kero

  1. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuajiri watendaji kibao na mbio za mwenge CCM wameamua kumtumia Makomda kukusanya kero za wanannchi

    Makonda ndio amegeuka mkusanya kero za wananchi kuliko watendaji kama wakuu za mikoa, madc na watendaji wa kata. Makonda amegeuka kuwa mtendaji? Anazunguka nchi nzima msafara mrefu. Anatumia kodi za wanannchi. Hao Maded, Madc na MarC wanakazi gani? Mbio za mwenge za CcM zina kazi gani?
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi kukimbilia kwa Makonda kueleza kero zao je Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa wameshindwa majukumu yao?

    Tumeona mama katoka Tabora anasema Tabora alikosa nafasi akaenda kahama akakosa nafasi, hakuchoka akaenda mpaka kigoma ndio akapata nafasi akaeleza kero zake kwa mh Paulo makonda swali fikirishi sana shida ipo wapi je wanainchi hawana imani na viongozi waliopo katika halmashauri zao ambao...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Natoa kero yangu kwenye hospitali za wachina / wakorea, hawathamini kabisa privacy / usiri wa wagonjwa + maadili, hutuchukulia kama vifaa na sio watu

    Ni katika moja ya hospitali niliwahi kwenda kwenye matibabu yangu, hospitali inadeal na mambo ya mishipa / nerves. Siku nimeenda niliambiwa niende kwa wiki nzima kuna mashine naitumia kwa dakika kadhaa kisha naondoka, Yani mle chumbani kilichokuwa kikibidi kututenganisha na mtu mwengine ni...
  4. JamiiForums Tanzania KERO Responded Dar: Maeneo ya Segerea hadi Kinyerezi hakuna Maji

    Mkuu Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa. Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji yafunguliwe upande wenu. Maeneo ya Kanga Kinyerezi maji hayatoki wiki ya 3. Mheshimiwa unahujumiwa tunaomba...
  5. JamiiForums Tanzania Usafiri wa mwendokasi kituo cha KIBO ni kero kubwa

    Wenye mamlaka ni vyema sasa mkatoka hadharani kutolea ufafanuzi hali ya usafiri katika kituo hiki cha KIBO. Mara nyingi nyakati za asubuhi kuanzia saa 11 Hadi saa moja na nusu basi hazisimami kabisa kupakia abiria kwenye kituo hiki, nyingi zinakuja zimeshajaa na hazisimami. Je kama mmeona kuna...
  6. JamiiForums Tanzania RPC KILIMANJARO: Traffic anakusanyia rushwa barabara ilipo nje ya ofisi ya RC geti la kutoka na geti la kuingilia DED wa Moshi Manispaa

    Kuna askari traffic wawili wa kike ni wasumbufu na kero huko MOSHI MANISPAA. Askari hao wanasumbua hadi magari ya serikali yanayoingia ofisi za mkuu wa mkoa na mkurugenzi wa Moshi Manispaa. Cha kufurahisha zaidi bendera inapepea nje ya ofisi ya mkuu wa mkoa nao wanapokelea hapo hapo rushwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tanesko :Tunayaangaza Maisha yako . Thread maalumu ya kero za huyu bwana

    Yule twiga kwenye tanesko nashauri tumwondoe .. Tutafute mnyama mwingine ambaye Yuko fast, Pia ni reliable .. pi anajua how to secure his kills . Wakuu mtanisaidia falsafa ya mnyama twiga ni ipi? What so special about twiga Mpaka awepo kwenye Shirika tata lenye majukumu Ya kizalendo na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna Vijana kero ya paka na kunguru mtaani tukaifanya kuwa ajira ya muda wakati tunajitafuta?

    Serikali inapenda kusikia sisi vijana tunawaza nini ili watusaidie! Siyo kila wakati ni wa kulaumu laumu tu! Wakati mwingine tupeleke maoni yetu kwenye mamlaka za serikali kama vijana! Ukipita huko mtaani kuna paka wengi sana, kuna mbwa wengi sana, kuna panya wengi sana,kuna kunguru wengi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete asema mifumo mipya mitatu ya Utumishi itasaidia kupima utendaji na kujibu kero za wananchi

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji kazi wa mtumishi yeyote aliyepangiwa majukumu na kuona kiwango cha utekelezaji wa majukumu yake...
  10. JamiiForums Tanzania Makonda awaonya wanawaweka ndani kwa kuwa wana kero zinazowasumbua

