Binti wa miaka 24 anatafuta kazi hotelini

sekyy

Member
Aug 9, 2021
21
11
Poleni na majukumu
Binti wa miaka 24 anatafuta kazi hotelini
Vitengo anavyoweza ni
Waitress
Housekeeping
Reception

Amesomea na anauzoefu na vitengo hvyo yupo Kibaha ila popote yupo tayari kwenda kufanya kazi asanteni 🙏
 
Hii kazi ni ya uongo haipo
 
Namshauri atafute hata mtaji wa 50K afungue mgahawa hapo mtaani.
Huku akiendelea kusikilizia ajira.
Siku hizi mambo ya ajira ni magumu sana na wahuni ni wengi mara wanaomba pesa mara papuchi nk.
 
Poleni na majukumu
Binti wa miaka 24 anatafuta kazi hotelini
Vitengo anavyoweza ni
Waitress
Housekeeping
Reception

Amesomea na anauzoefu na vitengo hvyo yupo Kibaha ila popote yupo tayari kwenda kufanya kazi asanteni 🙏
Ngoja mameneja wakupe msaada
 
Poleni na majukumu
Binti wa miaka 24 anatafuta kazi hotelini
Vitengo anavyoweza ni
Waitress
Housekeeping
Reception

Amesomea na anauzoefu na vitengo hvyo yupo Kibaha ila popote yupo tayari kwenda kufanya kazi asanteni
Kuna member alipost hapa jukwaani juzi idea nzuri sana ya kujiajiri kufanya usafi kwa kianzio cha elfu 50 tu. Kama wewe ni mwaminifu jaribu hiyo.
 
Namfahamu huyo mtoa post vizuri, kitu kama hujui nyamaza, kazi ni ya ukweli na uhitaji pia upo, muwe mnapiga simu na kuguatilia jambo kabla ya kuja kupotosha, mtoa post ni mtu mkubwa kuliko unavyofikiri. Mwambie ajaribu bahati yake kama hajapata mtu kazi atapewa tena sehem anayowekwa ni salama na uhakika.
 
Back
Top Bottom