kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tumsifu YESU KRISTO jumamos ya kesho tarehe 14 tutasherekea kupalizwa mbinguni kwa mama yetu HANGAYA bikira mariam

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tumekombolewa kwa mateso makali sana ya mwana wa MUNGU YESU KRISTO ambaye alipitia katika tumbo la mama bikira isaya 7:14 na pia soma isaya 9:6 Mama huyu bikira alizaliwa katika mji wa daudi mnamo miaka 700 toka nabii isaya kuishi alizaliwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Wazalendo Wanao Angalia TBC, Usikose Kuangalia Mambo Mazuri ya UDSM, UDOM, IGOABROAD na Mbolea ya FEMI Leo Saa 4:00 usiku na kesho saa 3:00 Asbh

    Wanabodi, Niko hapa jijini Dodoma kwenye maonesho ya 88 kitaifa, uwanja wa Dr. J.S. Malecela, Nzunguni Dodoma, ambapo kuna mambo mazuri sana. Asubuhi niliwaletea https://www.jamiiforums.com/threads/live-from-uwanja-wa-dr-j-s-malecela-nzuguni-dodoma-kilele-cha-nane-nane-dodoma-kuchele.2460870/...
  3. JamiiForums Tanzania Wanasiasa watendeeni wengine mema ili kulinda kesho bora ya vizazi vyenu

    Wanasiasa kumbukeni madaraka hukoma, sasa kama mtawatendea wengine mabaya kipindi cha uongozi wenu, huenda moja kwa moja msione madhara kwa sasa. Ila kesho hao ambao mnawatendea mabaya wakishika hatamu ya uongozi vizazi vyenu havitakuwa salama. Sishangai kuona baadhi ya viongozi hasa Africa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa dini: Vita vya Leo Ushindi wa Kesho (Audio + Video are using AI)

    Vita vya Leo Ushindi wa Kesho ni wimbo wa kutia moyo unaobeba ujumbe wenye nguvu kutoka Waamuzi 3:1–2. Katika kifungu hiki, Mungu aliwaacha baadhi ya mataifa ili kuwafundisha Waisraeli namna ya kupigana vita—hasa wale ambao hawakuwa wamepitia vita hapo awali. Hii inaonyesha kuwa wakati mwingine...
  5. JamiiForums Tanzania Nitamwambia Nini M/Mungu kesho mbele zake

    Msio amini M/Mungu habari zenu Moja Kwa Moja kwenye sikitiko langu hili, msaada Kwa wenye mahitaji, walemavu wa aina mbali mbali Yaani natoka asubuhi nashindwa hata kuandaa japo TSH 500 ya kutoa sadaka barabarani na isitoshe nyumbani nimeshaacha kibaba Cha unga na mboga mlo wa siku, na kwenye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu anaejua kesho yake na hakuna anaependa mateso lakini hadi sasa itoshe kushukuru sijawai kufanya kazi kampuni ya wahindi, waarabu au wachina

    Ukiachana na wachache kama kina Bakhresa, makundi hayo kazi ni msuli tembo lakini hadi hio hela umeipata ni kwa manyanyaso sana. Boss tajiri lakini ukichunguza mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao unabaki shangaa
  7. JamiiForums Tanzania Kesho, wachochezi, wafaddhili wao, na wafuata mkumbo wa maandamano haramu ya fujo na ghasia, wataishia kutukana na kuporomosha matusi tu mitandaoni

    Kwasababu hicho ndicho wanachoweza kufanya watu hao clueless, rudderless na planless, wanaotumwa na mabwenyenye ya magharibi kupitia vibaraka wao humu nchini. Na matusi hayo yatatokana na waTanzania kuwapuuza na kudinda kubebwa ufala wa kifikra na kukataa kudanganywa kilofa lofa tu, eti...
  8. JamiiForums Tanzania Mnaotaka kuandamana Jumanne 7/7, mmejipangaje?

    Unajua Mimi pia napenda ccm ing'oke ( ila siungi mkono maandamano ya amani) Wenzenu CCM wana majeshi yote, jwtz imeshajiweka wazi ipo kwa ajili ya kulinda mipaka ya ccm isiingiliwe, jeshi la polisi lipo pale kulinda viongozi na malizao, nyie mna nini?? Kwamfano na nyie mmekuja na silaha zenu...
  9. JamiiForums Tanzania Walivyo, kesho watatoa ufafanuzi kwanini Jeshi lilisema "Kazi na Utu"

    Baada ya watu kuanza kuuliza kwa nini jeshi linachukua neno kauli mbiu ya CCM lile neno. Kesho mtarajie wakaitisha vyombo vya habari kama kawaida yao.
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi. Mgpmo wa madwreva wa malori kesho.

