Meneja wa Arsenal, Unai Emery amefukuzwa kazi baada ya miezi 18 na timu hiyo

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,166
Kazi ya Unai Emery kama meneja wa Arsenal imefikia kikomo, ikiwa ni miezi 18 tu tangu kuchukuwa mikoba hiyo kama mrithi wa Arsene Wenger.

Kuondoka kwa Mhispania huyo kumehibitishwa Ijumaa, ikiwa Arsenal ipo katika nafasi ya nane katika jedwali la Ligi Kuu. Freddie Ljungberg amewekwa kama meneja wa mpito.

========

unary.jpg
Unai Emery's tenure as Arsenal has come to an end just 18 months on from his appointment at the Emirates Stadium as Arsene Wenger's successor.

The Spaniard's departure was confirmed on Friday:

He leaves the club with Arsenal sitting eighth in the Premier League table, eight points behind the top four and 19 off leaders Liverpool.

Freddie Ljungberg has been installed as interim manager.

Emery's exit has seemed inevitable for some time.

Thursday's 2-1 home defeat to Eintracht Frankfurt in the UEFA Europa League extended Arsenal's winless run to seven matches in all competitions, and the Gunners have won just two of their last 11 in the Premier League:

There have also been off-field issues this term, with Emery forced to strip Granit Xhaka of the captaincy earlier this month after he was involved in an angry confrontation with fans during a 2-2 home draw with Crystal Palace:

The 2019-20 campaign had started in decent fashion as Arsenal picked up consecutive wins over Newcastle United and Burnley, but they have been in turmoil ever since.

Emery, 48, always had a tough job on his hands succeeding Wenger, who spent over two decades in charge at Arsenal.

He did not inherit a winning team, though, with Arsenal finishing sixth in Wenger's last campaign in charge in 2017-18.

Last term, Emery oversaw an improvement from 63 points to 70, but it still only translated to a fifth-place finish, meaning another season out of the UEFA Champions League after Arsenal lost in the UEFA Europa League final to Chelsea.

The search will now begin to find Emery's replacement after he failed in his task to turn Arsenal into title challengers once again.

Former Juventus manager Massimiliano Allegri is an obvious contender, and Wolverhampton Wanderers manager Nuno Espirito Santo has recently been linked.

Allegri was widely tipped as a possible successor for Wenger back in 2018 and is currently out of a job having left Juve in the summer.


Source: Bleacher Report
 
Mkufunzi wa Arsenal Unai Emery amefutwa kazi baada ya kuongoza timu hiyo kwa kipindi cha miezi 18.
Raia huyo wa Uhispania, ambaye awali alikuwa mkufunzi wa Paris St-Germain katika ligi ya Ufaransa na kushinda mataji matatu ya Yuropa akiwa na Sevilla, aliteuliwa kuwa mkufunzi wa Arsenal mwezi Mei 2018, akimrithi Arsene Wenger.

Mahala pake patachukuliwa kwa muda mfupi na aliyekuwa kiungo wa kati wa Arsenal Freddie Ljungberg.

Arsenal inasema kwamba uamuzi huo ulichukuliwa baada ya matokeo ya timu hiyo kushindwa kufikia kiwango kilichohitajika.

Arsenal haijashinda katika mechi saba na ilipoteza 2-1 nyumbani dhidi ya klabu ya Ujerumani Eitracht Frankfurt katika ligi ya Yuropa siku ya Alhamisi.

download.jpg
 
Daaa, nilimkubali sana mswidi Freddie Ljungberg zama za uchezaji wake, kama ataweza kuhimili vishindo vya EPL akiwa meneja itakuwa pouwa sana
 
Arsenal timu kubwa invincible

Ukubwa wa timu haujajiwi kwamataji ya miaka 15 nyuma. Kwa zaidi ya miaka 10 sasa Arsenal ni average team inayopigania nafasi ya kushiriki (nawala sio kushindana) Champion league na Europa League kila mwaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom