kero

  1. JamiiForums Tanzania Kero za madereva wengi hapa Dar es Salaam

    Kwa watu ambao tumewahi kuendesha gari nchi zaidi ya moja, ukija kuendesha hapa nyumbani hasa Dar es Salaam unaweza kutamani kupiga watu makofi. Madereva wengi wa Dar hawana rush hour, sa 2 asubuhi ama sa 1 asubuhi wakati watu wana haraka ya kufika kazini unakuta mtu anaendesha gari kama vile...
  2. JamiiForums Tanzania Kero za wanaokuja kutazama mpira bar

    Nyie mnaokuja bar kutazama mpira kuweni wastaharabu na muziki wetu, Sio mnakuja kukaa masaa mawili na soda zenu za buku na mnataka mziki uzimwe. Nendeni vibanda umiza.
  3. JamiiForums Tanzania Kero: Wakurugenzi wa Elimu Wilaya kujifanya wana shida zaidi na walimu wa Sayansi

    Ipo kasumba kwa baadhi ya Afisa elimu wilaya sekondari kujifanya wana shida zaidi na walimu wa sayansi kuliko wa mchepuo wa sanaa. Hii tabia ni ku-discourage walimu wa mchepuo wa sanaa +biashara, na ikumbukwe kila mchepuo una umuhimu wake. Sasa endapo kama hao walimu wa sanaa wapo wa kutosha...
  4. JamiiForums Tanzania Kero za abiria wa mabasi ya Mwanza

    Last week natoka Mwanza kuja Dodoma nimekaa na jamaa anakera kweli kweli kwenye siti yeye na mtoto wake kufika hadi kunitapikia. Tuligombana sana hadi nafika Mwanza, leo narudi Mwanza kwenda Dodoma kuna kijana kapandia njiani kaja kukaa siti ya pembeni yangu yaani kwanza ananuka sana pili ni...
  5. JamiiForums Tanzania Umeme Dumila umekuwa kero iliyopitiliza toka Novemba 2021

    Dumila ipo Mkoani Morogoro kiukweli hali ya upatikanaji wa umeme ni mbayaa kupitiliza. Sio kwamba ulikuwa haukatiki kipindi cha mwendazake la hasha ulikuwa unakatika sana tu ila awamu hii imepitiliza Alipoingia January Makamba hali ndio imezid kubadilika yaani umeme unaweza katika siku 5...
  6. JamiiForums Tanzania Kero: TBC punguzeni kutuwekea nyimbo za taarabu asili mnaboa

    Hakika sikio la Kufa halisikii dawa Hali inazidi kuwa mbaya, Sasa ivi wakubwa Hawa wamejikita kupinga NYIMBO za taarabu asili Kama mvuaaaa yaan inashangaza kidogo Kwann Sasa ivi Hawa wakubwa Wana piga Sana NYIMBO za taarabu asili iv lengo lao Nini hasaaa Acheni mambo yenu TBC embu...
  7. JamiiForums Tanzania Kumbe Israeli 'akitukosakosa' kuondoka nasi mazima Udongoni hadi Mbinguni na Kunusurika huwa tunakuwa Kero na Kituko hivi?

    Wabunge wa Chama cha Mapinduzi msisahau majimbo yenu, 2025 ni kesho kutwa, na sisi tunataka Rais huyu [Samia Suluhu Hassan] arudi madarakani. Na wajumbe wanawasubiri."- Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango. Chanzo: Swahili Times Mtandaoni Lini uliteuliwa kuwasemea Watu wote?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi na ahadi za kutatua kero za wananchi

    Waziri wa Ardhi na Makazi William Lukuvi ni fundi sana wa kujitokeza kwenye vyombo vya habari na kutoa ahadi keme kem za jinsi Wizara yake itakavyotatua kero za wananchi. Lakini ukichunguza sana ahadi zake ni maneno tu na hazitekelezi. Mara nyingi hujitokeza wakati kama hivi sasa ambapo Rais...
  9. JamiiForums Tanzania Wawekezaji wasaidiwe kutatua kero kwa urahisi

    Nimesikia muwekezaji mmoja Mkubwa tu ( Vasso Agroventures) kwenye media akilalamikia kutozwa kodi kubwa na zisizo eleweka pamoja na kuingiliwa miradi yake ya uwekezaj na mwaka 2021 amepata hasara ya shs Bilioni 8 huku akiwa ame ajiri wafanyakazi zaidi ya 1000. Wahusika TRA na Kituo cha...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kero za Muungano, waandishi wa habari wamelala!

    Habari wanajamvi? Kuna hili suala la Kero za Muungano zilizogonga mwamba kutatuliwa Kwa awamu nyingi zilizopita!Lakini awamu hii ilipoingia tulitangaziwa kero hizo zilizosumbua sana zimetatuliwa chini ya SSH ndani ya muda mfupi! Ajabu ni kwamba waandishi wa habari wakabeba taarifa kama...
  11. JamiiForums Tanzania KERO TAZARA (Mfugale FLYOVER) kutofatwa sheria na utaratibu wa barabarani hasa wakati wa usiku imekuwa donda sugu

    Wanajamvi salaam, kwa kipindi nmekuwa mtumiaji wa barabara ya nyerere road inayopita Tazara hasa pale flyover ,wakati wa usiku kumekuwa na changamoto kubwa ya kutofata utaratibu wa sheria barabarani pale kwenye Junction ya kutokea airpot, taifa , au mjini na yale magar yanayotoka buguruni kila...
  12. JamiiForums Tanzania Ni kero zipi uliwahi kupitia kwa kuishi na majirani wasumbufu/wakorofi?

    Kuna kipindi niliwahi kupanga nyumba hapo zamani, ilikuwa na miti mingi yenye matunda ndani ya fensi, nikaja kuambiwa kuna mtu huwa anakuja usiku nikizima taa anaruka ukuta anachuma matunda (asante kwa jirani yangu mzaramo alinijuza hili). Siku ijayo usiku ulipofika nilimwambia wife azime taa...
  13. JamiiForums Tanzania KERO: Baadhi ya Walimu wa boarding sio waaminifu

    Kama mupo walimu wa tabia hii jirekebisheni. Mzazi unahangaika unapata chochote kitu unaamua kumtumia mwanao pesa ya matumizi, kwa kuwa wanafunzi hawaruhusiwi kumiliki simu tunatumia namba zenu walimu kama munavyotuambia. Sasa baadhi ya walimu hamna uaminifu, unatumiwa pesa ya mtoto na...
  14. JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Kwenye kero nilizozikuta wapo wanaume wanaonyanyaswa. Kuna wanawake wana fedha wanahitaji tu wanaume wa kuwaoa

    Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Amos Makalla amesema kwenye dawati la jinsia kuna wanaume aliowaita marioo wanakuja kulalamika kunyanyaswa na wanawake wenye fedha kwani huwapatia vitu alafu wakiachana wanawanyang'anya kila kitu hivyo hurudi nyuma kimaisha kwa kuwa mwanaume suruali. ======== Mkuu...
  15. JamiiForums Tanzania Uzi wa kero ya kuombwa kolabo mara kwa mara huku mambo muhimu yanakusubiri

    Katika mapenzi kuna mambo mengi ndo mana unatakiwa kuwaheshimu wanandoa waliozeeka pamoja mana mambo ni mengi muda hautoshi. Kwenye ndoa kuna ule muda mmeshapiga kolabo tayari sasa unataka kufanya mambo yako mengine tena mambo muhimu ambayo lazima ufanye au umechoka sana unataka kulala ile...
  16. JamiiForums Tanzania Kero yangu kwa huduma kwa wateja (Tigopesa na M-pesa)

    Kwema ndugu, Leo kero yangu nawatupia kitengo cha huduma kwa wateja upande wa Tigopesa na m-pesa wamekuwa wazito au kuchukua mda mrefu sana kupokea simu ya mteja pindi anapokoesa kutuma pesa kwa mteja mwingine. Tunawaomba mfanye marekebisho haraka ili kuweza kuokoa pesa za mteja wenu pind...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tochi za Polisi hazipaswi kuwa kero - Kagame na mkia wa chui

    Wale waheshimiwa wa kutozingatia PGO ambao kwetu barabarani tochi wamefanya huo ni ulaji wao rasmi na wa kudumu, nani wa kuwafunga kengele? "40km/h limit hiyo ni kwa watembea miguu. Tufike mahali tuwe na muafaka wa pamoja usio na madhumuni ya kukera wengine" - amesikika mwamba Kagame. Makwetu...
  18. JamiiForums Tanzania Kero yangu: Kuulizwa kama nalipa bili ya watu wote

    Ni pale mnapoenda kundi sehemu kama bar au mgahawa. Mpo meza moja, kila mtu anaagiza usawa wake, mnakula na kunywa vizuri. Inapofika wakati wa kulipa ukiwa wa kwanza kulipa mhudumu anakuuliza kama akate bili ya watu wote.......aaaagttttt Wewe muhudumu nani kakwambia kama ukate ya watu wote...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kero za Muungano: Ni wakati muafaka kwa Wazanzibari kufanya Referendum

    Nafikiri niwakati sasa umefika Zanznibar wafanye referendum kwamba wanataka muungano Ndio/Hapana. Baada ya hapo ndo tutakuwa na jibu sahihi la kupata ufumbuzi wa kudumu wa hiki tunachoita muungano.
  20. JamiiForums Tanzania Masalange; Kero ya usafiri katika mabasi iliyofumbiwa macho

    MASALANGE; KERO YA USAFIRI KATIKA MABASI ILIYO FUMBIWA MACHO! Masalange au kama wanavyo penda kuitwa, Maafisa usafirishaji kwa kimombo " BUS AGENTS" ni watu ambao wamekuwepo katika kila Stendi za mabasi ili kurahisisha upatikanaji wa usafiri kwa abiria waendao maeneo mbali mbali nchini na nje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…