kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. K

    JamiiForums Tanzania DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

    Wale waliokuwa wakitetea kuwa DP World wakija hawatapunguza watu kazi njooni hapa mtueleze. Jamaa ndio wameishauziwa taratibu wanaanza kuondoa watu. Kiko wapi? --- Tarehe 22 Oktoba, 2023 Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia Mkataba na Kampuni ya DP World ya Falme ya Dubai...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS, Harold Sugusia amsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji, kupisha Uchunguzi wa matumizi mabaya ya Milioni 670 za LAAC

    Wanabodi, JF, kama kawaida yetu, be the first to know!. Chama cha Wanasheria Tanganyika, kwafukuta, rais wa TLS, (r ndogo), Wakili Msomi, Harold Sugusia akunjua makucha, kupitia The Governing Council, amempiga panga kwa kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, kwa kipindi cha miezi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Tumeachishwa kazi kihuni na Global Publishers, wanataka kutudhulumu haki zetu, tufanye nini?

    Habari zenu, kwanza nianze kwa kuwapa hongera wale wote walio kwenye mfungo wa KWARESMA na RAMADHANI, MUNGU WA MBINGUNI awaongoze salama hadi mwisho. Leo nimekuja mbele yenu nataka ushauri, nifanye nini au tufanye nini sisi wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers inayomilikiwa na Mbunge wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania NSSF kwa kutoa 33% ya mshahara wa mwezi mtu anapokuwa hana kazi ni kutaka mtu aendelee kuajiriwa mpaka baada ya miaka 55

    NSSF na Serikali hawaongei lugha moja. Serikali inataka watu wajiajiri lakini NSSF inataka watu waendelee kuajiriwa mpaka wakifika miaka 55. Kwa mtazamo wangu mtu alitakiwa apewe 30% ya michango yake kama kiinua mgongo kimuwezesha kujishughulisha mwenyewe bila kutegemea tena ajira wakati bado...
  5. Nyamesocho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amemchoma Mke wake wa zamani ili afukuzwe kazi. Je, kakosea?

    Jamaa anadai huyu Jenifer ( siyo jina halisi) alikuwa mke wake wa ndoa, walipofunga ndoa jamaa alifanya janja janja ili angalau na mke wake apate sehemu ya kupata kipato chake Akiwa ndo wana mtoto mmoja jamaa aliandaa mazingira fulani akapata cheti na kufanikisha mke wake kuingia chuo na baada...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwajuma Nasombe, DED Moshi Manispaa afukuzwe kazi

    Kwa furaha kubwa ya Wana mwanga, mungu amempeleka Makamu wa Rais Dr Mpango kuitembelea wilaya ya Mwanga . Madudu aliyayakuta huko, aliyekuwa DED wa mwanga akahamishiwa Moshi Manispaa, Mwajuma ,anastahiki kufukuzwa kazi na kufungwa. Miradi yote huko ni wizi mkubwa, na tuna hisi huyu mama...
  7. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa. Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo...
  8. The bump

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mdada/Binti wa kazi Smart Mwenye Elimu Kuanzia Form 4 kwa ajili ya kazi ya duka

    Eneo Duka Lilipo : DAR - STOP OVER MAJUKUMU : 1.Kuuza Vitu Dukani 2.Kuwashawishi Wateja Kununua Kwa kuwaelezea Faida na Hasara ya Kutotumia Bidhaa Husika. 3.Usafi wa Vitu na Duka Zima kwa Ujumla 4.Ku record Mauzo ya Siku husika/Matumizi ya Siku Nzima,nk. SIFA ZA BINTI ANAEHITAJIKA 1.Uwe...
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ipi sahihi; kufanya kazi kwa bidii au kufanya kazi kwa welevu?

    Wengi wanashauri, ili ufanikiwe lazima ufanye kazi kwa bidii; lakini miaka nenda rudi, kuna wasukuma mikokoteni wanafanya kazi kwa bidii, waponda kokoto wanafanya kazi kwa bidii, mkulima analima kwa bidii, mchoma mahindi anahoma kwa bidii, muuza nyanya anafanya kwa bidii n.k lakini maisha yao...
  10. De Rama Msirikale

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa kuanzisha Non-Profit Organization

    Habarini wakuu na poleni kwa majukumu. Naomba kwa walio na uzoefu wa kuanzisha NGO,s kama hizi non-profit organization masuala ya wanawake, watoto, vijana na vikundi ili kuleta impact kwa jamii upande wa uchumi na kuleta fursa ya kazi
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mamkala ya Mapato Tanzania (TRA) inabagua baadhi ya shahada wakati wa kuajiri

    Mimi ni mmoja wa wahitimu wa elimu ya juu. Bachelor of commerce in banking and finance. Swali langu kwa TRA ni kwamba kwanini watu waliosoma finance wanaruhusiwa kuomba kazi TRA na watu waliosoma Banking and finance wanakataliwa? Watambue kwamba watu wa banking and finance ni lazima wasome...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka kumzuia mkewe asifanye kazi

    Mke wangu amepata kazi mshahara wake ni mkubwa zaidi yangu na mkataba wake unasema atakuwa anatembelea gari ya kampuni wakati mimi sina hata gari. Nataka kumkataza asikubali hiyo kazi, je niko sahihi?
  13. A

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Rais Samia anaungwa Mkono na wana CCM wote

    #HABARI: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa Watanzania wote kwa ujumla wao wanajivunia uwezo mkubwa wa kiuongozi, anaouonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka 3 ya uongozi wake...
  14. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi na makazi

    Ni tumaini langu wote wazima. Naandika uzi huu kwa ombi la msaada. Kwa kweli, mambo yameniendea ovyo, nikiwa jijini Dar es Salaam. Kazi ilisimama, katika kusaka nyingine, kodi ya nyumba ikaisha nikiwa sina kitu. Hapo nyuma, familia nayo inanitegemea kwa kila kitu. Kiukweli, ukilinganisha...
  15. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu anafanya kazi gani?

    Sio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut. Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia, 1. Amejenga ndani ya miezi miwili au mitatu. 2. Tangu ahamie, muda wote yuko ndani, mara kadhaa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania CCM imewapa ladha zote za uongozi watanzania, kazi kwetu kuchagua radha tuipendayo.

    Mpaka sasa CCM imewapitia Radha tofauti tofauti za uongozi watanzania kutoka Kwa viongozi wake. Kutoka radha ya viongozi wenye maamuzi magumu, Radha ya viongozi wakali sana, Radha ya viongozi wapole na Radha nyingine tofauti tofauti. Ni jukumu letu watanzania kuchagua Radha tuipendayo maana...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi ya kazi maabara

    Habari! Habari za mchana ndugu zangu, anahitajika mtaalamu was maabara ngazi ya Cheti jinsi Ke, Mshahara maelewano. Call: 0768396747 Ahsanteni.
  18. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, civil engineer

    Habari za wakati huu ndugu zangu, mimi ni mhitimu wa ngazi ya degree in civil engineering mwaka 2023, natafuta kazi ( ushauri pia napokea)
  19. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi Community Development

    Habari, Mimi ni msichana wa miaka 26, natafuta nafasi ya kazi ya maendeleo ya Jamii name elimu ngazi ya dilpoma au shirika lolote linalohusiana na maendeleo ya jamii. Ninauzoefu niliwahi kujitolea katika shirika la FARAJA TRUST FUND liliopo morogoro linahusika na maswala ya USAID BORESHA...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mbezi Chini (Barabara ya Mwaikibaki) ni hatari kwa watembea kwa miguu, mpaka itokee ajali mbaya ndio ifanyiwe kazi?

    Wakuu kwema? Niende moja kwa moja kwenye mada. Barabara hii mbali na kuwa ni kero kwa watembea kwa miguu lakini pia ni hatari sana kwa usalama wao. Kwanza hakuna njia kwaajili ya watembea kwa miguu, halafu maajabu ni kwamba kuna vivuko kwaajili ya watembea kwa miguu. Sasa unaweka vivuko...
Back
Top Bottom