Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 933
- 2,543
Kuna ajali nimeipita hapa Matumbi wanapoweka camera askari hapo. Kuna gari zimegongana 2.
Sasa inavyoonekana wa gari dogo alijichomela kwenye blind sport ya gari kubwa akajua anaonekana akagongwa. Gari yake haijaumia sana ila kataka alipwe. Sasa mwenye gari kubwa gari yake ina Bima Kubwa kamwambia Askari pimeni ajali titajaza bima atalipwa.
Oya tangu asbuhi mpaka mir napita hapo saa moja kasoro hii askari wamegoma kupima ajali wanamwambia dogo amlipe tu mwenye gari ndogo wamalizane.
Mwenye gari kubwa nae kakaza ana bima hawezi kukata bima kubwa halafu atoe pesa mfukoni tena kulipa mtu.
Kero yangu ni kwamba askari badala watimize majukumu yao nao wako upande wa anaedai kagongwa wanataka alipwe cash 🤣🤣.
Ebana askari njaa zitawaua badilikeni.