Afghanistan: Meya wa Kabul azuia Wanawake wanaofanya kazi Manispaa kwenda kazini

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Meya mpya wa Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul, amewaambia Wanawake wanaofanya kazi Manispaa kukaa nyumbani isipokuwa kama kazi zazo haziwezi kufanywa na Wanaume

Hamdullah Nomany amesema Taliban imeona kuna haja ya kuzuia Wanawake kufanya kazi kwa muda. Ni kizuizi kingine kuwekwa dhidi ya Wanawake Nchini humo

Tangu kuchukua Madaraka, Wanawake wanaofanya kazi wameambiwa wakae nyumbani hadi pale hali ya usalama itakapobadilika

======

The new Taliban mayor of Afghanistan's capital Kabul has told female municipal employees to stay home unless their jobs cannot be filled by a man.

Hamdullah Nomany said the Taliban "found it necessary to stop women from working for a while".

It is the latest restriction imposed on Afghanistan's women by the country's hard-line new Islamist government.

During their previous rule in the 1990s women were barred from education and the workplace.

After seizing the country last month following the withdrawal of US forces, the Taliban said women's rights would be respected "within the framework of Islamic law".

But the Taliban favour a strict interpretation of Islam's legal system, Sharia law.

Since taking power working women have been told to stay at home until the security situation improves, and Taliban fighters have beaten women protesting against the all-male interim government.

The Islamist group appears to have shut down the women's affairs ministry and replaced it with a department that once enforced strict religious doctrines.

And this weekend secondary schools reopened, but with only boys and male teachers allowed back into classrooms. The Taliban said it was working on reopening schools for girls.

According to the Kabul mayor about a third of the municipality's 3,000 employees are women. He said some would carry on working.

"For example, women work in the women's toilets in the city where men cannot go," he said.

"But for the positions that others [men] can fill, we have told them [women] to stay at home until the situation is normalised. Their salaries will be paid," he added.

On Sunday, there were small protests outside the women's affairs ministry while another group of women held a press conference to demand their rights.

One of those protesting at the ministry said "we do not want this ministry to be removed. The removal of women [means] the removal of human beings."

In a separate development, the Afghanistan Independent Human Rights Commission said it had been unable to fulfil its duties since the Taliban's takeover.

The organisation said in a statement that its buildings, vehicles and computers had all been taken over by the Taliban.

Source: BBC
 
Kuna mambo ya kujifunza.
1.Watu wamekaa msituni miaka 20, hawajui maisha ya duniani. Si rahisi wawe na uwezo wa kuongoza dunia wakati hawaijui. Watataka watu wote wiashi kiporipori, kinyamakinyama kwa kuwa ndiyo dunia wanayoijua wao. Elimu ya nini?

2. Hawa watu, inafaa kujua kitu cha moyoni wanachokipigania badala ya matamshi kwamba wanapigania uislam. Matamshi yao na matendo yao yanakinzana sana kwakuwa siamini uislam ni kuchinja watu, kuongea uwongo, kubaka na kufanya biashara ya mihadarati.

3. Mwanzoni walisema wanapinga uvamizi lalkini baada ya majeshi ya kigeni kuondoka, wanachinja makundi ya watu usiku kwa usiku, watu ambao ni waislam na wazawa wenzao.

4. Wanasema hawana shida na maisha ya hapa duniani kwa kuwa uislam unafundisha kwamba maisha mazuri ya amani yako akhera baada ya kufa. Kama hivyo ndivyo ilivyo, kwa nini wanachinja watu wanaowachukia, kama si kutafuta furaha yao, na wanatafutaje sasa furaha duniani wakati wameambiwa wao furaha zao ni akhera?

5. Kuna sehemu wanasema kukishi kwenye mansions kwao ni sawa tu na kuishi mapangoni. Kwa nini wanachagua kukaa kwenye mansions hizo kama hawaoni uzuri wake, wasiende kwenye vichochoro ama wakakaa vichakani?

6. Wanasema waislam hataki maisha mazuri kwa kuwa si yo mafundisho ya dini yao, wakati huo huo wanfukuza wanachi kwenye nyumba ili wawapishe wanamgambo wao waliozaliwa na kukulia mapangoni kwa hiyo hawana makazi. Kwa nini wasiishi popote kama kweli wanashika mafundisho ya uislam kwamba hawatakiwi kuwa na misha mazuri?

Binadamu kuwa binadmu ni zaidi ya umbile na mwonekano wa sura. Hawa watu ni wapiganaji hawana uwezo wa kuunda serikali na mwisho wake wataishia maporini kama magaidi wa jihadi basi.
Endeleeni kuangalia lakini kuwaombea sana watu wa Mashariki ya kati.
 
