Tuna njaa - wakazi wa Eastleigh huko Nairobi wapiga kelele

na wamefungia malori mpakani yenye mahindi na maharage

kweli ukishindwa kuchagua,umechagua kufeli.
 
Pumbavu Kenyatta unafungia watu ndani wakati huna uwezo wa kkuwalisha, kumbuka njaa ni hatari Mara mia afadhali ya corona
 
Hawa wapuuzi wanaofunga mipaka muda c mrefu watakuja kupga goti kwa jiwe na kuiomba msamaha Tanzania
 
Back
Top Bottom