kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Wakati Mahakama na Bunge nchini Tanzania zikiwekwa mfukoni na CCM, huko nchini Kenya Mahakama kuu imezuia Polisi wa nchi hio kutumwa nchini Haiti.

    Mahakama kuu ya Kenya angalau imeonesha uhuru wa kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa na serikali katika kufanya maamuzi yake tofauti kabisa na hali iliopo kwa jirani yake Tanzania kwa kuzuia kwa muda kutumwa kwa maafisa wa polisi nchini Haiti kufuatia pingamizi/ombi lililowasilishwa na chama cha...
  2. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Tarakea wachota maji Kenya

    Inasikitisha mno yaani maji yamekuwa ya shida sana hadi kupelekea wakaji wa Tarakea kwenda kuchota maji Kenya. Halafu baadae utasikia ooh mama anaupiga mwingi 🤣🤣
  3. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Kenya ndiyo iwe mpinzani wa Tanzania

    Tanzania inapakana na nchi nyingi tu ila inakuwaje Kenya na Tanzania inakuwa kama Simba na yanga,
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuvifunga Vituo Binfasi vya Kulelea Watoto ili kudhibiti Usafirishaji Haramu wa Binadamu

    Kwa mujibu wa Wizaza ya Ulinzi wa Jamii, Watoto wote wanaolelewa kwenye nyumba hizo watachukuliwa na kukabidhiwa kwa Familia na Vituo vya Kijamii vyenye mazingira salama kwao huku zoezi hilo lilitarajiwa kufanyika katika kipindi cha miaka 8. Kenya imekuwa katika mipango ya kuzifunga Nyumba...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pamoja AFCON 2027: Tanzania vs Kenya vs Uganda

    Time to put things in their perspective. Ring road in Dodoma U/C https://youtu.be/rU64ZWjGhUo?si=Jpaj_cip-MYwSz_C
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Kenya: Bunge lina Watu wengi mno, Viti Maalumu Vipunguzwe

    Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Githu Muigai amesema hayo wakati akitoa maoni mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano na kueleza kuwa baadhi ya nafasi za Ksiasa zinapaswa kupunguzwa ikiwemo idadi ya Kaunti ambazo zinaongeza mzigo wa gharama Serikalini. Muigai amesema Mapendekezo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Media za Kenya na Uganda zinaelezea Fursa za EAC Pamoja AFCON FINALS 2027 za Tanzania zinahoji kwanini jina la Kenya limetangulia!

    Halafu GENTAMYCINE nikiwa Kutwa naidharau Media ya Tanzania mnaona nakosea au siijui jinsi ilivyo rotten Professionally. Hivi kweli kama tayari nchi Tatu za Uganda, Kenya na Tanzania zimefanikiwa kwa pamoja kuandaa Mashindano ya AFCON ya mwaka 2027 kuna haja logically media ya Tanzania kuhoji...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tumeandaa AFCON sawa, nchi ipi kati ya Kenya, Uganda na Tanzania itatoa timu mwenyeji wa mashindano?

    Kenya Uganda na Tanzania zimepewa nafasi ya kuandaa kwa pamoja fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2027 baada ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) kutangaza kuwa ombi lao pa pamoja limeshinda dhidi ya maombi ya Algeria, Misri na Botswana ambazo nazo ziliomba. Kwa kawaida utaratibu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji

    Zaweza kuwa ni nchi zitakazofanikisha sana mashindano haya. CAF wasione haya wayalete tu huku kwenye mzuka wa mpira. Ufunguzi iwe Tanzania na ufungaji pia iwe Tanzania. Dua zenu tafadhari. ===== Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Michezo inaleta uhai kwa maendeleo ya vijijini China na Kenya

    Michezo ya 19 ya Asia ilifunguliwa tarehe 23 mjini Hangzhou, China. Katika miaka 15 iliyopita, toka Michezo ya Olimpiki ya Beijing, Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing hadi Michezo ya Asia ya Hangzhou inayoendelea sasa, China imekuwa mwenyeji wa michezo kadhaa muhimu ya kimataifa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameliheshimisha Taifa na Watanzania nchini Kenya