Si misingi ya dini😀
Wacha waendelee kuitafuta na kuwatafutia watu pepo kilazima

Ila kusema za ukwel hizi dini zote zichunguzwe kwa akili ya kila mmoja wetu

Ukikaa pemben ukazichunguza zina mapungufu kibao
Japo wapo wenye uafadhal
Kias kinachopelekea kujisemea mwenyewe
Bora wangekuwepo watu wa dini hii aman ingekuwepo
Lakin kuna din imekuwa tatizo huku duniani
 
Nimependa hapo waliposema kuea mshahara wataendelea kuwalipa kama kawaida na kwamba hicho ni kipindi cha mpito tu
 
Hii inahusiana na maswala ya kiusaoama kwa muda au ndio mfumo dume wa kiarabu..
 
Kama usalama sio mzuri bora wakae nyumbani.

Nahisi ni uamuzi wa busara na heshima kwa kinamama.

Sisi huku dadazetu tunachapana nao mitaani pasi huruma
 
Yani kufanya kazi kwenye vyoo vya wanawake ndio mfano uliomjia haraka kwenye kazi ambazo wanaume hawawezi kufanya!!!. Lilikuwa suala la muda tu kabla hawajaanza kutekeleza haya wanayoyafanya.
 
Sometimes Huwa najiuliza. Angalieni Nchi Ambazo wanawake Wapo Huru sana zilivyoharibika Kimaadili na Dhambi Ndizo zinakuwa Nyingi kupitiliza

Sometimes najuliza Why hata Mungu akuwaoa Nafasi Sana Hawa Viumbe katika Kazi Zake
 
Hizi takwimu za maadili umezitoa wapi boss?
 
hizo siosababu
Ninafundi kinyozi mmoja hivi wakiislam yeye akinyoa watu wawili anakimbilia nyumbani ,kufanya nn?
Nilivombananisha alikiri kwamba nilazima ikisimama tu akamilishe mchezo ,wanawake wakiislam wanakaxi sana

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Hii dini sijui inamchukulia mwanamke kama kiumbe gani maana kwenye ubinaadam wanamtoa kabisaa. Maana kwenye ubinaadamu wangemuweka wangemchukulia kwamba ana uwezo wa kufanya kazi na kuchangia pato la taifa na sii kiburudisho cha wafuga midevu tuu
 
Hii miarabu akili zao zinaishia kwenye kuotesha midevu na kula tende tu
Wanawake hawana thamani kwao ni bora wanyama waliopo tanzania
Hawa watu ni laana
 
Meya mpya wa Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul, amewaambia Wanawake wanaofanya kazi Manispaa kukaa nyumbani isipokuwa kama kazi zazo haziwezi kufanywa na Wanaume

Hamdullah Nomany amesema Taliban imeona kuna haja ya kuzuia Wanawake kufanya kazi kwa muda. Ni kizuizi kingine kuwekwa dhidi ya Wanawake Nchini humo

Tangu kuchukua Madaraka, Wanawake wanaofanya kazi wameambiwa wakae nyumbani hadi pale hali ya usalama itakapobadilika

======

The new Taliban mayor of Afghanistan's capital Kabul has told female municipal employees to stay home unless their jobs cannot be filled by a man.

Hamdullah Nomany said the Taliban "found it necessary to stop women from working for a while".

It is the latest restriction imposed on Afghanistan's women by the country's hard-line new Islamist government.

During their previous rule in the 1990s women were barred from education and the workplace.

After seizing the country last month following the withdrawal of US forces, the Taliban said women's rights would be respected "within the framework of Islamic law".

But the Taliban favour a strict interpretation of Islam's legal system, Sharia law.

Since taking power working women have been told to stay at home until the security situation improves, and Taliban fighters have beaten women protesting against the all-male interim government.

The Islamist group appears to have shut down the women's affairs ministry and replaced it with a department that once enforced strict religious doctrines.

And this weekend secondary schools reopened, but with only boys and male teachers allowed back into classrooms. The Taliban said it was working on reopening schools for girls.

According to the Kabul mayor about a third of the municipality's 3,000 employees are women. He said some would carry on working.

"For example, women work in the women's toilets in the city where men cannot go," he said.

"But for the positions that others [men] can fill, we have told them [women] to stay at home until the situation is normalised. Their salaries will be paid," he added.

On Sunday, there were small protests outside the women's affairs ministry while another group of women held a press conference to demand their rights.

One of those protesting at the ministry said "we do not want this ministry to be removed. The removal of women [means] the removal of human beings."

In a separate development, the Afghanistan Independent Human Rights Commission said it had been unable to fulfil its duties since the Taliban's takeover.

The organisation said in a statement that its buildings, vehicles and computers had all been taken over by the Taliban.

Source: BBC

Haya makafiri ya kizungu yanatafuta nini kwa serikali mpya!!! Kila kitu taleban,, yaani wanakera sana. Na wewe beth na zomboko msiwe mnatuletea mapropaganda yao. BBC❌ NA CNN❌
 
Back
Top Bottom