Benchi la ufundi la Simba SC Kesho msituangushe

Benchi la ufundi la Simba SC Kesho msituangushe

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,689
Reaction score
4,949
Kwa watu wa ball you bella wochi you back once again chondechonde kwa. benchi la ufundi la wanasimba tunaomba huyu dogo asicheze kama. Kweli tuko serious na kusaka ubingwa

Semfuko huyu dogo asicheze kabisa ikibidi tumtoe kwa mkopo kule pamba jiji anatuchomesha sana ile penati dhidi ya pamba jiji yale ya kule rwandaa hatujifunzi tu

Doumbia akae benchi aingie dakika za jioni
 
Simkubali kabisa semfuko
Bado namuona kama ni dogo anaetakiwa kupelekwa timu ndogo akapate experience
 
Back
Top Bottom