kero

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kero ya kusubirishwa kupisha msafara ya viongozi barabara za mikoani haivumiliki hakika viongozi mnatuumiza sana kwa hili

    Hakika huu ni UNYAPARA mambo leo! Barabara za mikoani kila kuchwao zinapitiwa na kila aina ya binadamu; Wenye afya na wagonjwa wote wanategemea barabara hiyo hiyo. Wazima na maiti wote wanapitidhwa hapo wenye haraka na wasiyo na haraka Wenye bidhaa za kuoza na zisizo oza Wenye pesa ya kula na...
  2. JamiiForums Tanzania Sioni faida ya Bunge hili kwa Wananchi, sio kwa uwakilishi wa kero zao wala kuisimamia Serikali, livunjwe tusipoteze muda

    Ni dhahiri hili bunge linaweza kuwa Bunge lisilo na tija kwa wananchi tangu nchi yetu imepata uhuru. Hata bunge la Chama kimoja enzi hizo wala halikuwa kama hili la sasa Kitendo cha kufanyia 'figisu' wapinzani na kuwabeba wagombe wa Chama kimeleta madhara makubwa sana kwa Taifa letu ...
  3. JamiiForums Tanzania Mradi wa Mwendokasi Mbagala umekuwa kero kwa wananchi

    Moja kwa moja kwenye dhumuni la mada hii, huu mradi wa mwendo kasi kutoka Kariakoo mpaka Mbagala umekuwa kero sana. Si asubuhi, mchana ama usiku ni kero mtindo mmoja, kero yenyewe ni kujitokeza foleni. Yaani huu mradi umefanya iwepo kamba ya maana si mchezo. Hivi hiyo kampuni ama serikali haioni...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Matuta makubwa barabara za vumbi mitaani na vijijini yanavyo sababisha kero na uharibifu wa magari

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Kumekuwa na tabia ya kuweka matuta kwenye barabara za vumbi za mitaa au vijijini kwa nia ya kupunguza ajali katika mitaa husika hasa ajali za watoto zinazohusisha pikipiki. Kufanya juhudi za kupambana na ajali ni jambo jema isipokuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kero ya barabara ya King'ori - Ngarinanyuki - Oldonyosambu

    Naileta hii habari hapa kwa imani kwamba viongozi wa serikali na hasa wizara ya ujenzi na miundo mbinu ni wapenzi wa jf na hulitumia jukwaa hili kupata habari sahihi zisizochakachuliwa. Barabara tajwa hapo juu (King'ori - Ngarinayuki - Oldonyosambu) ni barabara muhimu inayounganisha mikoa ya...
  6. JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu bado kero kwa wananchi

    Makampuni ya simu bado kero kwa wananchi Watumiaji wa simu za mkononi bado wameendelea kulia na mabadiliko ya vifurushi vya simu za mikononi ambayo yamepandisha gharama za matumizi. Mabadiliko hayo ya vifurushi ambayo yalifanyika Hivi karibuni yakihusisha makampuni mbalimbali ya simu...
  7. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa kuelekeza kero ya namna ya ukusanyaji kodi, Lakini sijasikia kero ya Bodi ya Mikopo wa Elimu ya Juu

    Huwa sipendi kuwachosha wanajukwaa naenda moja kwa moja kwenye maada.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa " kuna kero ya board ya mikopo ya elimu ya juu hususni sheria mpya ya mwaka 2016. Sheria hii mhe Rais ni kandamizi kwa sababu ya mambo mawili,mosi sheria hii inatumika kuwakata...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Raisi Samia tusikilize wakulima ,tuna kero zetu

    Ni wakulima wa matunda,kuanzia maembe mpaka machungwa mpaka mananasi ,kwa kweli tunapata hasara kubwa sana ,tunachohitaji ni kama ipo wizara au waziri wa kilimo,mpatie safari za nje aend huko kutembelea masoko kwa maana ya sokoni au hata kwenye suprmarket zile kubwa kubwa. Ninachokiona kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume waliooa tupe kero au usumbufu ulioupata hadi kufanikiwa kumpata huyo mkeo

    Kwa wanaume waliooa tupe kero au usumbufu ulioupata hadi kufanikiwa kumpata huyo mkeo. Kuna wengine hadi walikaribia kufirisika wengine ushindani ulikuwa mkali nk. Tupe uzoefu wako
  10. W

    JamiiForums Tanzania Ni nafasi adhimu kwa Zanzibar kuitumia kutatua kero za Muungano

    Ndugu zangu, kwanza nitoe pole kwa wote kufuatia kifo cha Raisi wetu mpendwa. Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye mada, kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 37(5) Makamo wa raisi, mama Samia, ndiye atakaye kuwa raisi wetu kwa kipindi chote kilichobakia kuelekea...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mgeni nyumbani ambaye ni kero, mzigo na anataka kuiendesha nyumba kuwazidi hata wenyeji?

    Sijui kama wewe imewahi kukutokea, lakini kwangu ndicho kinachoendelea na uzalendo unaanza kunishinda. Ni hivi, nina ndugu wa kiume wa mke wangu, ana changamoto za kimaisha na kiuchumi, tunamhifadhi hapa nyumbani kwa muda, ajipange na kisha tuangalie namna gani tunaweza kumsaidia asimame kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Airtel tunawapenda sana ila kero zimewapenda zaidi

    Kwa sasa mtandao cheap kabisa ni Airtel ila wana changamoto ya uslow kwenye data, sioni kama kuna hatua zinachukuliwa. Baada ya anguko la Tigo wamepata wateja wengi sana, zile kero za Tigo zamani zimerudi Airtel sasa, ukipiga simu unaweza kuambiwa haipatikani kwa sasa, ukirudia ikapatikana...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa wananchi wakiwa na Mabango ya kero mbele ya Rais Magufuli. Je, ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa na watendaji mbalimbali?

    Kumekuwa na tabia iliyozoeleka Sasa ya wanainchi wakiwa na Mabango ya kero mbalimbali mbele ya Rais Magufuli. Hii ni Ktk ziara zake mbalimbali za kuwatumikia wanainchi. Je, hali hii inamaanisha ni Kushindwa kwa viongozi wa kisiasa/ wawakilishi na watendaji/ watumishi wa umma katika kazi zao?
  14. JamiiForums Tanzania Je, kutokuwepo kwa rabsha za tumbuatumbua ndio ishara kuwa Rais Magufuli amemaliza kero zote za wananchi? Mbona kama mambo ndivyo sivyo?

    Ndugu wana JF humu ndio mahala pa kuhoji kila jambo linalotuhusu. Je, serikali awamu ya tano imekamilisha kutatua kero zetu? Alipoingia madarakani rais Magufuli alianza kwa kasi ya kutumbua wote ambao walionekana ni wabadhirifu, wasiowaadirifu ambao walionekana kuwaletea kero wananchi kisha...
  15. JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa loss report ni kero

    Jeshi la polisi lilijinasibu limehamia ktk teknolojia hususani ktk huduma kadhaa ikiwemo upatikanaji wa taarifa ya kupotea kitu. Ideally matumizi ya system ni excellent sababu inaokoa muda LKN siku za hivi karibuni upatikanaj wa huduma hiyo ni kero Unaweza ukajaza taarifa online then...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom ni kero, wananiambia wana hitilafu ya kimtandao hela niliyotuma ipo hewani

    Vodacom mnahuduma mbovu sana. Nimetuma Pesa kwenda mtandao wa Tigo nimekatwa hela lakini baadaye wanatuma message hii, "Samahani, muamala wako haukukamilika kwasababu za kiufundi. Tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja." Nawapigia customer care wananiambia wana hitilafu ya kimtandao hela...
  17. JamiiForums Tanzania Msigwa “awazodoa” wanaodai ndege haziji Tanzania

    Leo Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Magufuli ameweka picha akiwazodoa wanaosema ndege haziji Tanzania. Nami nakubaliana naye kuwa Uwanja wetu wa kisasa JNIA unapokea ndege nyingi kupita kiasi (kuchafuka). Tanzania inatajwa kuwa ni moja ya nchi chache Afrika zinazopendwa sana kutembelewa na...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Chemba ya majitaka round about ya Mwenge kuelekea TRA jirani na Mwenge Sokoni ni kero kubwa sana

    Kwakweli hii chemba imekuwa kero sana kwa watumiaji wa hiyo njia kwani mara kwa mara inazidiwa uwezo na kupelekea maji taka kutoka katika mfuniko wake na kusambaa katika barabara na kuleta kero kubwa na hatari ya kupata magonjwa ya mlipuko kwani maji yenyewe ni meusi na yananuka sana ukizingatia...
  19. JamiiForums Tanzania Namba za simu za Ofisi nyingi za Serikali hazipatikani

    Sijui ni nani anahusika ku huisha namba za Ofisi za Serikali kama za Mawaziri/Wizara, Wakuu wa mikoa, Wilaya, Hospitali za Mikoa, Hospitali kuu za Wilaya na taasisi nyingi za Serikali kwenye mtandao kwani namba nyingi zilizopo zilishafungiwa au zimebadilika. Naamini kutokuwa na namba za simu...
  20. JamiiForums Tanzania Kero ya taa za kuongozea magari Majumba 6

    Kama kichwa cha habari kilivyo. Ukipita njia ya Tabata Segerea kuelekea Ukonga ukifikanpale Majumba Sita kuna trafic light pale kuna michoro ya zebra ambayo ni wazi dereva mgeni wa njia ile ni vigumu kutambua. Kero hii imekuwa inachangiwa zaidi na trafiki ambao kazi yao ni kuandikia tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…