    Kutakuwa na mgomo wa madereva wa malori yanayosafirisha mizigo kesho. Nimepakia mzigo wangu kwenye lori ila nimepewa angalizo, kwamba kesho hawatashusha sababu kutakuwa na mgomo. Labda kama watafika kabla ya saa 12 ahsubuhi ndio naweza kushusha. Nimeongea na m1 wa madereva ambao huwa namtumia...
  11. JamiiForums Tanzania Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi?

    Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima. Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi…
  12. JamiiForums Tanzania Tajiri wa Kesho: Mchakato wa Mafanikio

    TAJIRI WA KESHO YUKO KWENYE MCHAKATO LEO! Usifikirie uko nyuma fikiri uko njiani. Kila hatua unayoichukua leo ni tofauti kati ya wewe wa sasa na tajiri utakayekuwa kesho. Mchakato Unauma Lakini Unabadilisha Mohammed Dewji leo anaitwa bilionea mdogo zaidi Afrika. Lakini kabla ya hapo...
  13. JamiiForums Tanzania Marafiki zako wa leo, Mustakabali wa Mtoto wako kesho

    Angalia watu unaokaa nao leo. Watoto wako watakaa na watoto wao kesho. Kama marafiki zako wanapenda kazi na maendeleo, mtoto wako atajifunza kufanya bidii. Kama ni kelele na porojo tu, mtoto wako atajifunza kupoteza muda. Usikubali kila mtu maishani mwako. Uliza kwanza huyu mtu ananifundisha...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hii kauli hatari sana. Chalamila, kesho utawajibika kwa kauli hii. Kumbuka wewe ni M/kiti wa Kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa. Kauli yako ni AMRI

    Matumizi ya nguvu kupita kiasi mwisho wake ni KUUA WATU KAMA 29.10.2026. BADO HAMJAJUTA! HATA MKIWA KABURINI MTAWAJIBIKA! Soma Pia: RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kesho nimepata mwaliko wa ki VVIP kuhusu uwekezaji Tanzania

    Habarini wapendwa natumai wote humu ni wazima na mko poa kabisa wenye afya zilizo imara. Kijana wenu nimekuoja kuwapa habari kuwa nimepata mwaliko mkubwa kujifunza kuhusu uwekezaji. Kesho itakua siku yangu ya kuanzia safari mpya ya kiuwekezaji baada ya kupata mwaliko kutoka kwa watu wawili...
  16. JamiiForums Tanzania Tupo tayari kupokea mwaka mpya wa kiislam kesho kutwa 17/06

    Hamjambo wote! Sisi tupo tayari kusherehekea mwaka mpya pamoja na ndugu zetu waislam. Muhimu zaidi ni mialiko yenye pilau, nyama na vinywaji. Kwani kitu gani bhana! Maisha ndio hayahaya. Nimemaliza
  17. JamiiForums Tanzania Kesho Buddhist Temple Upanga, Dar es salaam, itakuwepo sherehe. Waziri Mkuu atahudhuria

    Sherehe ya Vesak. Ni birthday ya Buddha. Ndiyo Christmas. Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba atahudhuria.
  18. JamiiForums Tanzania Tuheshimianeni humu ndani, nyuzi zangu hazina muendelezo leo nikisema mimi polisi, kesho kutwa mganga.. nisiulizwe

    Hamjambo nyie waja Binafs sitaki niulizwe, yaani ukute leo nimetoa uzi mimi mwizi, kesho kutwa mimi askofu au sheikh sitaki niulizwe au nikumbushiwe Uwa nawa replesent watu wangu wa karibu, sasa mkiniuliza mimi nilikuwa mlevi vipi leo naswalisha sitak maswali ya hivyo Humu kuna watu...
  19. JamiiForums Tanzania Kesho nayo ni siku

    Leo imeisha hivyo, Katika mizunguuko yangu ya siku hatimae nimerejea nyumbani, nimerejea nikiwa na maumivu ndiyo! Ni maumivu ya uchovu wa kazi lakini pia ni maumivu ya kukosa bila kuambulia chochote yaani nimetoka patupu Basi najisemea siku hazifanani kesho nayo siku Ndio hivyo wakuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…