Mwalimu mmoja katika Kaunti ya Nyamira nchini Kenya amelazwa katika hospitali ya Ikonge baada ya kushambuliwa na mwalimu mkuu kwa madai ya kuchelewa kufika shuleni.
Mwalimu huyo wa Sekondari aitwaye Vincent Onyancha amesema alifanyiwa vurugu mbele ya wanafunzi wake darasani wakati akifundisha...
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.
Mimi sio mvivu...
Wakuu,
Nimekumbuka kipindi tuko shule, ukifanya kosa au kuwa mtundu shuleni mzazi wako anakuwa hakauki shuleni.
Sasa usiombe ukadakwa kwenye skendo kubwa kama kudakwa na boifrendi/gelifrend hapo ndio unapelekwa asembo kabisaaa, unachapwa mbele za watu na suspenshen juu!😂😂
Ila waalimu...
Huko Marekani kuna wanawake wameanza kulalamika kwamba ingekuwa ni mwanamke anafanya kama anavyofanya Elon Musk kwenda na watoto wake kazini Ikulu ya Marekani watu wangepiga kelele sana!
Haya madai yana mashiko?
Huyu Dada( Marehemu) alikuwa na Masters.
Na rafikiye ana Masters pia.
Walikuwa wanafanya Kazi idara moja.
Huyu Dada Marehemu akapandishwa cheo.
Rafiliye Kwa sababu ya wivu akamuweka sumu kwenye chakula ili afe.
Na huyu alie fanya hivyo ni msomi mwenye Masters..
This means what? Elimu ya...
1. Bosi wangu ananifokea Sana kwamba sijui kazi ilihali ni kitu nilichosomea na najitahidi kuonesha juhudi
2. Bosi wangu ananifokea Sana hata kwa makosa ambayo kayafanya yeye mwenyewe kwa uzembe
3. Natumia kila njia ili niwe mfanyakazi mzuri na kumfurahisha bosi wangu lakini Bado anakuwa mkali...
Wewe ambaye umeajiriwa au unajitolea au unafanya kazi yoyote na unajitafutia na wewe riziki
Naomba ushauri hivi unafanyaje kushinda uonevu au chuki eneo la kazi?
Pindi Fulani mtu anakuchukia au kukuonea hata hujui ulimkosea nini
Wakuu habari za jion? Waswahili walisema dunia hadaa ulimwengu shujaa, ndio hii sasa nakutana nayo mimi.
Nilikuwa muajiriwa wa kampuni (A) hivyo kampuni (B) walinitafuta sijui ni wapi walipata namba zangu.
Hr wa kampuni (B) alisistiza kuwa wanahitaji huduma yangu, na mimi pasina kusita...
Wakuu ikumbukwe juzi nimeleta uzi hapa juu ya ndugu kuniona sina akili kupuuzia ajira za serikalini,kwa kua hazina uhakika,.
Na pia pale job ukiomba tayarii umeandaa uadui na boss.
Juzi kuna mwalimu alienda kimya kimya na jamaa alikua anategemewa kazini. kiukweli alichofanyiwa nimewaza sana...
Enyi wazee wa kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya, mnang’ang’ania kana kwamba hamjazaa
Enyi wazee wetu miaka 60 ya kustaafu imeshatimia bado hamuachii viti mmekua kama hamjazaa mbona vijana tupo
Vijana wenye ujuzi mpya wapo mitaani...
nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?
Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
Kiumri wamenizidi ila kielimu nimewazidi karibia wote. nipo katika kiwanda fulani hivi hapa Kanda ya kusini, nimepangiwa kusimamia wafanya usafi lakini kila nikiwakusanya na kuwapa maelekezo wananidharau.
Naomba ushauri je hali kama hii naikabili vip, nimeita adi vikao kadhaa lakini mahudhurio...
Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.