kazini

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kipi kinakwamisha Ajira Mpya Halmashauri ya Itilima (Simiyu) kutothibitishwa kazini tangu 2024?

    Halmashauri ya Itilima iliyopo Mkoani Simiyu vivyo hivyo pia Watumishi wake walioajiriwa Mwaka 2024 katika Sekta ya Afya hawajathibitishwa kazini. Hii inaleta ulakini ni nini hasa changamoto, maana mwanzo walidai madiwani hawajaapishwa ila sidhani mpaka leo hiyo inaweza kuwa sababu ya watumishi...
  2. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuomba ruhusa kazini?

    wakuu mbinu gani unaweza tumia kuomba ruhusa kazini ukiwa unaenda kufanya usahili sehemu nyingine?
  3. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wachapakazi Hodari' wanaishia kuwa punda wa ofisi, Huku 'Wambea' Wakipanda Vyeo?

    Leo tuweke mafaili ya ofisini pembeni na tuzungumze ukweli ambao Human Resources (HR) wako hatakuambia kamwe. Tangu tukiwa shule ya msingi tulikaririshwa fomula moja ya kijinga sana: "Soma sana, piga kazi kwa bidii, bosi atakuona, utapanda cheo na kutoboa kimaisha tuu." Ila Kwenye ulimwengu...
  4. C

    JamiiForums Tanzania dodoma jiji walimu tuliokidhi vigezo tunatakiwa kuto rushwa ili tuthibitishwe kazini

    tunaombwa rushwa ili kuthibishwa kazini baadhi ya ma maafisa tsc na utumishi takukuru fuatilieni hili
  5. M

    JamiiForums Tanzania Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa siku nyingine?

    Huwa unafanya vitu gani baada ya kutoka kazini ili kuuweka mwili sawa kwa ajili ya siku nyingine au ukitoka kazini unaingia kazini tena huna muda wa kufanya vitu vingine kabisa Mimi huwa napumzika kidogo hata kama kuna shughuli nyingine ya kufanya siingii kuifanya moja kwa moja hasa zile nzito...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa inachelewesha sana kutoa Barua za Kuthibitishwa kazini

    Ni Mwaka Sasa Tangu Tumeajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya Ya Ruangwa Ila Mpka Kufikia Hivi Sasa Hatuelewi Ni Kipi Haswa Kinachopelekea Kuchelewesha Kwa Barua Za Kuthibitishwa Kazini. Tunaomba Viongozi Washughulikie Swala Hili Kwani, Kama Mtumishi Wa Umma Kuwa Na Barua Hizo Inasaidia Katika...
  7. C

    JamiiForums Tanzania mamlaka fuatililieni walimu ajira ya 2025 dodoma wanahitajika kutoa rushwa ili wathibitishwe kazini

    walimu ajira mpya waliokidhi vigezo vya kuthibitishwa kazini tangu February 2026 halmashauri ya dodoma jiji bado hawajathibitishwa kazini . ukifuatilia TCS na utumishi dodoma jiji baadhi ya maafisa wanaomba rushwa na kusema kama ukitoa rushwa siku hiyo hiyo utathibitishwa kazini wanatumia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Nzega DC tunaomba kupewa Barua zetu za kuthibitishwa kazini

    HABARI JAMII FORUM. Poleni na majukumu naomba utupazie sauti sisi Watumishi wa Nzega DC tumeajiriwa tangu mwaka 2024 ila mpaka leo tunazungushwa kupewa barua zetu za uthibitisho tumemuuliza mpaka Mkurugenzi hatupi majibu ya kueleweka walisema mpaka Baraza la Madiwani likae ndio watuthibitishe...
  9. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Njia au mbinu Gani salama kuepuka ushawishi wa mahusiano kazini?

    Let's be short and clear... Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini? Unawezaje kuepuka bila kuvunja heshima na uhusiano wa kikazi? Nipeni mawazo yenu, nipo njia panda mzigo huu umenielemea.
  10. The Dictator

    JamiiForums Tanzania JAMIIFORUM DAILY: Wachambuzi wa vita ya US-ISRAEL/IRAN wakibishana ONLINE.

  11. A

    JamiiForums Tanzania Tuliomba ajira za Posta Agosti 2025, mpaka leo hakuna majibu wala aliyeitwa kazini

    Tumeomba ajira Serikalini tangu Mwaka 2025 Mwezi wa 8 lakini mpaka Machi hii 2026 hakuna aliyeitwa wala majibu yoyote hadi leo. Tuliomba nafasi na tulituma kupitia Ajira Portal upande wa Ajira za Posta.
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Niliondolewa kazini CBWSO (Geita) lakini hawataki kunipa stahiki zangu

    Nilikuwa Mtumishi wa CBWSO Kata NKOME kwa sasa inaitwa BUGANDO, Wilaya ya Geita Mkoa wa Geita, niliondolewa kwa shinikizo la Meneja wa RUWASA (W) 28.08.2025. Licha ya changamoto zilizokuwepo ambazo nazo pia chanzo ni huyo kiongozi wangu, stahiki zangu kakwamisha hata baada ya Bodi kuridhia...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Kasulu DC tulioajiriwa 2024 hatujathibitishwa kazini mpaka sasa Februari 2026

    Watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma walioajiriwa mwaka 2024, mpaka leo bado hawajathibitishwa kazini. Ukienda Ofisi ya Utumishi kuulizia wanakujibu bado hawajakaa kikao, hivi tunaanza mwaka wa pili sasa hakuna sababu maalumu ya kutothibitishwa. Ukihoji sana...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri nyingi zinachelewesha kuthibitisha watumishi kazini

    HR haswa upande wa halmashauri nyingi ni kero, hawashughulikii swala la uthibitishwaji kazini watu wamekaa takriban miaka miwili hawajathibitishwa. Hakuna maelezo kamili ni uzembe uliopitiliza
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Walia, Serikali Yaingia Kazini Kutatua Migogoro ya Mashamba Muheza

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Leonard Akwilapo (wa pili kulia) akizungumza wakati wa kikao cha kujadili utatuzi wa migogoro ya mashamba ya uwekezaji katika wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Wa pili kushoto ni Waziri wa TAMISEMI Prof Riziki Shemdoe na kulia ni Naibu Waziri wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Dharau na manyanyaso kazini iwe chachu kwako kujiendeleza kimasomo ewe mwalimu

    Usig'ag'anie kuwa na elimu ndogo huku dharau na manyanyaso vikitawala makazini. Chukua hatua mapema nenda kasome Acha upuuzi kabisa wewe Mwalimu
  17. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI February, 2026

    Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI February, 2026) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025. UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kwagilwa: Mtendaji Kata ya Kipunguni ‘B’ achukuliwe hatua kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi ipasavyo

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Mtendaji wa Kata ya Kipunguni ‘B’ kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hivi yule mkuu wa wilaya Tabora aliyepewa ukuu wa wilaya na Magufuli kisha akatumbuliwa awamu ya sita alirudi kazini?

    Alipewa kwa sababu baba yake alinya kazi na Magu pale Nyanza. Awamu ya sita ikamtumbua sijui kwa sababu gani. Akamburuta Rais Samia na serikali yake mahakamani. Alikuwa rapa wa CCM! Yupo wapi? Mbona kimya? Alishinda kesi?
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI January, 2026

    Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI January, 2026) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025. UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
Back
Top Bottom