kazini

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TASHICO yatangaza Meli ya MV Victoria kurejea kazini leo Mei 22, 2025 kuanza safari

    Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) inawatangazia abiria na umma wote kwa jumla kuwa meli ya New Victoria Hapa Kazi Tu itaanza safari zake rasmi siku ya Alhamisi tarehe 22 Mei 2025 ikitokea Bandari ya Mwanza Kaskazini kuelekea Bandari ya Bukoba kupitia Bandari ya Kemondo. Hivyo kampuni...
  2. jangoma

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali ingeangalia namna ya kuwakopesha walimu baskeli za kwendea kazini wanateseka mna kwa kutembea umbali mrefu

    Wengine mpaka miguu imeota vinumbu sabb ya kutembea umbali mrefu kwenda kazini. Tuwahurumieni walimu jamani
  3. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Sina kosa ila nimepewa barua kazini! Kuna mtu ananitakia mabaya? Nifanyeje sasa?

    Kuna baadhi ya wafanyakazi kazini ni kama wanakinga , hawaguswi hata wakikosea vipi. Wanafanya makosa ya wazi, lakini hawaguswi. Lakini wewe ukisema tu kitu kidogo, unaandikiwa barua. Nilikuwa na mtu mmoja kazini ambaye nilimwamini sana. Nilimchukulia kama dada. Nilimueleza changamoto...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kuacha ku-report kazini

    Hello JF family Mimi nilihitimu Diploma ya uhandisi ujenzi(Diploma in Civil Engineering), then nikajiunga kusoma Bachelor degree in Civil Engineering bado nimebakiza mwaka mmoja kuhitimisha, Mwaka huu nikaanza kuomba kazi kama Civil Technician Ajira portal mara mbili, Hii hii May 2025...
  5. nipo online

    JamiiForums Tanzania kazini nimeambiwa nianze kuamka sa 10 alfajiri, gari imebadili muda wa kuanza safari

    nilizoea kuamka sa 12 Leo jioni nimepigiwa simu na boss kua natakiwa niende kuanza kupanda basi anapoanzia dereva, umbali adi kumkuta dereva kilometer 20 nawaza sana. mkiona sijibu sms mjue nimelala ili nisije chelewa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi gaming board wameita watu kazini?

    Nina mrembo wangu amepiga oral anasikilizia majibu ya hao jamaa. Alifanya nafasi ya license officer week mbili zilizopita. Nauliza kama wameishaita kazini au bado?
  7. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kwenye haya mashirika ya umma huwa inachukua muda gani kuitwa kazini baada ya kufanya oral interview?

    Mko poa wajumbe wa jukwaa hili? Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview? Interview husika ilisimamiwa na taasisi husika na sio psrs. Nb:ni mashirika ya umma sio psrs,so mtu asichanganye
  8. R

    JamiiForums Tanzania Elimu ya chuo imekaa kipigaji sana, masomo mengi unayosoma hayana msaada kazini.

    Nikiangalia Transcript yangu iliyojaa lundo la masomo niliyosoma nikilinganisha na kazi nayofanya, naona masomo mengi yalikuwa hayana umuhimu wowote ule. Ni masomo machache sana utayoyatumia practically kazini. masomo mengi ilibidi yawe kwenye kozi nyingine ila yamerundikwa ilimradi tu, masomo...
  9. Under-cover

    JamiiForums Tanzania Mawakili wako kazini kesi ya Lissu kwa Hoja hizi

    MAWAKILI WAKO KAZINI KWA HOJA HIZI- 1. Lissu kagoma kuhudhuria Mahakama kwa njia ya Matandao. Anataka aletwe Mahakamani kwa mujibu wa sheria. 2. MAWAKILI wametoa hoja nzito sana kwamba kwa kuwa shauri limepangwa kusikilizwa kwa awali [Preliminary Hearing] masharti ya kifungu cha 192 [1] cha...
  10. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania UMEWAHI MPAMBANIA MTU HADI AKAPATA KAZI KISHA AKAANZA KUPAMBANA WEWE UONDOLEWE KAZINI!??

    Wakuu Habari! Mungu awe nanyi katika mapambano Yenu. Kisa hiki ni chá ukweli na kimenitokea mimi mwenyewe kabisa toka Kwa ndugu yangu mmoja. Nilikuwa nafanya KAZI taasisi moja Hapa nchini Kuanzia mwaka 2021 Hadi mwaka huu mwanzoni. Ni taasisi kubwa yenye malisho mazuri sana. Mwaka 2023 Kuna...
  11. nipo online

    JamiiForums Tanzania Nimekaripiwa kazini leo, kwa uzembe wa kusababishiwa

    Sijawai maindiwa kazini huu mwaka wa 3. Leo nimesikia uchungu sana kukaripiwa. "Mwenzetu leo umetulate down" hii sauti ya mkuu wangu. na wa ngazi ya chini yake jamaa leo umezingua, daah, afu hawa ni wafanya kazi Wenzangu bada ya kutetea ndo wanaongeza nionekane kweli na Kosa. Ilikuwa hivi kuna...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Pi Network anaomba nimrudishe kazini

    Huyu kijana aliyekuwa anafanya kazi hapa kama operator wa forklift, aliacha ghafla kuja kazini wiki chache zilizopita. Nikafanya jitihada kumtafuta akawa hapokei simu. Baada ya siku kadhaa akanipigia akaniambia anakaribia kuuza coin zake hivyo hafanyi kazi za kimaskini nitafute mtu mwingine...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ukisikia majaribu ndio haya, yupo degree mwaka wa pili, kaitwa kazini serikalini kazi ya Diploma, aghairi au aende ?

    Majaribu ndio hayo wakuu, Dogo ana miaka 23, mwaka 2020 matokeo ya form 4 yalitoka akiwa na division 1, wengi walidhani ataenda advance ila haikuwa kwenye mipango yake, alienda chuo. alipoingia degree alibahatika kupata mkopo (anakula boom) Kimasihara aliomba ajira kwa cheti chake cha...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mke kukupigia pigia simu na anajua uko kazini Tena bila ishu ya dharura hii imekaaje

    Kuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako. Wakati mwingine simu inaita hata mara 15 kwa siku ila hakuna simu yenye sababu ya dharura labda...
  15. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Tafuta hela Rais anashinda na mtoto wako ,wewe ukiwa busy na mambo yako ya kazini

  16. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, tarehe 17 siku ya kumkumbuka shujaa wa Africa ni sikukuu ya umma.? Na sisi watumishi hatuendi kazini?

    Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima.
  17. Magical power

    JamiiForums Tanzania Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii.

    Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI March, 2025

    Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI March, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025. Talent sourcing solutions UTUMISHI is a government organization...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Kazi Kazini: Ona Stories na Historia ya Bibi Titi

    VIJANA WA KAZI KAZINI: ONA STORIES NA HISTORIA YA BIBI TITI MOHAMED Nimealikwa kwenye studio nyingi ndani na nje ya Tanzania kuzungumza na wakati mwingine kwa mahijiano maalum. Kwa kiasi changu naweze kusema nazijua studio na watu wake. Lakini na narudia lakini, studio hii niliyotia mguu leo...
  20. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Picha maalumu za mihangaiko uchakalikaji na pilika kazini

    Tupia picha yeyote inayoonesha ukichakalika kazini iwe mgodini,dukani,sokoni,ukichunga mifugo,au popote pale karibunipicha: shamba la tumbaku katika moja ya kata mkoani tabora
Back
Top Bottom