kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Mzee Magoma: Haiwezekani MwanaSimba afanye kazi Yanga

    "Haiwezekani Mwanachama wa Simba aje afanye kazi Yanga haya ni mambo ya kijinga mwenendo wa timu sio mzuri, Sisi wazee wa Yanga hatuna imani na uongozi wa timu yetu We ulishawahi kuona wapi Mwanachama wa Simba afanye kazi na Yanga, Sisi tunampenda Manara kwasababu ya Baba yake tu ila hatumpendi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya ulinzi Dar es Salaam, Dodoma na Arusha

    NAFASI ZA KAZI YA ULINZI (NAFASI 30) KITUO CHA KAZI: DAR ES SALAAM/DODOMA/ARUSHA SIFA ZA MUOMBAJI Awe Mtanzania. Awe na Umri zaidi ya miaka 18. Awe amepitia mafunzo ya Ulinzi, JKT, Mgambo. Awe na Urefu wa Futi 6 na kuendelea. Awe tayari kufanya kazi Mahali Popote Tanzania na hasiwe na historia...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya juu ya kiume 5 ya kupendeza katika Mahojiano ya Kazi

    Mavazi ya juu ya mavazi ya kiume 5 ya kupendeza katika Mahojiano ya Kazi Ili kuwa na maoni mazuri, lakini angalia mtaalamu na mtindo, angalia mavazi haya ya mavazi ya wanaume ambayo ni bora kwa mahojiano ya kazi. Unahitaji kuonyesha mwajiri kwamba unaweza kuvaa kwa hafla rasmi. Kwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 24 anatafuta kazi hotelini

    Poleni na majukumu Binti wa miaka 24 anatafuta kazi hotelini Vitengo anavyoweza ni Waitress Housekeeping Reception Amesomea na anauzoefu na vitengo hvyo yupo Kibaha ila popote yupo tayari kwenda kufanya kazi asanteni 🙏
  5. C

    JamiiForums Tanzania Songwe: Askari waliovuka mpaka kuingia Malawi kinyume cha sheria wafukuzwa kazi

    Septemba 15 askari Polisi wa Tanzania waliingia Malawi kinyume cha sheria wakimfukuza bodaboda waliyedhani amebeba biashara ya magendo ambapo walipoingia Malawi walipigwa mawe na wamalawi na kuokolewa na Polisi wa Malawi Askari 7 wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ileje mkoani Songwe wamefukuzwa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kuuza duka la dawa

    Duka liko Dar es salaam eneo la mbezi barabara ya goba. Ni ndani kidogo mtaani sio barabara ya lami. Kutoka lami ni mwendo wa km 1. Masharti ya kazi. 1. Ataishi nyumbani kwa boss wake kwa urahisi wa kufika eneo la kazi au dukani. 2. Awe na utaalamu wa dawa. 3. Mshahara sh 100,000 chakula na...
  7. JamiiForums Tanzania Kazi ya kuajiriwa ni utumwa tu

    Kwema humu? Kama tunavyojua maisha ni magumu sana huitaji wa kazi umekua mkubwa sana mtaani Nimeahangaika nikapata ajira kampuni flani hivi nimepewa mkataba ndio kwanza miezi mitatu lakini hii kazi inaelekea kunishinda Kazi haina mapumziko,haina overtime kitu kidogo kazini unakatwa pesa...
  8. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Meya wa Kabul azuia Wanawake wanaofanya kazi Manispaa kwenda kazini

    Meya mpya wa Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul, amewaambia Wanawake wanaofanya kazi Manispaa kukaa nyumbani isipokuwa kama kazi zazo haziwezi kufanywa na Wanaume Hamdullah Nomany amesema Taliban imeona kuna haja ya kuzuia Wanawake kufanya kazi kwa muda. Ni kizuizi kingine kuwekwa dhidi ya Wanawake...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali Kuu Punguzeni Kuwafanyia Kazi Wananchi

    Kilikuwa kipindi kigumu nilipo jua uhalisia kuwa ukikubali kuishi ni lazima ufanye kazi, na maendeleo ya mtu ni kinyume sawia na ubora wa juhudi zake katika kazi anazozifanya. Sababu hakuna aliye umba chochote duniani vyote vilivyopo vilikuwepo na vipo, hivyo ni lazima tujifunze jinsi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye connection ya kazi ya kufundisha Math na Geography katika primary & secondary level

    Wakuu naandika nikiwa nahitaji connection ya kazi ya ualimu katika ngazi zote za primary na secondary katika masomo ya Basic mathematics na Geography. Nina uzoefu wa kufundisha secondary kwa miaka 5 na primary level kwa mwaka mmoja. Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote mwenye connection naomba...
  11. JamiiForums Tanzania Huna kazi lakini kwenye simu una 50,000 Tshs tu, ifanyie hiki ninachokushauri...

