"Napenda kuwatangazia Wanachadema kuwa kazi ya kuidai Katiba Mpya siyo kazi ya lelemama. Wakitaka kuwaweka ndani Wanachadema kwa hoja hii ya Katiba wapanue kwanza Magereza, tupo tayari wote tuwekwe ndani na wala hatutaomba dhamana." Mhe. Freeman Mbowe.
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba.
Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
bajeti 2021/22
bunge la bajeti
fedha
habari
kazi
kikao
kiongozi
kitu
mawasiliano
moto
mwigulu
mwigulu nchemba
mzima
rais samia
samia suluhu
simu
swali
tatizo
tigopesa
tozo
tozo za miamala
tozo za simu
utatuzi
wakati
waziri
waziri mkuu
Tumaini langu mko salama, kunachangamoto kubwa sana kwa vijana wanaoishi kijiji kupoteza fursa za kazi ambazo Halmashauri huwa wanazitangaza, matangazo haya mara nyingi huwa hayawafikii vijana hawa mara nyingi fursa hizi ufaidika vijana waoshio makao makuu ya Halmashauri.
Hii kutoka na miundo...
Serikali za Nigeria na Ujerumani zimekubaliana muda wa mwisho wa kurejesha vinyago vya kuchingwa vilivyoibiwa kutoka nchini Nigeria.
Waziri wa habari na utamaduni wa Nigeria ameyasema hayo katika mkutano wa waandishi wa habari mjini Lagos, uliolenga kuwafahamisha Wanigeria ni wapi zipofikia...
Tunapojiita kua tuna bunge badala ya kufanya kazi ya kuishauri na kuisimamia serikali badala yake linafanya kazi ya kuitetea serikali ni hasara kwa taifa kupoteza mabilioni ya shilingi kuwalipa mishahara.
Mmekaa mnapitisha tozo ambazo ni maumivu kwa Watanzania tena kwa kishindo mnagonga meza...
Polisi wa Nyakato Mwanza, wamezua kongamano la Katiba mpya kwa Sababu walioandaa Kongamano kawajatoa taarifa Polisi. Hivyo likifanyika bila kibali cha Polisi litakuwa ni batili.
Habari wakuu,
Nauliza zile ndege zilizonunuliwa kwa mbwembwe na kejeli nyingi kwa wapinzani kwamba ni wapingaji
Ndege ambazo CAG alisema hazjawahi kuingza faida ila hasara tu maana yake znaendeshwa kwa pesa ya mlipa kodi wa miamala ya simu nk
Ndege hizi zmetengenezwa kwa matumizi ya...
Tunahitaji yeyote mwenye uzoefu na kazi za staionary. Awe na uwezo wa kutumia computer hususani program zote za machapisho. Awe mzuri wa kutumia internet
Aweze pia kuandaa na ku post matangazo mtandaoni. Awe na uwezo wa kusimamia kitengo cha mafunzo ya computer na kufanya digital markert na...
Polisi muache kujipitisha kwa kuikumbatia CCM hata mnafika kuvunja sheria ,mkae mkijua kikinuka Miccm haitawasaidia kitu na watakaa mbali sana na nyinyi,mnamuona Sabaya? Mnawaona wale mapolisi ambao miezi michache walitesa watu kule Zanzibar na kuwagaragaza ,waliokuwa wakilindwa (CCM) wote...
Elimu ni muhimu Sana ndiyo kauli ambayo ipo katika vichwa vya watu wengi ikiwemo watanzania Ili elimu iwe na Tija kwa kijana ni pale anapoitumia elimu yake katika harakati anazifanya kila siku.
Kwa Sasa elimu ya Tanzania inapoteza sofa ya kuwa na uzito uke uliokuwepo mwanzo.
Chanzo:Google...
Wadau kwema.
Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya..
Kazi nazoweza kufanya
Kazi ya sales
Storekeeper
Kusaidia fundi.
Kazi ya kusimamia mradi
Kazi ya usafi
Na kazi nyinginezo...
Sina maana yoyote juu ya kupotosha imani ya mtu.
Umegundua mwisho wa kutafakari bila majibu ni Mungu anafuata?
Tumwachie Mungu
Mungu atatenda
Nk..
Ulistukaga anatajwa wakati unakwepa jukumu lako!?
Mfano:
Huna kazi. Wanatuambia tumwombe atupatie ajira.
Lakini ukweli ni mmoja tu.
“MUNGU...
Habari wanajukwaa
Tumeskia vitendo vya kuogofya vya wadada wa ndani, kuumiza hadi kuua Watoto, ushirikina n.k. Ila pia Kumekua na Habari nyingi za vitendo vya unyanyasaji vya wafanya kazi wa ndani, wengi wanapewa kazi nyingi, maslahi hafifu, kupewa mimba na ma boss wao kisha kukataliwa hizo...
Ni miaka mingi sana wapinzani tumekuwa tukipigania maslahi ya taifa kwa udi na uvumba. Kwa miaka yote tumekuwa na matokeo chanya ikiwemo kuzipinga bajeti nyonyaji kwa wananchi. Ilifika mahali bajeti pendekezwa za Mbadala kutoka kambi ya upinzani Bungeni zinachanwachanwa kwenye makamera ili...
Hivi kwa Africa kweli kuna mtu anaishi kwenye ndoto zake yaani kama ulikuwa unatamani kuwa pilot ukawa pailot. Sijui hii ipo kweli mimi nilikuwa nandoto kuwa kapteni wa meli daah nikikumbuka hii ndoto wakati namuona mjomba zamani akija nyumbani basi nikawa nasema mimi nitakuwa kama wewe...
Mahakama Kuu jijini Nairobi imeamuru kampuni ya mawasiliano ya Safaricom kumlipa mwanamume kipofu KSh 6 milioni kwa kukosa kumuajiri.
Wilson Macharia alituzwa kima hicho cha pesa baada ya kushtaki Safaricom kwa kile alitaja kama kukiukwa kwa haki zake. Macharia alisema alinyimwa nafasi ya...
🌺Hivi ulishawahi kuwaza kama inawezekana kwa muuza genge la nyanya, vitunguu, kabichi n.k akapata mafanikio zaidi ya mwenye duka hata la nguo au lingine lenye hadhi kubwa?
🌺Hapa ishu ni umakini. Katika kile kidogo ulichonacho kama utajitahidi kukipa umakini mkubwa unaweza ukawazidi wengi wenye...