kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaoshangaa kwanini Kenya huwazidi kwenye kila kitu, hili hapa jibu - Kenya Among Most Improved in Africa 2020 Report

    Na sasa hivi kwa shughuli zinazoendelea kwenye nchi hii, mtahangaika sana kujaribu kutufikia ila pengo linazidi kuongezeka. Mjitafakari wapi mlikalia kuti kavu. ======= Kenya has been ranked among the most improved African countries in the 2020 Ibrahim Index of African Governance (IIAG). The...
  2. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Court halts Kenya duty on glass imports

    Court halts Kenya duty on glass imports THURSDAY DECEMBER 10 2020 Summary In March 2020, Kenya amended its Excise Duty Act 2015 by imposing a 25 percent duty on imported glass bottles, save for glass bottles that are used to package pharmaceutical products. By The Citizen Reporter More by...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kenya watakiwa kurudisha fedha zote walizojilipa kama posho ya nyumba kinyume na Katiba

    The High Court in Kenya has ordered the country's 416 lawmakers pay back 1.2bn shillings ($10m; £7.5m) after ruling that the money had been unlawfully given to them as housing allowances, local media report. The Parliamentary Service Commission (PSC) had encroached on the mandate of the...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EABL picks Kenyan to head its operations in Kenya, Uganda and Tanzania

    East African Breweries Limited has appointed Jane Karuku as the new Group managing director, putting her in charge of the operations in Kenya, Uganda and Tanzania. The appointment, which takes effect on January 1, 2021, is a promotion for Ms Karuku who has heading EABL’s subsidiary — Kenya...
  5. Sherlock

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed is scheduled to visit Kenya for two days

    Ethiopia’s Prime Minister Abiy Ahmed. /VCG Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed is scheduled to visit Kenya for two days from Wednesday, his first foreign trip since he announced the completion of military operations in the Tigray region of Ethiopia. While in Kenya, Abiy will join President...
  6. Simba 254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania is behind, Kenya, Uganda and Rwanda in East Africa innovation

    Kenya is the second most innovative in sub-Saharan Africa, behind South Africa and ahead of Mauritius, according to the World Intellectual Property Organisation’s Global Innovation Index 2019. Ease of doing business ranking (EAST AFRICA) 1. Kenya — Rank 56 2. Uganda — Rank 116 3. Tanzania —...
  7. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya, naskia kuna Wakurya na Wachaga upande wa Kenya, can you share with us your views on them?

    I hope mko poa majirani zetu. Nipo curious to know anything about hawa watu leo nmeambiwa kuna wengine wapo huo upande wenu, I was amazed, nlifkiri wapo tu tz. Dear neighbours, tuwekeeni mambo mawili matatu kuhusu hao watu kuanzia lifestyles zao, shughuli zao, wanasifika kwa mambo gani...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania, huyu hapa muwekezaji mwingine mnampoteza kizembe kwa mnavyomzingua, anawaza kuja Kenya

    Endeleeni kushupaza shingo, jana mlipotezea taarifa za mnavyomtamausha Dangote hadi anawaza kufungasha, haya huyu naye mnamzingua kupita maelezo. ====== Mizengwe: Bilioni 425 za Mwekezaji zazuiliwa Tanzania, Kenya yamshawishi ahamie kwao December 4, 2020 WAWEKEZAJI na matajiri wa viwanda katika...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Januari 1, Kenya yatangaza kurudisha kodi kama ilivyokuwa kabla ya corona

    Waziri wa Fedha wa #Kenya, Ukur Yatani ametangaza kurudisha kodi mbalimbali ambazo zilipunguzwa au kuondolewa ili kutoa unafuu kwa wananchi baada ya nchi hiyo kupigwa na janga la #COVID19 Watu wanaopata chini ya Ksh 24,000 sawa na takriban Tsh. 495,700 hawatalipa kodi ya mapato (PAYE). Kodi ya...
  10. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani yaonya raia wake kutosafiri kwenda Kenya juu ya hatari kubwa ya COVID-19

