefu wa maisha yake? Basi, kama...
  4. JamiiForums Tanzania Leo wanawatumia kuandamana kesho watawatumia kwenye ajira, vyuoni na kwenye hospitali

    Ni jana tumeshuhudia wanaojiita wakatoliki feki wakiandamana kuelekea kwa Balozi Mwakilishi wa Baba Mtakatifu Tanzania. Mungu alivyokua wa Ajabu hata kabla ya Sinema zao kaamua kuwaaibisha, kwa ishara na matendo yao. Leo walioratibu huo mpango either wanatoka Serikalini au Chama cha Mapinduzi...
  5. JamiiForums Tanzania Tutafungwa 2-0/2-kuna mchezaji akiwepo nitajua 3 zinatuhusu

    MPAKA SASA HALI SIO NZURI KWETU MPAKA SASA INAONEKANA FT MATOKEO YATAKUWA 2-0/2-1 KUNA MCHEZAJI AKIWEPO KWENYE LIST NTAWAJUZA MAPEMA 3 ZINAWEZA KUTUHUSU ALL N ALL KILA LA KHERI TIMU ZOTE
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kuna kesho, tenda haki itakulinda wewe na uzao wako

    Kwa kifupi nafasi yako kwa siasa zetu ni Nyeti. Itumie kuleta HAKI. Watetee wahanga wa D29, wape faraja Jitenge na adhabu ya Munhu wako! Mauaji haya yalikuwa.makubwa! ITUMIE KUITETEA TANGANYIKA ( ingawa kipengele hiki ni kigumu) Jiepushe na upofu wa kutoona kuwa hapa HAKI inavunjwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kesho vijana wanasema wataandamana, Mayalla yuko wapi?

    Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana. Watanzania wanataka amani. Vijana wanataka kuchoma moto nchi. Tufanye nini? Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa kusema kwamba wanataka kuandamana. Acha Serikali iseme kwamba atakayeandama atakiona cha mtema...
  8. JamiiForums Tanzania USITAMANI MAISHA YA MTU HUIJUI KESHO YAKE JE UNGETAMANI KUWA KAMA YULE POLEPOLE WA UNAIJUA V8 LEO HII TUNGESHAKUSAHAU.

    Siku zote namshukuru mungu Kwa vile nilivyo Wala sitamani kuwa yeyote zaidi ya Mimi mwenyewe. Hata kuwa Elon Musk sitamani. Imagine kama UNGETAMANI kuwa kama polepole wa kipindi Cha ma V8 je Leo ungekuwa wapi? Any way no one knows tomorrow.
  9. JamiiForums Tanzania Kesho Maaskofu wakija na kauli tusile walivyochinja je itakua salama?

    Herini ya Sikukuu ya Noeli wale wote wanaosherekea siku hii nzuri ya kuzaliwa kwa Mkombozi wetu Yesu Kristo. Ni mwendelezo wa kauli za kibaguzi zenye mlengo wa kuibua chokochoko za kidini ila uzuri hiki ni kizazi cha wanaojielewa. Mimi rafiki yangu ni Mwisilamu, anayenikopesha nikiishiwa ni...
  10. JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila kesho utaona nyuzi za yesu alikuwa ni mpalestina na christmas ni sherehe ya majini

    Anaesema hivyo yeye mwenyewe anasubiria mto wa mvinyo na wanawake 90 huko peponi 😂😂
  11. JamiiForums Tanzania Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi

    Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi . Wanajaribu kupiga picha na watu wa ulaya na US ili kututia viini macho bahati nzuri wazungu wamesha washtukia wanawakataa na kuwapiga spana hawa...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM mmetengeneza mazingira ya utendaji ambayo kesho yakiwakuta hakuna lawama.

    Nime msikiliza waziri mkuu mwiguru japo uchaguzi mliofanya ni haramu na wadamu. kuwa unasimamia maadili ambayo kampuni ya Ester ya mabasi sio yangu ila jina la kampuni ni la mke wangu ambaye ni neema. Kwa serikali ya CCM ambayo sasa inawatafuna wenyewe sasa haya ni mambo ambayo muwezi kufanya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kesho yatakuwa mazuri zaidi maana wasiokuwa na ajira hawana cha kupoteza

    Kesho ndiyo kutakuwa na mtiti wa ukweli maana wale wote wanaozarauliwa na serikali ndiyo watakaokuwa barabarani halafu hawana cha kupoteza ngoja tuone
  14. JamiiForums Tanzania Kesho ni siku ya kazi au bado kuna lock down?

    Naomba kueleweshwa
  15. S

    JamiiForums Tanzania Halafu kesho unamtuma eti Waziri wa Vijana akaongee na vijana. Akaongee na wanajeshi na Polisi

    Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki. Hii ndio nchi iliokuwa inaitwa kisiwa cha amani leo inatawaliwa kwa mtutu wa bunduki. Ni aibu na fedheha tupu mbele ya walimwengu. Anyway, haya ndio matokeo ya kutawaliwa na viongozi haramu wasio na...
  16. JamiiForums Tanzania Hahaha! Kesho tena twendege hivihivi twataka hadi D13

    Mwatuona wajinga. Siye wajinga wenyu. Mmetupanda kichwani. Hehehe! Yalaa. Na bado. Tutaelewana walahi. Leo mwalala na Viatu. Biye biye biye. Hamjui hata nini kinakuja. Mayii. Kazi inafanyika. Mwaicheza baikoko. Hehee. Nye Nye. Wanaume leo tupo road. Twaenda hivi mpaka D13. Msiwape nafasi. Na bado
  17. JamiiForums Tanzania Ninawatakia kila la heri jeshi la polisi kwa kazi wanayoenda kuifanya kesho

    Mwenyezi Mungu alitangulie jeshi letu la polisi kwa kazi ya kuhakikisha kesho kunakuwa na utulivu baada ya kutokuwa na sintofahamu ya kuwepo uhalifu kwa kisingizio cha maandamano. Ninalisihi jeshi la polisi lisisite kutumia virungu, mabomu ya machozi au hata risasi za moto kulingana na ukaidi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kesho Tanzania inaenda kutoa somo duniani D9

    Sina hofu na vijana Gen z Hofu ni adui wa maendeleo millenia hofu zao zinapoishia wao Gen Z ndo ujasiri wao unapoanzia Mpaka ukaone Gen z anahofu basi mellenia muda huo kashafukiwa futi 6 chini ya udongo 😂, Kesho watu wenye mapenzi mema na nchi yao wanaenda kutimiza haki yao kikatiba ya...
  19. JamiiForums Tanzania Nawatakia kila la heri mtakaoandamana kesho, sitaandamana ila nawaunga mkono mtakaokwenda kuandama dua nyingi kwenu

    Kila la heri mtakaokwenda kuandamana kesho, binafsi sitaandamana ila dua zangu kwa wote mtakaoandamana ,mtoke salama na mrejee kwenye familia zenu salama. Kiuhalisia naona ni ngumu kufanikisha jambo kama wanajeshi hawatakuwa upande wa waandamanaji. Wanajeshi ndio wameshika dhamana kufanikiwa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Wakina mama, kesho ni siku yenu ya kudai haki juu ya dhuluma na ukatili uliofanywa kwa watoto wenu

    Hii sio vita ya vijana peke yao, tarehe 29 waliopitia mateso zaidi ni nyie kina Mama ambao uhai na ndoto za watoto wenu ulikwapuliwa kwa ukatili mkubwa sana. Ukatili huu ukiongozwa na mwanamke mwenzenu D9 ni siku yenu ya kupigania damu ya watoto wenu iliyomwagika mbele ya macho yenu wakipania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…