kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Nimefuatilia utendaji kazi wa Rais Samia, PM Majaliwa na VP Mpango, huwezi kuamini awamu ya tano walikuwa wamoja na Hayati Magufuli

    Ukilala ukiamka, ukafuatilia uteuzi, utendaji na miradi mkakati iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tano, utaona wazi viongozi niliowataja walikuwa wanasali na kuomba JPM atakufa lini ili wafanye yakao. Ila hawakumbuki kuwa wanaongoza wananchi 60m ambao hawajawahi kuwaomba kura wala...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia ije na mpango wa kunusuru wasio na kazi

    Kimekuwa ni kilio cha muda mrefu sana kuhusu ukosefu wa ajira hapa nchini kwa makundi yote yaaani wenye elimu za juu, kati na hata chini ,lakini serikali za awamu zote zijaona kama zimekuja na mpango mkakati juu ya ili kundi ili kulinusuru maana hatua ya sasa hali imekuwa ni mbaya kuliko...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nia njema kabisa, Rais Samia mfute kazi Waziri Makamba

    Samia,una habari Nchi ipo gizani? Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa? Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani? Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako...
  4. JamiiForums Tanzania Mchoma Nyama anatafutwa

    Anahitajika kijana fundi wa kuchoma na kukaanga kuku barabarani. Eneo la kazi Kimara Korogwe, malipo maelewano. DM iko wazi.
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari, Nahitaji kazi maeneo ya dar, nina ujuzi wa mambo ya saloon(ya kike na kiume) , lakini pia natafuta kazi za kuuza duka (languo, vipodozi, nk) kazi ya usafi, usaidizi wa ofisini, nyumban kwenda na kurudi) usaidizi wa shuleni hata upishi au kusaidia tu wale watoto na kazi zingine ambazo...
  6. JamiiForums Tanzania RC Homera: Watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato wapangiwe kazi nyingine

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameagiza watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya ndani kupangiwa kazi nyingine. Homera ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani mara baada ya Uongozi wa Halmashauri kutangaza...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake msiombe hela ombeni KAZI

    Kuna mwanamke kaniomba sh elfu 40 akasuke nywele sasa nikaiwazia hiyo pesa kwa haraka haraka. Elfu 40 nanunua mifuko mi 3 ya smenti. Elfu 40 nanunua kuku wa 3 wanene. Elfu 40 nanunua units 116 za umeme. Elfu 40 nanunua mapazia mawili. Elfu 40 najaza gesi mtungi mkubwa. Basi baada ya...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Angalia ujuzi wangu then naomba connection ya kazi

    Kwema wana jf taifa kubwa Naitwa makolelo Mkazi wa dar Elimu diploma Uzoefu Store keeper kampuni ya jiangxi Mwaka mmoja Shop manager fashion shop Revenue collector municipal Cashier Site foremen supervising 10 labour Natafuta kazi yoyote ya kuingiza riziki na nimuuguze mama angu Kitu hiki...
  9. JamiiForums Tanzania Duwasa Dodoma Kazi Imewashinda

    Ni wiki ya tatu sasa kuna baadhi ya maeneo ndani ya viunga vya jiji la Dodoma hayana maji kabisa. Mnyetishaji wangu anaiambia maeneo kama Chidachi, kinyambwa, itega na kielekea Michese hayana maji kabisa licha ya kuahidiwa kuwa yatapatikana. Mnyetishaji huyu anazidi kunidodosolea kuwa Duwasa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Kocha mpya Simba SC Pablo Franco unalipa Mshahara wa Nabi, Kazi, Zahera, Manara na Bumbuli huku Chenji ikibaki pia

    Awali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC sasa amekubali kupokea Mshahara wa Tsh Milioni 250 kwa Mwezi na mpaka sasa ameshalipwa tayari...
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Lumumba

