Swali kwa waliohitimu elimu ya sekondari Shule za Kenya

Swali kwa waliohitimu elimu ya sekondari Shule za Kenya

Bensoy

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
576
Reaction score
625
Tunajua kule kenya ukihitimu form 4 unaenda moja kwa moja chuo kikuu. Je, kwa mwanafunzi aliyesomea kenya form four na anataka aje asome hapa tz anaweza kwenda vyuo vikuu vya hapa?

Kwa wazoefu naomba kujua huo utaratibu ukoje.
 
Back
Top Bottom