kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Umaarafu na kupendwa sana kwa bracelet ya Kenya inatokana na nini?

    Kwa nini bracelet ya Kenya ni maarufu sana Africa? Ni kawaida kabisa kukuta watu wa nchi nyingine nyingi wakiwa wameivaa! Halafu kuna uongo tulikuwa tunadanganyana tukiwa wadogo eti rangi nyekundu kwenye bendera ina maanisha umwagaji damu. Ukweli ni kwamba rangi nyekundu kwenye bendera...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu mdada msomali nimesoma nae Kenya, leo naona picha ya marekani kwa kujipatia pesa kitapeli, aisee dunia ni ndogo😁

    AIsee fahima what happened😬 👇
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tiktok Removes Over 820,000 Videos In Kenya And Bans 108, 000 Accounts

    TikTok has released its Q4 2025 Community Guidelines Enforcement Report, which shows that more than 820,000 videos were removed in Kenya between October and December 2025 as the platform ramped up efforts to improve online safety and combat dangerous content. TikTok banned 820,552 videos in...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kenya ya kushusha bei ya mafuta baada ya Maandamano

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza marekebisho mapya ya bei za mafuta, Katika mapitio hayo, bei ya dizeli imepunguzwa kwa Sh10.06 kwa lita, huku mafuta ya taa yakiongezeka kwa Sh38.60 kwa lita, wakati bei ya Super Petrol ikibaki bila mabadiliko. Mabadiliko...
  5. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapunguza bei ya mafuta baada ya kutokea maandamano

    Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza kupunguza bei ya dizeli kwa Shilingi za Kenya 10.06 kwa lita baada ya shinikizo kutoka kwa waendeshaji wa sekta ya usafiri waliopinga ongezeko kubwa la bei ya mafuta. Katika mapitio mapya yaliyotangazwa Jumatatu jioni, bei...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Kesho tena tunatembea?” Kenya Yasimama as Matatu, Boda & Uber Strike Continues

    Nairobi imeamka na stress nyingine tena after transport operators announcing kwamba strike itaendelea kesho because talks na serikali zimegongana mbaya. From matatus, boda bodas, Uber mpaka cargo trucks wengi wameamua “hakuna kazi mpaka mafuta ishuke.” Wananchi ndio wamebeba mzigo mkubwa. Leo...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Kenya kufuatia maandamano

    Lei, Mei 18 kwenye baadhi ya maeneo kumeonekana migomo na maandamano ya watu wakidai bei ya mafuta imekuwa kubwa sana hivyo wanahitaji uwajibikaji bdi ishuke
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano ya Mafuta yageuka kuwa ya Vifo wakati Polisi wakikabiliana na Waandamanaji Nchini Kenya

    Maandamano ya kitaifa ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta yamegeuka kuwa vurugu na kusababisha vifo Jumatatu, Mei 18, baada ya makabiliano makali kati ya polisi na waandamanaji katika maeneo mbalimbali nchini Kenya. Huko Kakamega, watu wawili waliripotiwa kupigwa risasi na kufariki, huku...
  9. JamiiForums Tanzania Hawa Manabii wa Kenya Wana Nini na Viongozi wa Tanzania?!, Kitendo cha Nabii wa Kenya Kumtaka Rais Wetu Atubu kwa ya Oct. 29, Sio Dharau?

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali, japo Mungu ni mmoja, na Tanzania tuna manabii wetu na Kenya wana nanabii wao, iweje Mungu anaongea sana na manabii wa jirani zetu Kenya na kuwapa unabii kuhusu Tanzania, kuliko na manabii wa Tanzania?. Wana Nini na Viongozi wa Tanzania?!, Kitendo cha Nabii wa...
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgomo wa sekta ya usafiri Kenya watikisa nchi

    Completely barabara zote ziko deserted, hakuna gari kabisa. Gen Z naona wako kazini kumshughulikia yeyote mwenye gari atakayesaliti UMMA. Kwetu je? Midabwada Angalia K24 tv
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nationwide Maandamano Erupt as Transport Operators Protest Fuel Hikes

    Thousands of Kenyans were left stranded on Monday after a nationwide transport strike paralysed movement across major towns and cities, with public service vehicles (PSVs), boda bodas, taxis, and cargo transporters suspending operations in protest against soaring fuel prices. The strike, which...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Mtanzania anaweza kununua hisa kwenye makampuni ya Kenya?