    Sifa zangu: Ni kijana mwenye uwezo wa kukesha nasifu Na kuabudu bila kuchoka. Naweza kubadilisha nyeusi Kuwa nyeupe. Ni muongo Sana Na naweza kudanganya bila kupepesa macho Nina uwezo wa kutunga propaganda Za akili Na maganda yake. Naambatanisha kielelezo kimoja. Wako mtiifu.
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Dodoma

    Habarini wakuu, Mimj kijana wa kiume, muhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mkazi wa Dodoma mjini. Natafuta kazi yoyote mjini Dodoma itayoweza nipatia mahitaji yangu ya msingi iwe ya taaluma au ya nguvu. Nimeshindwa kutafuta internship maana sina mtu yoyote nnaemjua aneweza nisaidia nipate hata...
  13. JamiiForums Tanzania Kama unadhani unafanya kazi under pressure tizama hii

  14. T

    JamiiForums Tanzania Vijana wanahitajika kwa ajili usambazaji wa Ubuyu

    Mambo vip wakuu Kuna project inataka kuanza wiki ijayo inahusu kusambaza ubuyu wa jumla na rejareja mtaani. Kwa ambaye Hana ramani, ramani ndio hiyo hapo. Unapewa target ya mzigo, ukiisha unalipwa kamisheni ya 10,000, so wewe Tu na juhudi yako. Project hii tutatumia gari kuzunguka mitaani na...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu kazi za vibarua viwandani Kahama

    Naomba kujulishwa upatikanaji wa kazi za vibarua viwandani na malipo yapoje kwa siku kwa anaeelewa anisaidie
  16. JamiiForums Tanzania Tumeyapokea na tutayafanyia kazi

    Huwa inasemwa mwanasiasa ni mtu anayeweza kuzungumza kwa saa nzima bila kusema kitu. Yaani ukimsikiliza anahutubia saa nzima baadaye ukitafakari alisema nini unagundua kitu. Hicho ni kipaji. Webometrics rankings za Julai mwaka huu zinaonyesha UDSM ni ya 42 Afrika, Nairobi ni ya 13 na Makere ni...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote mkoa wa Arusha

    Habari zenu wana jamvi. Mimi ni kijana wa kiume natokea mkoa wa Arusha. Ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya Kazi yoyote halali kwa mkoa wa Arusha tupeane. Elimu yangu in Shahada ya Uhasibu na Nina uzoefu wa miaka 2 kwa nafasi ya uhasibu na miaka 3 kwa nafasi ya Afisa Masoko kwenye kampuni...
  18. JamiiForums Tanzania Madodoso ya namna hii ni sumu inayoua ufanisi wa kazi, ndiyo maana taasisi nyingi za umma tija ni ndogo

    Nikiambiwa nim-rate huyu mkuu wa idara aliyeandaa hili dodoso kwa wafanyakaze wake basi nitampa 0/5. Huyu hata taratibu na sheria za utumishi wa umma hazijui na kama anazijua basi ameamua makusudi kuihujumu taasisi yake. Kiwango cha ufanisi wa mfanyakazi hupimwa kwa OPRAS na sio kwa madodoso ya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Sanaa na kazi za ubunifu za Afrika zakaribishwa nchini China

    Na Kelvin Ogome Takwimu zilizotolewa katika ripoti ya Benki ya Dunia inaonyesha kuwa, asilimia 7 ya pato la jumla barani Afrika hutokana na utalii. Kando na kilimo na uchimbaji madini, mataifa mengi ya Afrika hutegemea utalii na watalii kujiendeleza kiuchumi. Hili ni dhihirisho kamili kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 500 kwa ajili ya KUPUCK laana kuwa maandishi ya kubadili viongozi

    Kampuni ya Punch company limited Inatanganza nafasi 500 kwa wachumi, HR, ACCOUNTANT, WATU WA MASIJALA KWA AJILI YA KUPUNCH LAANA ZILIZOKO KWENYE JAMII MAANA UHURU HAWAKUTENGENEZA KITENGO CHA KUJIBU MANUNGUNIKO ya watu na badala yake yakawa laana... Mathalani:- ...... Mchawi sana/Freemason...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…