kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Sasa Watumishi kuhama vituo vya kazi kidijitali (online)

    Hayo yamesemwa Bungeni leo na David Silinde, Naibu Waziri OR -TAMISEMI. Mfumo huu unaitwa "Human Capital Management Information System" ambapo mtumishi atakuwa na uwezo wa kujihamisha mwenyewe 'online' bila kupitia kwa wakurugenzi. Lengo ni kuepuka urasimu na rushwa. Akishathibitishwa kuhama...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea kama messenger nitume popote ntaenda

    Habari zenu wana jf Natafuta kazi yeyote ya kujitolea kama messenger unitume popote nitaenda mahala popote nitaenda kwa gharama nafuu tuu Ukinilipa hata elfu moja au mbili kwa siku ntashukuru ili mradi nipate hela ya kula Kimakazi nipo dar njoo inbox
  3. F

    JamiiForums Tanzania Dada yenu nawaomba sana ndugu zangu Msaada wenu kupata kazi Nje ya Nchi

    Wakubwa Shikaamooni Wadogo zangu Habari zenu. Mimi ni Mwanamke sijaolewa na sina watoto. Naishi na kumlea Mama yangu Mzazi ambae ni mtu mzima ananitegemea kwa kila kitu na watoto wa Marehem Kaka yangu ambao walikufa siku moja kwa ajali na Kaka yangu hao watoto wako 3 Yatima, wananitegea...
  4. JamiiForums Tanzania Huku kazi ikiwa inaendelea tukumbuke kuwa Mwl. Nyerere alijenga uzalendo na umoja wa hali ya juu, kwanini sasa haiwezekani?

    Ni wazi kabisa wakati wa utawala wa Hayati Nyerere watu walikuwa na maisha duni sana. Sehemu nyingi hazikuwa na barabara nzuri kama hii leo, sehemu nyingi hazikuwa na maji kama hii leo, hata hali ya watu kupata mavazi mazuri kama hii leo ilikuwa ni kazi ngumu. Shule zilikuwa ni za umma...
  5. JamiiForums Tanzania Vigogo halmashauri Sengerema wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela amewasimamisha kazi wakuu wa idara watatu wa halmashauri ya Sengerema kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za miradi ya maendeleo. Waliosimamishwa kazi ni Tabwe Seleman ambaye ni kaimu mweka hazina wa halmashauri hiyo, Renatus Shule (kaimu...
  6. JamiiForums Tanzania Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

    Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi. Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya. Kifo...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu umeanza vizuri lakini naomba uyafanyie kazi mambo kumi

    Amani ya M/mungu iwe nanyi waungwana wa jamii forum. Kwanza naomba kudeclare interest mimi naamini maendeleo ya mahala popote yanaletwa iwapo kutakuwa na mawzo mbadala/upinzani,hivyo hata nchi yetu Tanzania ili iweze kusonga mbele ni lazima kuwepo na mawazo mbadala au upinzani. Sasa naomba...
  8. JamiiForums Tanzania Je, tumejifunza somo gani kwa Wanajeshi kugoma kufanya kazi na kuandamana?

    Siku chache zilizopita mkuu wa majeshi amewafukuza vijana wapatao 854 waliofuzu mafunzo ya kijeshi kwa kushinikiza waajiriwe na jeshi kupitia mgomo wa kufanya kazi na maandamano. Mimi binafsi siamini wanajeshi watumiwe kwenye miradi yeyote ya kujenga uchumi na kazi zozote za kiraia na polisi...
  9. JamiiForums Tanzania Sasa tumemuelewa Rais Samia Suluhu. Kazi iendelee!

