KERO Mchango wa Lazima wa Mwenge ni kero

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa.

Mfano, Tarehe 07/05/2026 tumepewa posho za masaa ya ziada ila wametukata kwa lazima mchango wa mwenge tulipo uliza tumejibiwa ni maelekozo kutoka kwa Mganga mfawidhi na kama hautaki kukatwa basi uache kazi.

Tunaonekana kama ni wapinga kristo kwenye mamlaka hali hii huwa ni kila mwaka inapofika kipindi cha mwenge. Mwaka jana ilikuwa 3,000/=, mwaka huu ni 5,000/=.

Soma Pia: Mtendaji wa kata kunichangisha mchango wa mwenge kwa lazima imekaaje hii?

Inatuumiza sana, naomba mtusaidie kupaza sauti kwa mamlaka zinazohusika

IMG_7985.jpeg
 
sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa.

Mfano, Tarehe 07/05/2026 tumepewa posho za masaa ya ziada ila wametukata kwa lazima mchango wa mwenge tulipo uliza tumejibiwa ni maelekozo kutoka kwa Mganga mfawidhi na kama hautaki kukatwa basi uache kazi.

Tunaonekana kama ni wapinga kristo kwenye mamlaka hali hii huwa ni kila mwaka inapofika kipindi cha mwenge. Mwaka jana ilikuwa 3,000/=, mwaka huu ni 5,000/=.

Inatuumiza sana, naomba mtusaidie kupaza sauti kwa mamlaka zinazohusika

View attachment 3585505
Inashkitisha sana aisee!
Me nkajua ni Tsh.30,000, au Tsh.50,000. Kumbe ni "efu tano tu, ya kitanzania"!!
Hebu acha wivu usio na maana bwana.
 
Anayetakiwa kuwazia ujio wa mwenge ni mganga mkuu kwakua ni mkuu wa idara, huyu msimamizi wa kituo yeye ndiyo anaamua kuwakata waajiriwa?
 
sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa.

Mfano, Tarehe 07/05/2026 tumepewa posho za masaa ya ziada ila wametukata kwa lazima mchango wa mwenge tulipo uliza tumejibiwa ni maelekozo kutoka kwa Mganga mfawidhi na kama hautaki kukatwa basi uache kazi.

Tunaonekana kama ni wapinga kristo kwenye mamlaka hali hii huwa ni kila mwaka inapofika kipindi cha mwenge. Mwaka jana ilikuwa 3,000/=, mwaka huu ni 5,000/=.

Inatuumiza sana, naomba mtusaidie kupaza sauti kwa mamlaka zinazohusika

View attachment 3585505
Mwenge ndio uliomlea babu yako, baba yako, wewe mwenyewe na utawalea pia watoto wako kama unao, sasa unaona asara gani kutoa 5,000/= wakati unakuangazia Taifa?
 
Mlio umetokea kwa waliokatwa kwenye posho,ikiwafikia wanaokatwa kwenye mshahara itakuwa balaa!
God forbid.
 
Mwenge ndio uliomlea babu yako, baba yako, wewe mwenyewe na utawalea pia watoto wako kama unao, sasa unaona asara gani kutoa 5,000/= wakati unakuangazia Taifa?
Ona gimbi lingine hili, wew mwezetu mwenge umekuleaje labda, hebu nipe faida 4 za huo mwenge kwako wew na taifa kwa ujumla.
Hii nchi sijui nani alituroga
 
Acha kutoa,Nina miaka 15+ kazini sijawahi toa hela ya mwenge ,na hii ni kwa wale wasio na cha kupoteza tu.

Maana kwa Mimi mwalimu watanifanyia figisu nisiende kusimamia mtihani,potelea mbali,ila siwezi ibiwa kizembe.

Huo ni mchango haramu,mwenge una bajeti yake ,sasa hao wanaowachangisga ni wezi a
kama wezi wengine
 
Inashkitisha sana aisee!
Me nkajua ni Tsh.30,000, au Tsh.50,000. Kumbe ni "efu tano tu, ya kitanzania"!!
Hebu acha wivu usio na maana bwana.
Acha upuuzi wew leo utaambiwa elfu tano mwakan utaambiwa elfu kumi na tano Kwasababu ya ujinga wa kutokuhoji mambo kwa undani, hawa watumishi wanakatwa mishahara yao inamaana hayo makato bado hayatoshi kuendeshea hzo shughuli zao.
 
Ona gimbi lingine hili, wew mwezetu mwenge umekuleaje labda, hebu nipe faida 4 za huo mwenge kwako wew na taifa kwa ujumla.
Hii nchi sijui nani alituroga
Utake utachangia Utaki utachangia, muulize Babu na baba yako watakwambia namna Mwenge ulivyowalea.
 
Mafuta yamepanda bei mzeee lazima tuchangie mwenge wetu
sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa.

Mfano, Tarehe 07/05/2026 tumepewa posho za masaa ya ziada ila wametukata kwa lazima mchango wa mwenge tulipo uliza tumejibiwa ni maelekozo kutoka kwa Mganga mfawidhi na kama hautaki kukatwa basi uache kazi.

Tunaonekana kama ni wapinga kristo kwenye mamlaka hali hii huwa ni kila mwaka inapofika kipindi cha mwenge. Mwaka jana ilikuwa 3,000/=, mwaka huu ni 5,000/=.

Inatuumiza sana, naomba mtusaidie kupaza sauti kwa mamlaka zinazohusika

View attachment 3585505
 
Acha upuuzi wew leo utaambiwa elfu tano mwakan utaambiwa elfu kumi na tano Kwasababu ya ujinga wa kutokuhoji mambo kwa undani, hawa watumishi wanakatwa mishahara yao inamaana hayo makato bado hayatoshi kuendeshea hzo shughuli zao.
Hajalalamika kuhusu kutoa hela,
Kalalamika kisa hela aliyokatwa ni kubwa mno(5000)

Afu mbona kama ni wewe uliyelalamika.
 
sisi watumishi wa Hospital ya mji kondoa tuna lazimishwa kuchangia mchango wa mwenge shilingi 5,000/= kwa kila mtumishi kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Mji Kondoa.

Mfano, Tarehe 07/05/2026 tumepewa posho za masaa ya ziada ila wametukata kwa lazima mchango wa mwenge tulipo uliza tumejibiwa ni maelekozo kutoka kwa Mganga mfawidhi na kama hautaki kukatwa basi uache kazi.

Tunaonekana kama ni wapinga kristo kwenye mamlaka hali hii huwa ni kila mwaka inapofika kipindi cha mwenge. Mwaka jana ilikuwa 3,000/=, mwaka huu ni 5,000/=.

Inatuumiza sana, naomba mtusaidie kupaza sauti kwa mamlaka zinazohusika

View attachment 3585505
Changia shughuli za kukuza uzalendo wewe mtumishi.

Kulalamika huku mitandaoni ni dalili ya kukosa uzalendo.
 
Back
Top Bottom