kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kudhibiti mapaka bar ni ya mmiliki sio mteja

    Kuna hizi bar hasa za daraja la kati na chini paka huwa wametamalaki wanakodolea macho, wanajipitisha kwenye miguu, wanangurumia wateja na wengine wanawarukia hadi kuwaparua wateja ili wawape nyama au samaki. Sasa paka wenyewe huwa katika hali mbaya sana ya kiafaya, wengine wakiwa na chawa...
  2. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Jeshi Gongo la Mboto ihamishwe kijengwe kituo cha basi

    Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu. Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo la mboto ilikuwa iko wilaya ya kisarawe ni shamba. Sasa kuwepo kambi ya JWTZ kwa kipindi kile...
  3. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Barnaba naomba nikuulize mkeo hakufahamu kuwa kazi yako ni mziki halafu wanawake mjitafakari mnapotaka kuingia kwenye ndoa

    Sijui ni kiki au ndio kweli ila nimepata picha kuwa mambo ya kuwekana wazi au mlivyokutana mlibidi kukubaliana kuwa kazi ya mwenzake. Imngeweza kuishi kama wafanyavyo wasanii davido na kwengine.Pili ingekuwa mimi barnaba kwa kweli ni aibu kesi yako kama mama mkwe kakutawala na mwanae. Aisee...
  4. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 1990s ndo kizazi cha dhahabu cha watu wanaojitambua

    Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically . Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew Wanazaa kwa mpango Wapo logically Wapo na mental well being. Be blessed , Golden generation.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira (kazi) ni mwanafunzi wa chuo lakini najisomesha mwenyewe

    Mimi kijana wa miaka 24 nasoma degree mwaka wa kwanza Dar es salaam. Naomba mnisaidie kazi kwa sababu najisomesha mwenyewe. Mimi hata nikipatiwa kazi ya kuingia kwa zamu sawa ila iwepo Dar es Salaam Nitawashukuru sana jamani naomba mnisaidi namb zangu +255 772 525 607 hizo naomba mnisaidie...
  6. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania Niliomba kazi kimasihara naona ntaipata na siko motivated

    Wakuu vipi, Niliona Tangazo la kazi kupitia careerjet, la Curator, basi nkaomba maana application Yao ilikuwa so simple. Hii kazi inaitaji uwe na laptop na bandle, unalipwa $0.15 per each link utakayo submit. Naona mtu akikoma nayo anatengeneza pesa nzuri sana,lakini mie Sina uzoefu nayo ...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo

    Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo Miongoni mwa kipindi cha Urais chenye machawa na vikundi vya uchawa ni kama hivi sasa ni balaa sana je hili ni jambo sahihi katika siasa zetu
  8. liyangafx

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali Dar es Salaam

    s
  9. B

    JamiiForums Tanzania Israel yaifungia Aljazeera, yachukua vifaa vyao vya kazi

    1. Yale ya Makonda na ile TV pendwa ya pande za kwetu yametimba Al Jazeera Israel: 2. Kwamba pasipo na kusubiria kitu Al Jazeera wafunge virago? 3. Kwamba wale wachumba kumbe wamekuwa nao wakitamani malaika mfunga mitandao afanye yake? 4. Nani wa kuunga mkono ubazazi huu? 5. Hoja si...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hongera Kinana kwa kumjibu Tundu Lissu ila kazi bado ipo

    Katika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu Ndug. Emmanuel Nchimbi. Kitendo cha Kinana leo kutoka na kumjibu Lissu kimeonesha kuwa japo huyu...
  11. Lumbi9

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Location ni kinondoni Morocco kwenye majengo ya Morocco Square, mengineyo yanajieleza hapo kwenye bango.... Kama huelewi unaibuka tu utajieleza hukohuko sio mpaka uitwe
  12. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Waajiri wanawapa wakati mgumu wahitimu wa vyuo kutafuta kazi

    Leo kuna dogo kaja ana lalamika yani kaenda kwenye interview na alipofika amewakuta wale wanaomuuliza maswali wanaelewa sana kile alichokisomea yeye na hata wao hawajasomea course hiyo. Walimwambia kuwa hawamuhitaji kwani wanachuo wengi wanafundishwa kwa theory sana na sio practice. Kwa stahili...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuandaa mpango kazi mzuri wa kuzuia uchafuzi wa mazingira nchini

    Awali ya yote napenda kuwashukuru jamii forum kwa nafasi hii walio tupatia. Katika miaka mitano mpka ishirini na tano Tanzania mm naona tuandae mpango kazi imara wa kuzuia uchafuzi wa mazingira katika maeneo ya nchi. Nini nikafanyike Serikali iwatumia maafisa maendeleo na askari hasa (trafic)...
  14. BEZO JR

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dada wa kazi

    Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani. Posho yake ni 70,000/= kwa mwezi. Awe anajitambua. Tuwasiliane inbox 📥
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wamalawi 12 Wakamwatwa Israel kwa kutoroka kazi za Mashambani

    Raia 12 wa Malawi ni miongoni mwa raia 40 wa Kigeni waliokamatwa baada ya kuacha kazi kwenye mashamba ya Arava na Lion kutokana na kulipwa Ujira mdogo na kwenda kutafuta kazi za zenye malipo bora zaidi Mjini Bnei Brak Austin Chipeta, Kiongozi wa Jamii ya Wamalawi nchini humo amesema Watu hao...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Serikali itasimamia kwa uweledi usalama wa wanahabari na kutosumbuliwi popote wanapofanya kazi yao

    Waziri Mkuu: Serikali itasimamia kwa uweledi usalama wa wanahabari na kutosumbuliwi popote wanapofanya kazi yao
  17. msomi duni

    JamiiForums Tanzania Kuendesha boda boda ni kazi kama kazi nyingine msichukulie poa

    Bila kupepesa maneno nyie wana jf mkiona hadi kijana anaendesha bodaboda ujue hana option ya kujikwamua kimaisha sio kila mtu anatoka familia zenye uwezo sometimes bodaboda ndio only option mtu anakuwa nayo na pia ajali sio lazima asababishe yeye kuna kusababishiwa pia. Maswala ya kuona mtu...
  18. Ibrahim hamadi

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Udereva

    Habar za muda huu Asalem aleykum, Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber. Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi. Naomba...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Bachelor of Pharmacy

    Bado sijapata leseni. Experience: 1 month, internship SUN PHARMACEUTICAL INDUSTRIES LTD. (section: Production and quality functions). Looking for any opportunity available especially in industries and pharmacy, including volunteer. Ninapatikana DAR ES SALAAM. Contact: 0675 111 890
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza swali kwa mnaofanya kazi ambazo zina-link na jamii

    MTU mwenye uwezo mkubwa wa kufanya majukumu Kama haya Anaweza kuajiriwa Kama nani katika NGO au Taasisi Kama TASAF, Amref, Tacaids n.k. MTU mwenye haya mambo Counselor Mentor Psychotherapy People builder Pia MTU anayetoa personal growth and self -development. Nahitaji kujua huyu MTU anaweza...
Back
Top Bottom