kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. G

    JamiiForums Tanzania Wasomali wanazidi kukuwa kiuchumi, population na power Nairobi, wao hujiona sio waafrika, Je kuna hatari kwa wakenya weusi dorminance yao ikizidi ?

    Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini hata hao waarabu wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine, ukiingia jamiiforums yao inayoitwa somalinet utakutana na nyuzi nyingi sana...
  2. JamiiForums Tanzania Ni Aibu Kwa Tanzania Kuzidiwa na Uganda, Rwanda na Kenya Kuvutia Utalii wa Mikutano Wakati tuna Utajiri wa Vivutio vya Utalii

    Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza. Cha kushangaza Tanzania imeshika imeshika nafasi ya 5 ikizidiwa na Nchi za Rwanda,Uganda na Kenya. My Take January Amefuta...
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Governor wa Kenya ana nguvu kuzidi Rais?

    Kwa system ya Kenya huwa naona mara nyingi governor akichallenge na rais, is the hovernor more powerful? Mfano kinachoendelea sasa Governor wa Mombasa kapiga marufuku miraa lakini Rais Ruto karuhusu
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini huja akilini mwako unaposikia neno Kenya?

    Kwa Wakenya, ukiwatajia neno Tanzania, haya ndiyo huwajia akilini mwao: 1. Kwa ndugu zao 2. Nchi yenye vivutio vingi 3. Nchi yenye wasanii bora 4. Nchi yenye uongozi Bora 5. Nchi ya wakarimu Wewe unaona nini akilini mwako usikiapo neno Kenya?
  5. L

    JamiiForums Tanzania “Kukabiliana na China” kwaibuka tena wakati wa ziara ya Rais wa Kenya nchini Marekani

    "Miezi saba iliyopita, Rais William Ruto wa Kenya alipowasili Beijing, China ilimkaribisha kwa zulia jekundu. Safari hii anapoelekea Washington, anapokelewa tena kwa zulia jekundu." Katika wakati ambao sera za serikali ya rais wa Marekani Joe Biden kuhusu Afrika zimekuwa zikilalmikiwa, tovuti ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kenya imeanza kutazama mbali zaidi, baada ya kuona huenda ikakaribiwa kiuchumi na kupitwa.

    Yatupasa kuamka na kuwa makini na kuona jinsi gani kasi yetu ya kuwa taifa lenye uchumi mkubwa Afrika ya mashariki na kati linatimia, by hooks and crooks! Katika kushindana na nchi ambayo kila wakati ipo macho!
  7. JamiiForums Tanzania Kenya na bus lao ambalo lipo kama meli

    MMeona wenzenu hawaangaiki na robot ambaye hajui lugha hadi awekewe google translate. Gari Limetua ziwa victoria mmekuja onyeshwa akiri ni mari. HIvi ndivyo vitu hadìmu mkiona kuna mafuriko linaelea kama meli juu ya maji sio mwendo kazi wenu siku ya mvua na haiendi mwaka mzima akili kila mtu...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Rwanda hakujawai kuwa na uhuru wa hivi kama Kenya? Erick omondi amkosoa rais Ruto

    Kenya ikiwa inaongoza kwa kua na uhuru wa Kujieleza na maoni .Haya mambo huwezi kuyasikia nchi kama Rwanda hata kidogo!! Hata kwene social media raia wa rwanda hawawezi kumkosoa Godfather hata akiuza hako kanchi! Lakin Kenya mambo ni yofauti. Ukipangilia nchi kwa uhuru wa kujieleza na kutoa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kenya yapata hadhi ya Mshirika wa kudumu wa Marekani

    Kenya imekuwa nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kuwa mshirka wa kuduma wa Marekani asiyefungamana na NATO. Hivyo anaungana na nchi nyingine za Afrika zenye hadhi hiyo ambazo ni Misri, Morocco na Tunisia. Kenya itanufaika kwa mengi kupita ushirikiano huo hasa masuala ya ulinzi...
  10. JamiiForums Tanzania Wengine pamoja na Kujipendekeza kwetu Kwao ila bado hawatuthamini na hawatupi Heshima kama hii aliyopewa Ruto, Kenya na Wakenya

