kazini

  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji kazini: Kuboresha Utawala Bora kwa maendeleo endelevu

    Utangulizi: Katika kuimarisha uwajibikaji na utawala bora katika sekta yoyote, mabadiliko madhubuti yanahitajika. Makala hii inaelezea jinsi mambo manne yanayohusiana yanavyoweza kuchochea mabadiliko hayo na kuleta maendeleo endelevu. Andiko hili limeandikwa kwa maneno hayazidi 100. Sehemu ya...
  2. JamiiForums Tanzania CCM yatoa tamko kulaani kushambuliwa waandishi wa Mwananchi wakiwa kazini

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na kinalaani vikali tukio la kushambuliwana, kujeruhiwa na kuporwa mali Wanahabari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), lililotokea Julai 22, 2023, maeneo ya Temeke, mkoani Dar es Salaam, wakati waandishi wa habari wa chombo hicho...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi mafunzo ya elimu kwa vitendo yanavyochochea uwajibikaji kwa wahitimu na wasomi kazini hapa nchini

    JINSI MAFUNZO YA ELIMU KWA VITENDO (FIELD/INTERNS) YANAVYOCHOCHEA UWAJIBIKAJI KWA WAHITIMU NA WASOMI WA ELIMU YA JUU KAZINI HAPA NCHINI. Nchini Tanzania kutokana na ongezeko la vyuo vikuu kumekuwapo pia na ongezeko kubwa la wahitimu wa elimu ya juu kitu kinachopelekea upungufu mkubwa wa ajira...
  4. JamiiForums Tanzania Bora niinjoi: Shetani yupo kazini

    Huu wimbo mzuri sana kusikiliza. Tatizo ukija kwenye ujumbe ndio tatizo. Unapinga mahusiano. Tujiunge na Jux na Diamond kwenye upweke na ukapela tukanywe na tucheze juu ya meza. Nawashauri wasanii wetu hawa wazuri kwamba watengeneze version nyingine ya huu wimbo kwa ajili ya kupalilia mapenzi...
  5. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwanafunzi kidato cha 3 adaiwa kujinyonga, kisa kuikataa Shule

    Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Lumbira iliyopo Kata ya Luanda Wilaya ya Mbozi mkoani hapa, Jafari Mwashitete (16) amekutwa amefariki shuleni akidaiwa kujinyoga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya amethibitisha kutokea kwa tukio la kujinyonga kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Unaweza soma Degree Huku ukiwa Kazini

    Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima. Naomba kuuliza kwa wale wenye uzoefu au walishapitia naomba Mnisaidie hapa. Mfano mtu amemaliza Diploma then akapata kazi akaajiriwa, je anaweza soma Degree akiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanasheria afungua kesi kupinga Jaji Mkuu kubaki kazini baada ya muda wa kustaafu kupita

    Kesi hiyo ya kikatiba imefunguliwa na Wakili wa kujitegemea, Humphrey S. Malenga katika Mahakama Kuu Masjala ya Dar es Salaam ikiwa ni siku chache tangu Rais Samia amuongeze muda Prof. Ibrahim Juma Profesa Juma, ambaye alizaliwa Juni 15, 1958, amekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania tangu Septemba 10...
  8. JamiiForums Tanzania Majina ya walioitwa kazini na Wizara ya Afya kwa walioomba kazi 2023

    Wizara ya Afya inapenda kuwataarifu waombaji wa ajira za kada za afya zilizotangazwa kwenye Tovuti ya Wizara ajira.moh.go.tz tarehe 21 Aprili, 2023 na kufungwa tarehe 04 Mei, 2023 kwamba taratibu za kuchambua maombi ya kazi zimekamilika. Waombaji wote waliofaulu na ambao majina yao...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

    Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza kuogopa. Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu barua ya kurejeshwa upya kazini

    Habarini, Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo. Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja wa kiafrika ashangaa Waziri kutembea kwa miguu kulelekea kazini

    Video Dada wa kiafrika kakutana na waziri mkuu wa Netherland, anakwenda ofisini kwa mguu akitokea nyumbani kwake... Dada anashangaa anahema kwa mshangao akikumbuka Afrika huku😃 mpaka katibu tarafa ana king'ora
  12. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwa wale waliofanya interview ya MDA & LGA 14 may 2023 kama tayari wameitwa kazini

    Wadau samahani naomba kujua kwa wale waliofanya interview ya MDA & LGA 14 may 2023 kama tayari wameshaitwa kazini au kama wapo basi naomba mawasilia🙏
  13. JamiiForums Tanzania Orodha: Serikali yawaita kazini walimu 13,130 na kada za afya. Watakaoshindwa kuripoti ndani ya siku 14 watapoteza nafasi

    OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imewaita kazini walimu 13,130 kwa ajili ya kufundisha wanafunzi katika ngazi ya shule za msingi na sekondari. Orodha ya Waombaji ajira iliyochapishwa leo Juni 5, 2023 katika kurasa 515 imehusisha walimu ambao pia wamesoma na kuhitimu...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni: Askari 217 walioumia na 16 waliofariki kazini wamelipwa Tsh. Bilioni 1.2

    Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani imeeleza kuwa malipo hayo yalifanyika katika kipindi cha Julai 2022 hadi Mei 2023, kupitia mfuko wa Tuzo na Tozo wa Jeshi la Polisi. Kati ya fedha hizo, Tsh. 948,335,400 zimelipwa kwa Askari 217 walioumia kazini na kiasi cha Tsh. 252,000,000...
  15. JamiiForums Tanzania Watumbuaji wa Awamu ya Tano walia njaa, waomba Rais Samia awarudishe kazini hata kwa vyeo vya chini

    Kitwala aliwahi kuwa mkuu wa Wilaya ya Mkoani Tabora, enzi zake alisimamisha kazi makumi ya watumishi na kuwafukuzisha kazi. SSH akapita naye kama mwewe, akawa raia wa kawaida. Kumbe chini ya kapeti akaomba awe Afisa sheria pale PSSSF, cheo Cha chini kabisa kutoka katika ukuu wa Wilaya. Hakika...
  16. JamiiForums Tanzania Hatima ya mtumishi aliyefukuzwa kazi kwa utoro kazini akiwa shuleni kwa barua

    Kwenu wanasheria. Mpwa wangu alikuwa chuo akisoma shahada ya pili! Kwenye kile kipindi cha giza alitolewa kwenye ajira kwa kisingizio kwamba alikuwa nje ya kituo cha kazi na kwamba muajiri alikuwa hajui alipo. Amejaribu kufuatilia lakini ngoma ngumu. Japo kuna wadau wanasema anaweza kurudi...
  17. JamiiForums Tanzania Wenye vyeti fake warudishwe kazini haraka kuliko hawa wanaomaliza Chuo sasa

    Huyu jamaa yangu natamani arudishwe kazini. Naona yeye bado wenzie wawili tayari. Serikali iwakumbuke hawa wenye vyeti fake wapewe ajira kwanza kuliko wale fresh from schools. Hawa wenye vyeti fake mkumbuke wengi walishaanza kuwa na family. Please please wote warudishwe kazini.
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini

    Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini, Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni. Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha, Jina la raia huyu ni Elva Johansson. Na kazi yake ni WAZIRI WA...
  19. JamiiForums Tanzania Bodi ya Tanzania Forest Service Agency (TFS)ilimaliza muda wake 2021 hadi leo ipo kazini

    Hii nchi ina vituko kwa kweli. Bodi ya Tanzania Forest Service Agency (TFS) iliundwa mwaka 2019 ambapo kipindi chake kilitakiwa kiishie mwaka 2021 ila cha kushangaza hadi sasa bodi hiyo ni mwaka 2023 ipo kazini. Nimekubali Maza anaupiga mwingi.
  20. JamiiForums Tanzania Ni vizuri kumwambia mkeo kiwacho Cha pesa unacholipwa kazini?

    Ni vizuri kumwambia mkeo kiwacho Cha pesa unacholipwa kazini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…