Mzee wa Minyama Maulid Kitenge amevunja ukimya na maswali mengi kwa kusema amerudi darasani huku akiwaambia Mashabiki wake wasiwe na wasi wasi siku sio nyingi watamsikia Redio akiipakua Minyama.
Usiku wa kuamkia leo Septemba 9, 2025 katika maeneo ya Washington karibu na Stand Ndogo Jijini Arusha, kulitokea tukio la kusikitisha ambapo Mwandishi aliyekuwa akitekeleza majukumu yake alivamiwa na askari anayefahamika kwa jina la Inspekta.... (jina linahifadhiwa kwa sasa) kutoka Kitengo cha...
Anonymous
Thread
arusha
askari
askari polisi
hatua
jeshi
jeshi la polisi
kamera
kazini
mwandishi
polisi
polisi arusha
wanahabari
Sekta ya kwanza ya anga duniani kubadilisha Boeing 777 kutoka ndege ya abiria hadi ndege ya mizigo✈️
Israel Aerospace Industries (IAI) imerekodi mafanikio mengine ambayo hayajawahi kushuhudiwa, kama kampuni ya kwanza duniani kupokea leseni ya STC (leseni ya kubadilisha ndege kwenda kwa mizigo)...
Wakuu 🔊
Tumekuwa na siku tano za kazi… je, imeshawahi kukutokea ukasahau kitu nyumbani mpaka ukalazimika kurudi kukichukua kwa sababu bila hicho kitu huwezi kabisa kuendelea na kazi yako? 😅 Tuchambue hapa, tupige stori.
Mimi iliwahi kunitokea kusahau laptop nyumbani, bila hiyo siku nzima kazi...
Chombo cha mkuu wa anga
Kamanda ni shabiki kindakindaki wa mashetani wekundu "Manchester United" toka mwaka 1940😅😅😅
Kwa ambao hamuujui "UNGO" hebu tazameni hapa
Hili dege wanaweza kupanda hadi watu 50😅😅😅
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI August, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025.
UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
Chukua mshahara wako gawanya kwa siku unazoenda kazini uone unalipwa shilingi ngapi kwa siku
Mimi kwa siku nalipwa 30k sawa na 900k kwa mwezi
Sijui wewe
Nakumbuka namna Mzee Makamba alivyokuwa akitokwa na maneno mazito kiasi cha meza kuu yote kuinama chini kwa kujawa na aibu, waliingiwa na tahayari (uncomfortable) ya wazi usoni mwao.
Mzee Makamba akasema wema huwa hawafi huku akichombezwa na vicheko vilivyokuwemo mle ukumbini. Lakini miongoni...
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI July, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025.
Talent sourcing solutions
UTUMISHI is a government organization...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Katika kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu...
Jambo hili linaigusa hali halisi ya watu wengi wenye moyo wa huruma, unyenyekevu, uvumilivu na tabia ya kujali wengine kupita kiasi. Hawa ni watu ambao kiasili ni wema, lakini mara nyingi hupitia maisha magumu sana kuliko hata watu wenye roho ngumu. Hii hutokea kwa sababu kadhaa zifuatazo:
1...
Hili wala halina Ubishi kuwa Suala la Bahati na Nuksi itokayo kwa Mtu au Watu fulani ina Nguvu Kubwa mno katika Mafanikio ya Jambo au Mkakati fulani.
Kuna Watu ukiwa nao katika Familia au Taasisi fulani utaona Mambo yanaenda vyema ila pia kuna Watu ukiwa nao huko huko katika hizo Taasisi...
Wakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa
Ahsante.
Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat, ametangaza rasmi kujiondoa kwa muda kazini wakati uchunguzi ukiendelea kuhusu kifo tata cha mwanablogu Albert Ojwang’, ambaye alikamatwa kufuatia malalamiko ya kashfa yanayodaiwa kuwasilishwa na afisa huyo wa juu...
Vijana wanaoanza kazi, ajira mara nyingi nimekuwa nikiwaona wanapitia changamoto nyingi katika mazingira ya ugenini huku wakiugulia maumivu mbalimbali kutokana na kipato kidogo wanachopata wakati huo huo wakiwa hawawezi kukwepa kutoa msaada kwa ndugu zao wa karibu ambao mara nyingi ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.