    Washington : Rais wa Marekani Joe Biden amemkaribisha mwenzake wa Kenya William Ruto katika ikulu ya White House kwa ziara rasmi ya kiserikali ya siku tatu na kuipa nchi hiyo ya Afrika Mashariki hadhi ya mshirika mkuu wa Marekani ambaye sio mwanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO. Chanzo: DW...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kenya na Rwanda kujiunga jumuiya ya NATO

    Ziara ya Rais wa Kenya William Ruto nchini Marekani imeibua jambo. Ruto kapokelewa na mwenyeji Rais Joe Biden na kuzungumzia Mengi. Biden kamuomba Ruto waanzishe ushirikiano kabambe ikiwa ni pamoja na kujiunga na NATO. Pia kuna tetesi kuwa Rais wa Rwanda atafuata mkumbo huo mwezi July mwaka...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kenya na Uganda wakopa Exim kujenga SGR mpaka Malaba mpakani

    Nimepitia taarifa inayosema Kenya na Uganda zimeingia makubaliano ya kujenga SGR kutoka Kenya hadi Uganda hatimaye Rwanda na DRC na Sudan Kusini. Reli hii ikikamilika italeta ushindani mkubwa na SGR ya Tanzania ambayo nayo ina malengo hayohayo ya kuhudumia Uganda,Rwanda,Burundi na DRC. je hali...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wakubwa wamiminika Tanzania kutoka Kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya rais Samia yanawavuta maelfu kwa mamia

    Nakupongeza sana Samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya Africa n Africa kwa ujumla. Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara Kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya mnaitia aibu Africa. Hivi ndivyo Dunia inavyofahamu kuhusu Kenya 🇰🇪

    WELCOME TO KENYA WHERE:- 1. Girls handbags carry everything necessary for sleepover except their fare back home 2. When you are served little chips in a restaurant, you drink their Tomato Sauce like Pepsi 3. Youths don't pray before eating but take pictures of the meal first then post it on...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inaongoza Afrika Mashariki kwa madeni makubwa katika taasisi za Mikopo duniani

    Kwa mujibu wa taarifa ya Madeni iliyopo katika tovuti ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), imeonesha takriban nchi 47 kutoka Afrika zimeendelea kuwa na Madeni katika taasisi hiyo ya Fedha ambapo hadi hadi kufikia Mei 16, 2024 Nchi 10 zilikuwa na Deni la takriban Tsh. Trilioni 72.3. Aidha, Nchi...
  16. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati uchumi wa Tanzania ukitegemea zaidi Kilimo ulipita wa Kenya na Ethiopia

    Ni muda wa kurudia misingi ya zamani. Ardhi kubwa yenye rutuba ipo.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaze kurusha setilaiti badala ya tahasusi za dini

    Maajabu na vimbwanga vya Serikali. Yaani kosa kuongeza masomo ya ubunifu wa sayansi na teknolojia au hata watoto wafundishwe elimu ya fedha mtandao. Kuangalia namna ya kukuza vipaji vya ubunifu lakini wajuba wanajiwazia Islamic knowledge na divinity mambo ya ajabu sana. Binafsi watoto wangu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Anaupiga Mwingi: Wakulima wa Tanzania sasa ruksa kushindana kwenye Soko la Kenya kwa Fair competition!

    Bajeti ya Serikali ya Kenya 2024/25 imeruhusu mazao ya Kilimo kutoka Tanzania kupata Ushindani wa Haki kwenye Soko la Kenya Kwa awamu zilizopita pamekuwepo na ugumu kwa wakulima wa Tanzania kuuza mazao yao Kenya Mungu wa mbinguni awabariki Rais Samia na Rais Ruto Kamwene 😃😃
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani

    Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau? ======= Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka...
  20. JamiiForums Tanzania Ligi ya Kenya naona kama imeshuka sana

    Ukiangalia wachezaji wengi ni WA kawaida huenda coastal ukienda Kenya inakuwa bingwa tena bila kufungwa hasa golini akiwepo Matampi Hapa naangalia game ya Gor na Shabana dah ni kama ndondo flani Ila kitu nawapongeza naona Wana viwanja vizuri kuzidi NBC Tff na bodi ya ligi wazuie kabisa baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…