    Wataalam wa hisa Hivi Watanzania wanaweza kununua hisa kwenye makampuni ya Kenya?
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya Petroli Uganda na Kenya ni ndogo kuliko Tanzania?

    Bei ya petroli uganda ambayo ni landlocked country ni $1.3 wakati kenya ni 1.4Usd ila Tanzania ni $ 1.589. Tunapigwa???? EWURA hebu mkuje mtupe sababu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu Nchemba jiuzulu kwa kuyachafua mataifa ya jirani hasa Kenya kuwa raia wake walikuja Tanzania kushiriki kupindua serikali ya CCM

    Wakili Maduhu anasema amekagua hati za mashitaka nchi nzima za watu walioshitakiwa kwa kuhusika na uhaini wa Oktoba 29 lakini hakuna hata raia kigeni aliyeshitakiwa. Wewe kama Waziri mkuu baada ya kuapishwa ulitamka kuwa kwenye maandamano hayo raia wa kigeni hasa Kenya walihusika na walikuwa...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Siasa Kenya Zimekuwa Toxic Hadi Kuumizana?

    Kasarani kuna story imeacha watu na maswali mingi kuliko answers. Mwanamke mmoja aliyewahi trend baada ya kuchora tattoo ya Rais allegedly alishambuliwa na watu watatu waliokuwa wameficha nyuso zao. Inadaiwa walimtaka “awape kile Ruto alimpea,” na aliposema hana chochote, wakamdunga acid na...
  16. JamiiForums Tanzania Manabii wa Uongo Wapo!. Angalia Nabii huyu wa uongo wa Kenya Unabii Wake wa Uongo kuhusu Tanzania!, Adai Urais wa Samia Tanzania, Haufiki 2030!

    Wanabodi Kiukweli Shetani yuko busy sana kupitia manabii wa Uongo na Unabii wao wa Uongo kuihusu Tanzania!. Hii ni bandiko la kutoa angalizo kwa Watanzania wanaolitakia mema taifa letu kuwa makini na hila za mwovu shetani, anawatumia manabii wa ongo kama Nabii huyu wa uongo wa Kenya akitoa...
  17. JamiiForums Tanzania Joshua Nassari: Wizara inasema Watalii wamefikia Milioni 5.3, Mtu anakuja kununua vitunguu kutoka Kenya, naye anaambiwa ni mtalii

    Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, akichangia Bungeni bajeti ya wizara ya maliasili na utalii amesema ... "Leo hii wizara inatuambia watalii wamefikia milioni 5 na laki 3... Lakini ukweli ni kwamba hizi takwimu ukifuatilia ni takwimu zinazochukuliwa kwenye boda, kwenye mipaka yetu ya...
  18. H

    JamiiForums Tanzania WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit: Africa-France Perternship for Innovation and Growth) unaofanyika jijini Nairobi Kenya, leo Mei 12...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Pushes for Easier France Visa Access as Multi-Billion Trade Deals Expand

    Kenya is seeking easier visa access to France as diplomatic and economic ties between the two countries continue to grow, with new multi-billion-dollar trade and investment agreements. During high-level talks held alongside the Africa Forward Summit in Nairobi, Kenyan lawmakers urged France to...
  20. JamiiForums Tanzania Kenya Inatuingiza Utumwani Afrika Mashariki? Ni Climate Lab Ya Israel , Na Vita Vya Kisasa Ambavyo Wanasiasa Hawavijui

    KENYA KAMA “TROJAN HORSE”? VITA VYA DATA, TABIANCHI NA UTAWALA MPYA WA KIDIJITALI AFRIKA MASHARIKI Katika karne ya 21, vita havitangazwi tena kwa mizinga pekee. Havianzi kwa ndege za kivita wala askari kuvuka mipaka. Vita vya leo vinaanza kwa “ushirikiano wa kisayansi,” “miradi ya maendeleo,”...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…