    📌📌 MAKONDA ABAINISHA ZAIDI YA TSH BILIONI 6 ZINATUMIKA KWA MRADI WA UMEME WA JK. NYERERE, KUFIKIA MWEZI MARCH MITAMBO MIKUBWA KUUNGANISHWA Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda katika kueleza dhamira ya Chama Cha Mapinduzi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kero ya umeme Mbeya

    Sisi wakazi wa Isyesye iliyoko mkoa wa Mbeya tunashida moja na TANESCO, hatukatai kuna mgawo wa umeme lakini kuna kero moja inayotukwaza sana wananchi: Umeme umewekwa kwa zamu lakini cha kushangaza hata siku ambazo tunatakiwa kushinda na umeme wao wanakata. Pia wakati mwingine wanarudisha umeme...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dampo katika Soko la Stereo lililopo Temeke ni kero kubwa, Mamlaka ziongeze nguvu katika kuzoa taka

    Dampo lililopo kwenye soko la Stereo hapa Tekeme, Dar es Salaam ambapo ni sehemu kwa Wauzaji wa soko hili kuhifadhi takataka baada ya wao kufanya usafi kwenye maeneo yao, limekuwa ni kero kubwa kwa Wafanyabiashara na Wanunuaji wa bidhaa katika Soko hilo. Wafanyabiashara katika soko hili kwa...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Banana - Kitunda ni kero kubwa kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia

    Barabara ya Banana Kitunda (Dar es Salaam) imekuwa ni kero kubwa sana kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia. Barabara ni mbovu na kila kipindi cha mvua usafiri ni shida na magari yanaharibika sana, tunaomba hii taarifa imfikie Mbunge wetu ni Jerry Silaa.
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli serikali haifahamu kero ya usafiri wa mabasi ya Mwendokasi?

    Ukimya wa serikali wa kutatua changamoto ya huu usafiri binafsi unanipa wasiwasi huenda serikali haifahamu izi shida ambazo wananchi wanao tumia usafir huu tunakutana nao. Jana Jumatatu pale Gerezani nilitumia masaa 3 na dakika nyingi kusubiri usafiri, imagine nimefika pale saa 10 jioni...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kimara mwisho njia ya kuelekea Matosa imekuwa kero baada ya kutomaliza maboresho ya daraja lililopo nyuma ya chuo

    Na kusababish kero kubwa kwa wananchi ni bora hata wangeliacha lilelile daraja la mwanzo kwani ni kero tu hakuna matengenezo yyte yanayoendelea na njia imefungwa. Rais na mbunge wa Ubungo liangalie hili kwa jicho la tatu TUNATESEKA
  16. JamiiForums Tanzania Sheria ya kuzuia uvutaji wa sigara iliishia wapi?

    UVUTAJI SIGARA. Ivi ile sheria ya kuzuia uvutaji sigara iliishia wapi. Maana Leo Stend nzima kahama ilikuwa inanuka sigara. Imefikia mahali watu wanavuta hadharani ata kwenye sehemu watu wanakusanyika.
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 umekuwa mwaka wa mateso makali kwa wananchi, zijue kero 30 zilizosabishwa na serikali mwaka 2023

    1. Kushuka kwa thamani ya pesa yetu dhidi ya dola 2. kusuasua kwa miradi ya maendeleo 3. mikopo ya hovyo hovyo inayoathiri mzunguko wa fedha kwa wananchi 3. Wizi, ufisadi na uporaji wa mali za umma 4. Matumizi mabaya ya Gari za serikali saa 5. Kupanda hovyo hovyo kwa nauli 6. Kupanda hovyo...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mlundikano wa malori Shekilango, Ubungo Maziwa ni kero

    Kumekuwa na kero kubwa ya malori haya yanabeba kopa ni mengi mnoo na barabara imekuwa finyu. Serikali mtusaidie.
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kanisa la PAG-Bethel Nyasaka (Mwanza) na kero ya kelele kwa majirani

    Kanisa la kilokole la Bethel linalopatikana katika eneo la Nyasaka-Msumbiji, kata ya Kawekamo,wilaya ya Ilemela,mkoa wa Mwanza limekithiri kwa kupiga kelele kuzidi viwango vibakubalika kisheria. Imekua ni kawaida sasa kufungulia mziki kwa sauti kubwa tangu saa mbili asubui mpk saa nne kasorobi...
  20. JamiiForums Tanzania Huduma gani imekuwa Kero kubwa katika eneo lako kwa mwaka 2023?

    Mwaka 2023 unaenda mwishoni na mambo mengi yametokea. Tukiangalia huduma za kijamii pia kuna mengi yamefanyika lakini bado matatizo hayaishi. Kwa upande wako vipi huduma gani imekuwa kero kubwa kwako?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…