Kasarani kuna story imeacha watu na maswali mingi kuliko answers. Mwanamke mmoja aliyewahi trend baada ya kuchora tattoo ya Rais allegedly alishambuliwa na watu watatu waliokuwa wameficha nyuso zao.
Inadaiwa walimtaka “awape kile Ruto alimpea,” na aliposema hana chochote, wakamdunga acid na hata kuwasha nywele zake moto.
Hii ni beyond politics. Ni reminder ya vile siasa Kenya imeanza kuingia mpaka kwa maisha ya kawaida ya mwananchi. Leo mtu ana-support politician, kesho anageuka target ya online bullying, family conflicts ama hata violence.
Wakati viongozi wanaendelea na campaigns zao na motorcades, ni common mwanainchi anabaki na scars physically, emotionally na economically.
Kwa ground, watu wanajiuliza: politics imekuwa loyalty ama obsession? Na mwisho wa siku, mwananchi anapata nini besides division, stress na danger? Freedom of choice iko wapi kama tattoo ama opinion inaweza kuweka maisha yako risk?
Kenya needs politics ya maendeleo, si politics ya fear na attacks. Maoni tofauti hazifai kugeuka sababu ya violence. Leo ni yeye, kesho inaweza kuwa mtu mwingine kwa sababu tu ya side yake ya politics.