kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Kama hauwezi kujibu swali la dizaini hii basi haufai kufanya kazi Usalama wa TAIFA ( Intelligence Officer)

    Huyu dogo ni Graduate wa Chuo Kikuu. Ndoto zake siku zote imekuwa ni kufanya kazi Usalama wa TAIFA. Jana walikuwa kwenye msiba mtaani Mimi nilikuwa nje ya mji. Dogo anasema mahali walipo kuwa wamekaa Kuna Jamaa mmoja aliniponda Sana Mimi. Kwamba naringa Sana. Najisikia Sana kwa sababu nna...
  2. JamiiForums Tanzania BBC Swahili fanyieni kazi hili...

    Mimi ni miongoni mwa wasikilizaji wa redio mbalimbali hapa nchini, miongoni mwa hizo ni BBC SWAHILI kupitia washirika wao. Si kwamba wanachonikwaza wao hakitokei kwenye redio nyingine la hasha ila naangalia na ukubwa wa shirika husika. Hakuna shaka kuwa sehemu kubwa ya Wasikilizaji wa Kiswahili...
  3. JamiiForums Tanzania Historia|Wasifu: Je, Benjamin William Mkapa ni nani hasa?

    Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962 Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo...
  4. JamiiForums Tanzania Adhabu stahiki ya Luc Eymael ni kufukuzwa kazi?

    Swala la kocha Eymail Lina harufu ya figisu na mizengwe kwani CV ya Eymail haioneshi kuwa sifa anazodaiwa kufukuzwa nazo kazi Yanga. Kama angekuwa mbaguzi Yanga na GSM wangeigundua kabla ya kumpa kibarua. Mara nyingi mtu akutenda kosa lazima yaangaliwe mazingira yakiyosababisha kosa na dhamira...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Benjamin William Mkapa Rais aliyeamini katika Ujenzi wa mifumo

    Ndugu Watanzania wenzangu Kwa hakika Taifa letu limepoteza kichwa, kichwa makini sana kilichoacha alama katika nyumba hii ya maendeleo tunayoendelea kuijenga. Rais Benjamin William Mkapa amefanya mambo mazito sana kwa nchi hii. Kwa kweli nchi hii ina afadhali leo hii kwa sababu alikuwepo mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye supermarket, duka la nguo, vipodozi, usafi wa maofisini

    Naitwa Sabrina Nina miaka 22, Naishi Dar, Ukonga. Elimu yangu kidato cha 4 Naongea English na Kiswahili, Natafuta kazi ya duka la nguo, vipodozi, supermarket au usafi wa maofisini.
  7. JamiiForums Tanzania Kwenu wenye nafasi za kazi Serikalini au kwenye Mashirika Binafsi

    Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni shahada ya maendeleo vijijini kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine. Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi au Internship serikalini au kwenye mashirika binafsi, uzoefu wangu wa kazi ni kama ifuatavyo:-...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  9. JamiiForums Tanzania Nina Shahada ya Sociology natafuta kazi

    Habari za leo wakuu, Life limekua gumu kitaa natafuta kazi nina shahada ya sociology. Sina uzoefu. Nina miaka 24 Mshahara uanzie laki 8 net baada ya makato. Natanguliza shukrani wakuu.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya civil technician

    Wakuu habari za jioni.Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nmesoma civil engineering level ya diploma na nina uzoefu wa miaka2. Nimefanya kazi kwenye project za barabara na majengo. Mwenye connection au nafasi ya kazi anisaidie sitomwangusha.
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya Rais kung'aka, Mkurugenzi TAKUKURU awang'ata watumishi 9 waliohusika ujenzi/usimamizi wa majengo 7 ya TAKUKURU

    TAKUKURU NG'ATA... Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbung'o, amewasimamisha kazi watumishi 9, ambao walihusika katika ujenzi na usimamizi wa majengo Saba ya Taasisi hiyo yaliyojengwa Chamwino, Mpwapwa, Ngorongoro, Manyoni, Masasi, Namtumbo na Ruangwa. ===== Hapo jana...
  12. JamiiForums Tanzania Je, kuna hatari gani watumishi wa Umma kukimbilia Ubunge?

    Je, kuna hatari gani watumishi wa umma kukimbilia ubunge? Kwanza sheria inakataza watumishi wa umma kujiunga na vyama vya siasa. Lakini walio wengi wameingia kwenye mtego wa kuamini kuwa hata wasipopenya kwenye kupitishwa kugombea basi wanajua kwamba kuna nafasi nono za kuteuliwa watakuja...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mpitisheni Makonda amalizie kazi aloianza, Wananchi bado tunamuhitaji

    Sipendi kabisa ushabiki wa vyama vya siasa, Wengi wameshangilia kushindwa kwake katika Chama cha Mapinduzi. My behavioral psychanalysis is:- Kwa kauli za Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi: Makonda ana uwezo mkubwa wa kiuongozi na amekabiliana na tough times kuliko wakuu wote wa mikoa hapa...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

    KUMKATA MAKONDA SI MAAMUZI YENYE AKILI Na, Robert Heriel Ikiwa CCM itaamua kumkata Mhe. Paul Makonda itakuwa imefanya maamuzi yasiyo na busara. Yatakuwa ni maamuzi yasiyo na akili. Makonda ni moja vijana wachache muhimu kwa zama hizi katika taifa hili. Taifa la Tanzania linahitaji vijana mia...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda, Kigamboni na Kazi yake ya Ukuu wa Mkoa, Nini kitafuata au ndio amekuwa raia wa kawaida

    Haya ni mawazo yangu binafsi na kile ninacho hisi naomba nielekezwe au kukosolewa kwa hili, Kwanza, Swali ni Kwanini umati mkubwa sana wa watanzania nchi nzima walikuwa na shahuku ya kutaka kujua matokeo ya Kigamboni, majimbo mengine badae Kwa nini, Kwanini tena Kwanini. Pili, Alikuwa Mkuu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Hakuna kazi ngumu kama kusoma shule

    Habari za leo wakuu, Leo nilikua nawaza jinsi kazi ya kusoma ilivyo ngumu. Nikikumbuka vijana wenzangu ambao nilisha waacha nyuma mara baada ya wao kushindwa kuelewa kinacho endelea darasani, ndipo nagundua jinsi kazi ya kusoma ilivyo ngumu. Just imagine mkuu unaanza chekechea unasoma mpaka...
  17. JamiiForums Tanzania Tangazo: Wauguzi wasio na leseni mpya kufutwa kazi

    Baraza la wauguzi na wakunga TNMC la Tangaza kufuta kwenye daftari la usajili, wauguzi wasiokuwa na lesseni zilizohuhishwa na kukoswa kazi ndani na nje ya nchi. Hayo yametanganzwa na Agnes Mtawa, Msajili wa Wauguzi TNMC
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kujizolea zaidi ya kura milioni 16.7, ni za wanavyuo vikuu, graduates na wafanya kazi

    Hakika mambo yanazidi kunoga. Wakati uko upande wa Lissu. Namba pia ziko upande wake. Lissu amejipambanua kuwa mkombozi wa Wanavyuo vikuu, waliomaliza vyuo vikuu na wafanya kazi kwani anania ya dhati ya kuwakomboa makundi haya muhimu ktk taifa letu. Akitangaza nia ya kugombea Kiti cha urais...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Dada wa saluni ya kike anatafuta kazi

    Habari wapendwa poleni na kazi. Dada wa saluni anatafuta kazi anapatikana Dar Ukonga. Anaweza kufanya kazi zote za saluni ya kike na ana uzoefu wa kutosha. Kwa atakayemuhitaji aje PM nimpe mawasiliano.
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa walimu kufundisha masomo ya ziada

    Natafuta walimu kwa ajili ya kuwafundisha wanafunzi masomo ya ziada katika kituo (Kinondoni Manyanya) au kwa kuwafuata nyumbani (maeneo mbalimbali Dar es salaam). Vigezo kwa muombaji: - Awe amesomea diploma, cheti, au degree ya ualimu kwa masomo yoyote. (Mwalimu Amudu vizuri lugha ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…