KERO Mradi wa Majitaka Sinza: Kero na Uharibifu

KERO Mradi wa Majitaka Sinza: Kero na Uharibifu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari,

Mimi ni mkazi wa Sinza Madukani kuna mradi wa majitaka unaendelea tokea mwanzoni mwaka 2025 ..Lakini huu mm Mradi umekua kero na Usumbufu kwa wakazi wa Sinza Madukani pamoja na eneo ya hapa.

Mradi wamefanya uharibu wa miundo mbinu ya barabara pamoja na maji wamechimba barabara hazipitiki kwa miezi 5 wameharibu na miundo mbinu ya maji hatuna maji tokea mwaka jana mwizi wa 11 mpaka leo tumejaribu kufuatilia hakuna majib sahihi bado tunapata shida.

Tunaishi hivi hui ni mwezi wa 6 hatuna barabara wala maji yanayotoka kwa miezi 6 na hii njia upande wa chini kuna chuo na hotel na hakuna biashara inayo fanyika

…Tunaomba mamlaka husika zitusaidie.


5cf1a3ab-bdd1-4b53-bf34-71b928226d0b.jpeg
 
Mradi umefanywa kwa kulipua, bei ndogo, ufisadi kufanyika au wametumika makanjanja. Semeni na viongozi wenu/diwani na mbunge ili muuone ukweli au uongo wao.

Hiyo miradi ni lazima iliingia kwenye halmashauri yaani kwa madiwani. Na hao wawili diwani na mbunge ni wajumbe.
 
Back
Top Bottom