    SASA TUMEMUELEWA RAIS SAMIA SULUHU KAZI IENDELEE Kwa heshima na taadhima kwa niaba ya wapenda maendeleo napenda kutoa shukurani za dhati kwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kwa jitahada zake za dhati za kulirejesha taifa katika umoja wake na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha sita

    Habarini wakuu, Elimu yangu ni form six Jinsia ni ke Nimejitokezak kwenu kutafuta kazi yoyote halali Kufundisha(naweza kufundisha masomo yote except physics) kwa O-level Kufundisha primary /nursery Upishi pia naweza Kaunta Hata uhasibu naweza mahesabu Kazi yoyote halali naweza kufanya...
  11. JamiiForums Tanzania Nipo Arusha natafuta kazi yoyote

    Kama wahenga walivyosema kwenye miti huwa hapakosi wajenzi Mimi ni kijana umri wangu miaka 25 natafuta kazi jamani ya Aina yoyote elimu yangu ni kidato Cha sita ni kijana muaminifu na mtiifu pia jamani nataka kufungua ukurasa mpya kwenye maisha yangu ukweli ni kwamba. Nilikuwa kwenye moja ya...
  12. JamiiForums Tanzania Jose Mourinho afukuzwa kazi Tottenham

    Klabu ya Tottenham imemsimamisha kazi Kocha Mkuu Jose Mourinho kufuatia msururu wa matokeo duni klabuni humo. - (The Telegraph wameripoti). ======= LONDON (AP) — Tottenham fired Jose Mourinho on Monday after only 17 months in charge, and just as he was preparing to coach the club in the...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza huu utaratibu kuhusu kupata kazi ya vibarua serikalini?

    Wadau kwema, Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza yani ipo hivi naskia mara kuna kiwanja cha ndege kinataka kujengwa kuanzia Mwezi huu tarehe 30 ndo wanaanza hizo process, ila sijajua vibarua utaribu huwa unakuwaje? Ili kupewa kazi kwenye hizo tenda za ujenzi wa kiwanja cha ndege. Nawaomba...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mijadala Bungeni haina afya kwa Taifa. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana...
  15. JamiiForums Tanzania MOROGORO: Waziri Aweso awasimamisha kazi watumishi sita

    MOROGORO :- Waziri Aweso awasimamisha kazi watumishi sita Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewasimamisha kazi watumishi sita akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA), Tamimu Katakwemba pamoja na Afisa Maji Bonde la Wami-Ruvu, Simon Ngonyani kwa tuhuma...
  16. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwita Waitara akagua kazi za ujenzi mkoani Mara

    Leo amekagua sehemu mbali mbali mkoani Mara ambazo zinafanyiwa ukarabati baada ya kuharibika sababu ya Mvua. Huyu ndie jembe aliesambaratisha iliyokuwa ngome ya Chadema Tarime. Bigup Waitara piga kazi
  17. JamiiForums Tanzania Neno "HAPA KAZI TU" Layeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

    Sijawahi kuona Slogan iliyokufa kifo cha mende haraka kama hii , hivi hawa mataga hawakuamini kwenye msemo huu , au ndio ile kauli ya ASIYEKUWEPO NA LAKE HALIPO? Onyo : Usithubutu kuwaamini wapambe , na hasa wakiwa wachumia tumbo
  18. JamiiForums Tanzania Kwa upande wako unaweza toa Tsh milioni 2 upate kazi ?

    Habari yenu wana jf. Ikiwa imetokea nafasi au fursa ya kupata kazi serikalini lakini ukaambiwa utoe pesa huyo na ukahakikishiwa utapata kaz, vipi kwa upande wako ungetoa?
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine

    Waziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana. Asema lengo la Serikali ni kutumia vyanzo vyote ili mradi vilete umeme wa uhakika na wa bei nafuu kwa mwananchi Asema umeme...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nina Shahada ya Sosholojia, natafuta kazi

    Habari za wakati WanaJF, Kwa majina naitwa Annette nina shahada shahada ya sosholojia kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma. Nimekuja mbele yenu nikiomba kazi yoyote Ile hata nje ya Taaluma yangu au sehemu yoyote ile ya kujitolea nipo tayari. Natanguliza shukrani zangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…