Jose Mourinho afukuzwa kazi Tottenham

Ikaria

Member
Jul 17, 2019
55
150
Klabu ya Tottenham imemsimamisha kazi Kocha Mkuu Jose Mourinho kufuatia msururu wa matokeo duni klabuni humo. - (The Telegraph wameripoti).20210419_122440.jpg

=======

LONDON (AP)
— Tottenham fired Jose Mourinho on Monday after only 17 months in charge, and just as he was preparing to coach the club in the League Cup final.

Mourinho was hired in November 2019 to replace Mauricio Pochettino, who unexpectedly led the London club to the Champions League final before the team collapsed the following season.

Mourinho failed to get Tottenham back into the Champions League and has overseen another collapse this season. The team was in first place in December but a run of poor results has seen it fall to seventh place.

“Jose and his coaching staff have been with us through some of our most challenging times as a club,” Tottenham chairman Daniel Levy said. “Jose is a true professional who showed enormous resilience during the pandemic. On a personal level I have enjoyed working with him and regret that things have not worked out as we both had envisaged. He will always be welcome here and we should like to thank him and his coaching staff for their contribution.”

Mourinho’s exits comes two days before a Premier League game against Southampton and with the League Cup final on Sunday against Manchester City. Tottenham, which hasn’t won a trophy since the 2008 League Cup, said youth coach Ryan Mason had been put in charge of training.

It is Mourinho’s shortest spell at a club since breaking into the big time with Porto in 2004.

Disgruntlement over his tactics and methods have resurfaced in recent months, with Tottenham slipping out of the Champions League places and getting eliminated from the Europa League in the round of 16 after a surprising 3-0 loss at Dinamo Zagreb.

Tottenham is five points behind fourth-place West Ham, which occupies the final Champions League qualification place. The club has won only one of its last five games.

The two teams above Tottenham — Chelsea and Liverpool — have games in hand.

Tottenham now heads into the League Cup final against City at Wembley Stadium without a manager and probably without its best player, with Harry Kane having hobbled off late in the 2-2 draw at Everton in the Premier League on Friday. That was Mourinho’s last game in charge.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
23,355
2,000
Wenzangu wa Arsenal mmeona watani wetu walichoamua? Na huyu ni kocha ambaye Arsenal tulimtaka pia na baadhi wakajuta kumkosa.

Anyway, Mourinho hakuacha kua Mourinho hata pale ilipokua haina haja. Kuongelea mbovu timu pinzani, waandishi mpaka wachezaji wake mwenyewe.

Spurs waliwapiga Dinamo mbili first leg kisha Spurs ikapigwa tatu second leg na kutolewa Europa, Jose akaenda dressing room ya Dinamo akawapa mkono wa pongezi na kuwapigia makofi.

Baadaye kidogo sauti yake ikanaswa ikimtishia Bale kua atamrudisha Madrid akale benchi. Now Bale alivyoondoka Spurs kwa miaka yote Spurs wamesajili watu wa kumreplace Bale ila hawajafanikiwa, Lamela na Moura ni cover up zilizofeli, so kwa Spurs Bale kurudi tena it was a dream come true.

And Mourinho spat on that dream. It was just a matter of time before hajaonyeshwa mlango.

Pogba amenukuliwa akimkosoa Mourinho na kusema bora Ole, yaani Mourinho ni muua morali mzuri kwa maoni ya Pogba. Takwimu pia zinaonyesha Spurs haijawapa chansi wachezaji wa U21 hata mmoja tangu Mou aje, this means Mou hana mpango wa kusuka timu ya muda mrefu, anatarajia mpunga ushushwe anunue watu waanze maisha.

Jose hakua na maono ya muda mrefu na Spurs.

Arteta alishamuweka kando Luiz na Auba. Ila spirit ya timu ingawa haipo juu ila haipo chini kwakua Arteta hajawahi waongelea negatively wachezaji wake, at least not in public. Either way hii ni shout out kwa Arteta pia.
 
Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
12,608
2,000
hapo atapiga Pound za kutosha yeye na wasaidizi wake
Watu wengi wanaelewa kuwa Jose ni tapeli wa kimataifa katika kufanya mikataba na klabu mbalimbali barani Ulaya.

Kila mkataba unovunjwa na klabu husika Jose huambulia mpunga wa maana.

Kumbuka meneja wake ni Jorge Mendez ambae ni Super Agent na yeye ni mreno kama Jose.

Jose Mourinho ni tajiri na ana uhakika wa maisha mazuri yeye na familia yake ambayo tangu yupo Chelsea hawajahama London.

Jamaa ni tapeli genius.
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,036
2,000
Klabu ya Tottenham imemsimamisha kazi Kocha Mkuu Jose Mourinho kufuatia msururu wa matokeo duni klabuni humo. - (The Telegraph wameripoti). View attachment 1756355

View attachment 1756293
Mwaka huu Mungu kaamua kushughulika na wenye viburi, jeuri, wababe na wenye kujiinua.

Hongereni Watanzania - naona wiki ijayo mtakula pilau la 40, au siyo?

Hongereni T Spurs.

Mwache Mungu aitwe Mungu!
 
Darucha

Senior Member
Dec 28, 2020
101
250
Kocha wa Spurs Jose morinho ametimuliwa Leo klabu yathibitisha hii ni kutokana na mwenendo mbovu wa matokeo unaoendelea kuikumba timu hiyo.morinho mbinu zake nafikiri zimeenda na CV yake unaoendelea kushuka tu
 
nosspass

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
5,441
2,000
ila mpunga amevuta....na maisha yanasonga....na kabla ligi kuisha kuna mwingine kitanuka pia..
 
permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
5,807
2,000
Wenzangu wa Arsenal mmeona watani wetu walichoamua? Na huyu ni kocha ambaye Arsenal tulimtaka pia na baadhi wakajuta kumkosa.

Anyway, Mourinho hakuacha kua Mourinho hata pale ilipokua haina haja. Kuongelea mbovu timu pinzani, waandishi mpaka wachezaji wake mwenyewe.

Spurs waliwapiga Dinamo mbili first leg kisha Spurs ikapigwa tatu second leg na kutolewa Europa, Jose akaenda dressing room ya Dinamo akawapa mkono wa pongezi na kuwapigia makofi.

Baadaye kidogo sauti yake ikanaswa ikimtishia Bale kua atamrudisha Madrid akale benchi. Now Bale alivyoondoka Spurs kwa miaka yote Spurs wamesajili watu wa kumreplace Bale ila hawajafanikiwa, Lamela na Moura ni cover up zilizofeli, so kwa Spurs Bale kurudi tena it was a dream come true.

And Mourinho spat on that dream. It was just a matter of time before hajaonyeshwa mlango.

Pogba amenukuliwa akimkosoa Mourinho na kusema bora Ole, yaani Mourinho ni muua morali mzuri kwa maoni ya Pogba. Takwimu pia zinaonyesha Spurs haijawapa chansi wachezaji wa U21 hata mmoja tangu Mou aje, this means Mou hana mpango wa kusuka timu ya muda mrefu, anatarajia mpunga ushushwe anunue watu waanze maisha.

Jose hakua na maono ya muda mrefu na Spurs.

Arteta alishamuweka kando Luiz na Auba. Ila spirit ya timu ingawa haipo juu ila haipo chini kwakua Arteta hajawahi waongelea negatively wachezaji wake, at least not in public. Either way hii ni shout out kwa Arteta pia.
Spurs pale hakuna timu ya ushindi, mafanikio makubwa Spurs wanayoweza kuyapata ni kushiriki UEFA au Europa ila siyo kuchukua kombe. Mou alikosea kwenda kufundisha Spurs.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom