kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Je unaweza kufanya madiliko kwenye application ya kazi baada ya deadline

    Naomba kuuliza eti nimefanya application ya police ajira sasa Kwa bahati mbaya siku ya Leo tar 27 nimecancel application then mfumo ukaniambia ni deadline je Ina madhara yoyote?
  2. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kilimo na ufugaji vinawezekana serikali ikiboresha mazingira

    Kumekuwa na dhana potofu hasa katika maswala ya kilimo na ufugaji kwamba vijana hawapendi kilimo na ufugaji vijana ni wavivu.mm niseme hata hao wanao sema vijana hawapendi kilimo na ufugaji nao ni wavivu Sana ajabu wao wenyewe wameajiliwa na mtu hyo wanae msimanga mvivu na hapendi kilimo na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva bodaboda au uvuvi

    Habari WanaJF, Natafuta kazi ya udereva boda boda ,uvuvi na yeyote ile kikubwa inipatie kipato cha kujikimu, umri wangu ni 24 naishi hapa Dar pia Nina ELIMU ya chuo kikuu upande wa education in kiswahili and history ila bado nimehairisha mwaka kwa ajiri ya KUJITAFUTIA, mawasiliano 0785598033
  4. PHILE1879

    JamiiForums Tanzania Je, baadhi ya kazi zinafanya mtu apoteze utu?

    Niko safarini kutoka kanda ya kati kuelekea Geita. Nafika eneo fulani mkoani singida. Wale wenye sare nyeupe wananyoosha mkona kuashiria nisimamishe gari. Yeye: Nipe leseni yako Mimi: Hii hapa Yeye: Una deni la faini Mimi: Ndiyo Yeye: Lipia Mimi: Bado nina safari ndefu.Nina akiba ya kununua...
  5. BWANA WANGU

    JamiiForums Tanzania Utamshauri nini kijana aliyepata kazi leo kwenye wimbi hili la ufinyu wa ajira?

    Kwako mdau, Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, kutokana na Wimbi kuongezeka la vijana wengi kukosa ajira/kazi. Ni ushauri gani utampa mtu aliye pata ajira leo. Ushauri uwe ume base kwenye eneo la kazi, kiuchumi na kijamii.
  6. Kelvin Malila

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi dar

    .
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya education ila nimeahirisha mwaka

    Habari viongozi, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar, Nina ELIMU ya chuo kikuu na nimehairisha MWAKA kutokana na changamoto mbalimbali ila nahitaji kufanya KAZI itakayo nipa kipato ili niweze kukusanya pesa za Kuni somesha ,KAZI YOYOTE ila kikubwa iwe halali, namba 0785598033
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Utumishi watangaza nafasi mbalimbali za kazi

    SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Kumb.Na.JA.9/259/01/A/539 24 Mei, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mamlaka za Serikali ya Mtaa (LGA's) anakaribisha maombi ya kazi kutoka...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kazi kwa vijana wawili

    Ofisi mpya inahitaji vijana wawili, mmoja kwa ajili ya kusimamia duka la viatu (wakike) na mwingine ni kwa ajili ya mauzo ya insurance. Ofisi ipo kinondoni vijana, Dar es salaam, mwombaji awe jirani na maeneo hayo awe na uwezo wa kuuza, kutumia computer kidogo na awe anajua tumia mitandao ya...
  10. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Weka kazi na kuwa na msimamo kujenga utajiri mkubwa

    Rafiki yangu mpendwa, Kwenye maisha, kile kinachoitwa ni mafanikio ya haraka, huwa ni kazi iliyofanyika kwa muda mrefu bila ya kuonekana. Kwa bahati mbaya sana, wakati watu wanaanzia chini kabisa na kupambana kufanikiwa huwa hawaonekani. Lakini wakishafanikiwa, wanaanza kusikika na kujulikana...
  11. Gaston Yohana

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuandaa mpango kazi juu ya upatikanaji wa vitambulisho online

    Mim nilikuwa nashauri serikali ianzishe mpango kazi mzurii juu ya kurahisisha upatikanaji wa vitambulisho kwa njia ya mtandaoni(online)ambapo mwananchi ataweza kuweka tarifa zake mtandaoni akiwa mahari popote nchini,ili kupunguza usumbufu wa wananchi kwenda ofisi za nida ambapo muda mwingnee...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata kazi ya uvuvi

    Habari wakuu, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa apa dar es salaam naitaji kufanya KAZI ya uvuvi naomba mwenye connection anisaidie.
  13. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Philemon Mollel: Kuteuliwa kwa Makonda ni fursa kwa wakazi wa Arusha kutatuliwa kero zao

    Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za wabaya wanaokuteta mitandaoni

    Mh Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za mafisadi wanaokuteta mitandaoni kumbuka kuwa binadamu hata umfanyie jema atakupaka mavi Ni hivi karibuni umeanza harakati za kuwafuata Wananchi na kusikiliza keo zao ikiwemo kutatua lakini mitandaoni humu tunaona watu wakijadili misafara yako...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeomba kazi Polisi pamoja na Kampuni binafsi. Kwa wenye uzoefu, ni wapi niende?

    Naombeni mnisaidie ushauri, nimeapply Kazi sehem mbili, Ajira za polisi pamoja na private company as sales engineer. Kwa wenye uzoefu Ni wap niende.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kazi ya udereva bodaboda

    Habari wakuu, Mimi ni kijana umri miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya ubungo,natafuta KAZI ya udereva boda boda iwe ya mkataba au daywaka ,namba 0785598033, ila leseni sina japo ni mzoefu na natarajia nitakata mwezi ujao
  17. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hizi hapo title za kufanyia utafiti/ research kwa ajili ya wanazuoni na wadau wengine, title ambazo hazijafanyiwa kazi mpaka Sasa kwa sector zote

    Habari za Leo tena, karibu katika jamvi la story of change, jukwaa linaloibua mawazo mapya. Leo katika Uzi wangu huu, nataka wadau wote kutoka katika sector zote, tusaidie wadau na wanazuoni wanaotafuta titles za kufanyia research ambazo bado hazijawahi kufanyiwa kazi kabisa, naomba tuwe...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji kazi ya ualimu kufundisha Chemistry na Biology

    Kitaaluma ni mwalimu wa masomo ya chemistry na biology. Nina uzoefu wa kufundisha O level na A level kwa zaidi ya miaka tisa sasa. Ninao uzoefu wa kuongoza pia katika nafasi za ukuu wa shule, taaluma na nafasi nyinginezo za uongozi katika taasisi zizsizo za kielimu. Nina uwezo pia wa kufanya...
  19. Jicholamwewe

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi. Nina Certificate ya Laboratory Technician level ll

    Habari wakuu, natafuta kazi ya permanent au temporary. Nina certificate ya laboratory technician level ll, pia nina experience ya miaka 2 ya quality control, quality assurance, lab technician na blending operator pia viwanda vyote vinavyotengeneza vinywaji vya spirit kama konyagi, kvant...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Bado mnashea umeme? Ijue prepaid submeter inavyofanya kazi

    Kwenye nyumba zetu tunazoishi au maeneo mbalimbali ya biashara, changamoto ya umeme wa kushea ni kero kubwa kutokana na kutegemea mfumo wa kushea mita moja ya umeme (LUKU). Katika mfumo huu ni ngumu kutambua matumizi ya umeme kwa mtu binafsi, ni ngumu kudhibiti matumizi ya umeme kwa mtu binafsi...
Back
Top Bottom