Annexation of People's Republic of Kenya into the Great Tanganyika under the United Republic of Tanzania

Oct 16, 2021
9
26
Referendum iandaliwe na serikali kivuli ya dubwana kubwa Tanganyika lililojificha nyuma ya muungano wa hovyo kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba ni wakati sasa ardhi na eneo lote la Jamhuri ya watu wa Kenya viwe sehemu ya Tanganyika Kuu.

Dola ya wakenya ife. Madaraka yake yakasimiwe kwa Tanzania bara. Bendera ya Kenya itunzwe katika jumba la makumbusho Dar es salaam mbele ya kivuli cha bendera ya Tanganyika. Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee itumike kote, mpaka kule visiwani. Kwa muktadha huo, bendera ya visiwa vya marashi ya karafuu pia ihifadhiwe katika Jumba la makumbusho pembeni ya bendera ya TANU na ASP. Kuwe na Nchi moja, Kanda na Mikoa mbali mbali. Kuwe na Bendera moja. Bendera ya Tanzania.

Wakenya wapewe nafasi ya kufanya maamuzi kuhusu hili. Wapige kura ya Ndio au Hapana kuhusu iwapo wako tayari kuwa pamoja nasi kwa kuukana Uraia wao na kuvikwa Utambulisho mpya. Kwamba tangu hapo wataitwa watanzania.

Asili moja
Historia moja
Ukanda mmoja
Tamaduni moja
Lugha moja
Sarafu moja
Watu wamoja
Siasa moja
Taifa moja

Chini ya bendera moja 🇹🇿

Il| Il |I l| Il
 
Duh aisee jina lako la kitasha sana.ila point zako nadhani unazielewa mwenyewe tuambie kiundani maono yako me sijakupata kabisa
 
Referendum iandaliwe na serikali kivuli ya dubwana kubwa Tanganyika lililojificha nyuma ya muungano wa hovyo kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba ni wakati sasa ardhi na eneo lote la Jamhuri ya watu wa Kenya viwe sehemu ya Tanganyika Kuu.

Dola ya wakenya ife. Madaraka yake yakasimiwe kwa Tanzania bara. Bendera ya Kenya itunzwe katika jumba la makumbusho Dar es salaam mbele ya kivuli cha bendera ya Tanganyika. Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee itumike kote, mpaka kule visiwani. Kwa muktadha huo, bendera ya visiwa vya marashi ya karafuu pia ihifadhiwe katika Jumba la makumbusho pembeni ya bendera ya TANU na ASP. Kuwe na Nchi moja, Kanda na Mikoa mbali mbali. Kuwe na Bendera moja. Bendera ya Tanzania.

Wakenya wapewe nafasi ya kufanya maamuzi kuhusu hili. Wapige kura ya Ndio au Hapana kuhusu iwapo wako tayari kuwa pamoja nasi kwa kuukana Uraia wao na kuvikwa Utambulisho mpya. Kwamba tangu hapo wataitwa watanzania.

Asili moja
Historia moja
Ukanda mmoja
Tamaduni moja
Lugha moja
Sarafu moja
Watu wamoja
Siasa moja
Taifa moja

Chini ya bendera moja

Il| Il |I l| Il

Sawa!! wewe ni expansionist !!
Expansionist wengi wana mawazo haya
 
Back
Top Bottom