    Taifa la Kenya usiku wa kuamkia leo wamepigwa butwaaa baada ya taarifa iliyotolewa na serikali ya Marekani kwa raia wake kuhusu hali mbaya ya maambukizi ya Covid 19 huko Kenya sambamba na kiwango duni cha usalama wa afya zao. Taarifa hiyo imepokelewa kwa huzuni na masikitiko miongoni mwa...
  11. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Construction of new overpasses in Nairobi Kenya gathers pace

    The government of Kenya through the Kenya Urban Roads Authority (KURA) has begun the process of constructing two overpasses and a series of road interchanges linking Upper Hill to the Nairobi Central Business District (CBD). Of the two overpasses, one begins from valley road around the...
  12. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ilipigania uhuru wake. Tanzania ilipewa uhuru bure na Mbeberu

    Watanzania huwa wana kiburi ya hali ya juu sana maana wanaamini kuwa wao ndio waliikomboa Afrika kutoka kwa Mabeberu. Ukiona waziri wao akifoka jinsi waliikomboa Afrika hadi mate inamtoka mdomoni na mishipa kuvimba kichwani ndio utajua kwamba hii propaganda ya CCM ni nzito sana. Ukweli wa...
  13. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vita baridi kati ya Kenya na Somalia

    Hii article inaelezea vizuri chanzo cha vita baridi kati ya Kenya na Somalia. Inatoa information nyingi ambayo sikuwa najua kuhusu Somalian politics. Inasema kuwa mawaziri na wanasiasa wa Somalia huwa wanapenda kuja na kujivinjari Nairobi. Wanaishi kwenye mahoteli kubwa kubwa. Wanapenda kuja...
  14. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugandans, Tanzanians top list of migrants in Kenya - Survey

    Uganda has 71 migrants, Tanzania 43 Ethiopia 23, Somali 20, DRC Congo 11, Rwanda 11. In Summary • A third of these migrants being detained for being in the country without proper documentation. • The detained migrants often have their human rights violated as they end up being detained...
  15. MissM4C

    JamiiForums Tanzania Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

    Wakuu mnamkumbuka bwana mdogo Rashid Charles Mberesero, Mpare, aliyekuwa moja wa masterminder wa shambulio la Garisa University na kuua 148, amejinyonga Gerezani leo Mapambano mema na kaburi na Je, Sheria inasemaje? Atarudishwa Upareni na Seriakli ya Kenya? --- One of the three people who...
  16. Bowie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kuipita Kenya kiuchumi

    Professor of wa chuo maarufu nchini Kenya katika mahojiano na kituo cha television cha Citizen amesema baada ya miradi ya Standard Gauge Train na Mwalimu Nyerere Hydro Power Project vikikamilika uchumi wa Tanzania utapanda na kuzidi uchumi wa Kenya.
  17. Gamal Sankara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda's high commissioner to Kenya refuses to hand over

    Uganda's High Commissioner to Nairobi, Kenya Phibby Otaala has said she will not hand over to Hassan Galiwango, who was recently appointed and vetted by Parliament for the position. Ms Otaala said she has never been recalled by the appointing authority, President Museveni, despite leaving...
  18. Swahili_Patriot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What is Kenya without loans?

    Sijakataa sawa nyinyi ndio giants of EAC. Sikatai GDP yenu ni kubwa kuliko yetu. Ila, kutokana na uhalisia ninaouona, nina uhakika GDP ya TZ inayotaka moja kwa moja kutoka vyanzo vya mapato ya Serikali inayoingizwa kwenye mzuguko wa taifa ni kubwa kuliko ya Kenya inayotoka kwa KRA hadi kwenye...
  19. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya crowned world's leading tourism destination

    The award comes barely three weeks after Kenya scooped top continental awards. In Summary •This is the 7th time in the past 8 years and 6th time in a row that Kenya has won the prestigious award at the annual global awards. •This is after having won the award in 2013, 2015, 2016, 2017, 2018...
  20. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Somalia maritime dispute

Back
Top Bottom