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais wetu mpendwa jasiri muongoza njia ,shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge, Taa ya Taifa,mboni ya nchi,komandoo imara,Jasusi aliyetukuka ,Simba wa Vita ,mama Wa shoka,Mwamba wa Afrika,mtetezi wa waafrika na sauti ya Afrika mama Samia Suluhu Hasssan ametupatia heshima...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mdude: Tunaipa Serikali siku 30 wafute mkataba

    Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima. Maandamano yatakayokuwa ya...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Viongozi wa Taasisi za Kimataifa wakishiriki kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Afrika Nchini Kenya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 2023) Nairobi- Kenya tarehe 05 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Wakuu wa Nchi na Serikali...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle of Electric Cars, Kenya vs Tanzania

    Hehehe Kenya Tanzania
  15. JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kuzalisha unga lishe wa ugali (blended flour) ili wasiagize mahindi. Waziri Bashe umejipangaje kwa kupoteza soko?

    Kenya inasema kuanzia mwezi Septemba mwaka huu wa 2023 itapitisha sheria kwamba Wazalishaji wa Unga wa mahindi Kwa Ajili ya ugali Waanze Kuzalisha Unga Lishe Kwa Kuchanganya mahindi na mtama, mihogo, miavi nk. Lengo la sheria hiyo ni 1. Kuziba gap la upungufu wa magunia mil.12 ambayo Wanaagiza...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Bunge laambiwa kuna Wananchi wamepata shida za Kiafya baada ya kuchukuliwa Taarifa Binafsi na Worldcoin

    Ni taarifa kutoka kwa Mbunge wa Kisumu Mashariki, Shakeel Shabbir ambaye amelieleza Bunge kuwa amepokea Malalamiko ya Wananchi 5 waliodai kupata shida za Kiafya ikiwemo maumivu ya Macho. Akijibu hoja hiyo, Waziri wa Afya, Susan Nakhumicha amekiri Kifaa hicho hakikufanyiwa majaribio ya uchunguzi...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Kukatika kwa umeme, Bosi wa Viwanja vya Ndege afukuzwa kazi

    Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini Kenya amefutwa kazi baada ya kukatika kwa umeme na kuwaacha abiria wakiwa gizani kwa saa kadhaa katika Uwanja Mkuu wa Ndege wa Nairobi. Alex Gitari alifutwa kazi na Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen, ambaye ameomba radhi kwa changamoto hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Umeme haujakatika Tanzania tu siku ya leo 26/08/2022 hata kenya umekatika, ushahidi huu hapa.

    Hii ni coincidence au hii kitu ilipangwa sitaki kufikiria negative ila ukweli ndio uwo. Taarifa hizi nimezipata toka mtandao wa reddit r/kenya
  19. JamiiForums Tanzania Khaligraph Jones vs Tanzania rappers, Je Khaligraph atawaweza Wabongo?

    Jana imesambaa Video ya kalighlaf akijisifia kuwa hakuna rapper yeyote BONGO TZ anaemuweza ku rap "Labda maneno ya wahenga masikini akipata mato.." Kalighlaf BONGO amekuwa introduced na NIKKI MBISHI baada ya Nikki kumshinda Kali kwenye FREESTYLE EAST AFRICA BATTLE Ndiyo wakafanya na ngoma ya...
  20. JamiiForums Tanzania Niandae bajeti ya shilingi ngapi ili kutembea Kenya?

    Habari wanajamii, Nilikuwa naomba mnipe mchanganuo wa pesa ili niandae nikatembee Kenya, nina mpango wa kukaa wiki moja, siku nne Mombasa, siku tatu Nairobi. Mchanganuo ujumuishe: -Pesa ya usafiri (Dar-Mombasa-Nairobi-Arusha-Dar) -Malazi (nimejaribu kuangalia mtandaoni kuna cheap hotel mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…