kelele

  1. Bess

    JamiiForums Tanzania Nimeikuta mahali: Mzee alivyozima kelele za wabaya wetu

    1: Walitaka kutuuzia mavazi ya madaktari na manesi kwa bei ya laki 3 kila moja JPM akasema tutashona wenyewe kwa bei ya elfu 30 2: Barakoa kutoka nje zikaanza kuwa adimu na kupanda bei JPM akasema watz kila mtu ashone yake zikashuka bei zikauzwa hadi buku 3: Wakaleta Lockdown ili tujifungie...
  2. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuna njaa - wakazi wa Eastleigh huko Nairobi wapiga kelele

    Lockdown yaleta njaa na kelele mitaani huko Eastleigh leo.
  3. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mataifa jirani yanatuthibitishia kuwa sisi tunaopiga kelele kwenye mitandao kuhusu Corona tuna uelewa mpana kuliko CCM na Serikali yake

    Hili suala la COVID 19 kabla halijaanza kusambaa huko kwa majirani sisi huku tulipiga kelele sana. Tulipiga kelele tukabezwa, tukadharauliwa, tukatukanwa. Kumbe waliokuwa wakitutukana walikuwa hawajui chochote kuhusu huu ugonjwa. Aibu! Kikundi cha sisi wa kwenye mtandao tumeonyesha mapenzi mema...
  4. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Kelele na hofu kubwa ya COVID-19 ni filamu ya Mission Impossible 2 (2000) kwa vitendo?

    Are the Pharmaceutical industries running the show? Hii kelele na hofu kubwa ya COVID-19 ni kama filamu la Mission Impossible 2 (2000) kwa vitendo?. Mataifa yote duniani tuna chezeshwa mchezo kama wa kampuni ya kusadikika iitwayo Biocyte Pharmaceuticals wa kutengeneza Chimera Virus na tiba...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Urusi: Zuio la watu kutoka nje lapelekea jirani kuwaua wenzake 5 kwa madai kuwa walikuwa wakipiga kelele

    Kila jambo huja na maajabu yake! Katika hali ya kushangaza, mwanaume mmoja anashikiliwa na polisi nchini Urusi kwa kosa la kuwafyatulia risasi na kuwaua watu watano kwa madai kuwa waligoma kupunguza sauti zao wakiwa karibu na nyumba yake, huku kukiwa na marufuku ya kutembea nchini humo. Tukio...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Babati, Manyara: Watu wanaozidisha kiwango cha kelele usiku wanachukuliwa hatua gani?

    Kuna mazoea ya kupiga muziki mzito katikati ya makazi ya watu. Hapa kuna club moja karibu na Top in One Lodge, stand ya zamani Babati wanapiga muziki hadi usiku wa manane bila kujali ni siku za kazi au lah! Je, mamlaka zimewapa kibali kusumbua wananchi zaidi ya saa sita usiku? Muziki...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Siamini nilichokishuhudia: daladala level seat, hakuna foleni, hakuna kelele, abiria hawasukumani, makonda hawatukani, unafika haraka unakoenda

    Hata kama corona ikiisha halafu mtu akatangaza kuwa sasa daladala zinaruhusiwa kujaza watu kama magunia kama ilivyokuwa mwanzo nitamshangaa sana. Kila mtu kukaa kwenye seat yake ni tija kwa afya ya msafiri, kiakili, kimwili na kisaikolojia. Kwa mara ya kwanza leo nimepanda daladala na kwenda...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Baba "anatawa" nyumbani kazi kupigishana kelele na watoto

    Muogope baba asiesafiri asietoka kujichanganya na wenzake anajifungia tu ndani na kukaa jikoni na mama kuota Moto baba huyo lazima awe mkali na katili kwa watoto Baba unatakiwa usikae sana home familia inakukinahi inakuchoka haiwi na hamu na wewe Sasa wewe utadhani haikupendi kumbe ni...
  9. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Makonda, Mambosasa huku Ubungo Msewe hakuna serikali?

    Kuna bar ipo makazi ya watu hapa Kanisa la Katoliki la Mtakatifu Paulo inapiga muziki mkubwa sana watoto hawalali, wagonjwa wanateseka. Bar ipo makazi ya watu inapiga muziki mkubwa sanaa na hakuna sound proof, juu ya yote sidhani kama wana leseni ya night club maana wangefuata mashariti ya...
Back
Top Bottom