    Natamani enzi naanza maisha ningeijuaga JamiiiForums au ningepata mawazo na idea ambazo nazitoa mimi kila siku au ninazokuta watu wamezitoa bure humu humu JF. Leo nimekaaa nimewaza sana namna ya kumsaidia mtu aliekata tamaa hana pesa au kama anayo imebaki ya ngama yani ikiisha na hyo tu Ndio...
  12. JamiiForums Tanzania Nimesaidia Serikali kupata 20M baada ya kuwachoma wakwepa kodi

    Habari wadau..! Kumbe kuwa usalama wa Taifa sio mpaka uajiriwe na wale watu. Mwaka huu nimejikuta tu nafanya kazi za wale jamaa pasipo kujua na kuisaidia serikali kupata 20M ambayo ilikuwa inapotea kama kodi baada ya kuwachoma wakuda fulani kwa serikali na kutiwa hatiani. Ila hawa waduanzi...
  13. JamiiForums Tanzania Dereva natafuta kazi

    Habari ndugu zangu! wapambanaji na watafutaji wenzangu..kweli kazi ni changamoto sana kupata..na hasa kama auna connection utasota sana..itokee tu mkono wa mungu ukuguse! jina langu naitwa James Patrick.nina miaka 26 na naishi jijini dar es salaam..nimekuja tena mbele yenu wana jamii...
  14. JamiiForums Tanzania Waajiri wanahangaika kutafuta wafanyakazi

    Ulaya na Marekani kumeanza kujitokeza uhaba wa waajiriwa! Nirudie tena: Sio uhaba wa kazi, bali uhaba wa wanaotafuta kuajiriwa. Swali ni kuwa: Watu wameenda wapi? Makala moja iliyopostiwa juzi tarehe 14/9 inasema: A survey of nearly 45,000 employers across 43 countries showed 69 per cent of...
  15. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali ifanyie kazi kilio cha wakulima nchini

    Tanzania bado ina safari ndefu ya kumwinua mkulima ili ajikwamue kutoka kwenye kilimo cha kujikimu kwenda kwenye kilimo cha kibiashara ambacho kitamwezesha kuwekeza kwenye sekta hiyo kikamilifu. Zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ni wakulima lakini wengi wao wanafanya kilimo cha kujikimu wakati...
  16. JamiiForums Tanzania Kabla ya wanasiasa kusema machinga ni nani, kuwapatia maeneo ni kazi ngumu sana

    Duniani kote "mmachinga" ni yule mtu anaetembeza bidhaa zake kwa kutembea nazo mikononi mwao au kwenye begi la mgongoni akitafuta waliko wanunuzi. Yaani badala ya mnunuzi kufuata bidhaa (dukani), mara hii mwenye bidhaa (duka) ndiye anaemfuata mnunuzi. Wafanyabiashara wa aina hii sio kero sana...
  17. JamiiForums Tanzania Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

    Wachungaji / ma ustadh / waganga feki - wanawake wengi sana wanasukumwa na Imani na ndio maana idadi yao ni kubwa kanisani, kwa waganga na wanaoenda kwa maustadh kwa tiba, matatizo Yao huwa kwenye uzazi, ndoa, malimbwata, kuombewa miujiza, kuroga, kuondoa nuksi, n.k hapa sasa kuna watu tajwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nini ni kazi ya tovuti kwa mjasiriamali?

    Watu wengi huwa wanapenda kuwa na kurasa za mitandao ya kijamii kwa ajili ya biashara zao kama vile,FB,twitter,Whatsap n.k. Wengine hujiongeza na kuwa na blogs,na hata kuwa na website kabisa.Hii yote ni katika jitihada za kutaka kuwafikia wateja wengi. Kitu watu wengi wanasahau ni kwamba bidhaa...
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Usitafute ajira bali tengeneza ajira

    Daima wazo la mtu ndiyo kitu pekee anachoweza kutumia kubadilisha mfumo mzima wa maisha yake, ninaandika andiko hili nikiwaangalia vijana kama Maxence Melo aliyeanzisha JamiiForums na Milladi Ayo mwanzilishi wa Ayo Tv, hawa ni baadhi ya watu walioamua kutengeneza ajira za wengine badala ya wao...
  20. JamiiForums Tanzania Katika harakati za kusaidia jamii ya Afrika

    Habari za majukumu wanaJF Leo ningependa kutambulisha tovuti zangu Katika harakati za kusaidia jamii ya kiafrica kujiajiri au kutumia mitandao kujipatia kipato, niliamua kuanzisha tovuti mbali mbali ili kusaidia jamii ya africa kujiari, lengo langu kubwa ni watu kutumia mitandaon kujipatia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…