Nimeikuta mahali: Mzee alivyozima kelele za wabaya wetu

Bess

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
542
649
1: Walitaka kutuuzia mavazi ya madaktari na manesi kwa bei ya laki 3 kila moja JPM akasema tutashona wenyewe kwa bei ya elfu 30

2: Barakoa kutoka nje zikaanza kuwa adimu na kupanda bei JPM akasema watz kila mtu ashone yake zikashuka bei zikauzwa hadi buku

3: Wakaleta Lockdown ili tujifungie tusifanye kazi watuletee misaada kwa masharti yao JPM akasema no HAPA KAZI TU wakashindwa.

4: Wakaleta vipimo feki ili watanzania wengi waonekane na corona tena wakatabiri wagonjwa wa corona watafikia laki 5 hadi mwezi Mei JPM akapeleka mapapai na oil wakashindwa

5: Wakaanza kutangaza vifo kwa kila anayekufa kuwa kafa na corona ili watz wapate hofu na kufa JPM akainuka na kusema watz tusiogope Corona ni ugonjwa kama mengine tusiwe na hofu tukaitikia na kwa sasa hakuna tena taarfa zao za vifo

6: Madereva wa Tanzania kila anayepimwa anakutwa na corona ili tu waue soko la utalii wetu lakini hakuna anayekufa wala kupona hii ilitaka kuzuia wageni wanaotaka kuja nchini wajue Tz kuna corona JPM akasema wapimeni upya huku wakakutwa hawana corona.

Mzee akasema Fungua utalii
 
JPM alisema barakoa za nje zina sumu.

Kupima madereva huku kwetu walipimwa na nini wakati maabara yetu imefungwa kwa uchunguzi usiokamilika.

Halafu hivi una habari sukari bado haipatikani uswahilini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka wametumia test kits zilizothibitishwa na wataalam wetu kwamba ziko vizuri
 
Serikali ilivyokuwa inasimamia maziko ili kuzingatia kanuni za afya, ikawa wakati mwingine inalazimika kuzika usiku, watesi wakaanza Photoshopping na kutengeneza video fake na kusambaza dunia nzima kwamba watanzania wanazikwa kwa maelfu! JPM akagundua janja yao akasema hamna kuzika usiku tena, picha na mavideo yote yakopotea!
 
Barakoa kutoka nje zikaanza kuwa adimu na kupanda bei JPM akasema watz kila mtu ashone yake zikashuka bei zikauzwa hadi buku
Layman, zinazuia virus?issue is not barakoa, issue to sustain the purpose!


1. Can Masks Capture Coronavirus Particles?
The skeptic case:

Amid the outbreak, some people have said: The coronavirus (and other viruses for that matter) is tiny, and masks are so thin. They can’t possibly get tiny coronavirus particles. Business Insider used this logic in their article whose title claimed masks “probably won’t protect you.”
Business-Insider-Masks-Dont-Capture-Virus.jpg

1590140822171.png

Matambara yana vitundi vikuvwa zaidi ya units hizo hapo juu. Kwahiyo hayo matambara ni BURE!
 
Namuelewa sana Magufuli anaposema huu ugonjwa ni vita.

Ni kauli ambayo anairudia mara kwa mara na inaashiria kuna taarifa nyingi nyeti alizonazo kuhusiana na mambo kadha wa kadha kuhusiana na huu ugonjwa plus wanaochagiza.

Wacha tuchape kazi

Long live my President, love for our country
 
Serikali ilivyokuwa inasimamia maziko ili kuzingatia kanuni za afya, ikawa wakati mwingine inalazimika kuzika usiku, watesi wakaanza Photoshopping na kutengeneza video fake na kusambaza dunia nzima kwamba watanzania wanazikwa kwa maelfu! JPM akagundua janja yao akasema hamna kuzika usiku tena, picha na mavideo yote yakopotea!
Huruhusiwi kwenda na simu tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Layman, zinazuia virus?issue is not barakoa, issue to sustain the purpose!


1. Can Masks Capture Coronavirus Particles?
The skeptic case:
Matambara yana vitundi vikuvwa zaidi ya units hizo hapo juu...... Kwahiyo hayo matambara ni BURE!
Hata WHO walishauri kutumia cloth masks kutokana uhaba. Na ni baada ya kumsikia JPM. Hata USA wanatumia. Maana ilitaka iwe biashara mbaya.
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom