Mimi msichana niliyemaliza kidato cha nne naomba kazi yoyote halali

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
7,659
12,283
Wakubwa na wadogo heshima kwenu!
Msichana mwenye umri wa miaka 22 elimu ya kidato cha nne.
Anatafuta kazi yeyote halali ila ana uzoefu wa kuuza duka la mahitaji ya nyumbani.
Yupo tayari kufanya kazi sehemu yeyote ila kwa sasa anapatikana Arusha mjini.Kama una nafasi ya kazi tafadhali wasiliana naye kupitia simu 0687211249
 
Amemaliza kidato cha nne miaka ya nyuma sio mwaka huu.
UOTE="LOVE U JF, post: 33676013, member: 528485"]
Matokeo yakitoka anaacha kaz
[/QUOTE]
 
Msichana anaishi Mbauda,namba za simu zipo kwenye tangazo.
QUOTE="Saoka, post: 33677273, member: 514744"]
Arusha sehem gan? Nicheki PM

asije akawa demu wangu hapo kwa mbulu banda la video
 
Wakubwa na wadogo heshima kwenu!
Msichana mwenye umri wa miaka 22 elimu ya kidato cha nne.
Anatafuta kazi yeyote halali ila ana uzoefu wa kuuza duka la mahitaji ya nyumbani.
Yupo tayari kufanya kazi sehemu yeyote ila kwa sasa anapatikana Arusha mjini.Kama una nafasi ya kazi tafadhali wasiliana naye kupitia simu 0687211249
[/ok
 
KAMA ANAWEZA KAZI YA SALOON!! KUSUKA NUWELE NA KUSIMAMIA SALOON YANGU YA KIKE BADO MPYA AJE, NIPO MWANZA NIPO SERIOUS
 
Mkuu habari, naomba kama uko na nafasi ya kazi kwa kijana wa kiume naomba uniajiri tafadhali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom