kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Mr mussa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya mauzo au masoko kwa malipo ya commission

    Habari! Naitwa Musa, umri ni miaka 24 ni graduate wa information technology katika level ya degree. biashara inahitaji wateja ili kuweza kupata faida na kuendesha biashara, Hivyo basi kama kuna kampuni au biashara binafsi inahitaji kuweza kuongeza mauzo yake kwa kupata wateja basi tunaweza...
  2. mathsjery

    JamiiForums Tanzania I'm very hurt today, but I have no way.

    Just Read: Hello. how are you doing? I am from the Caribbean family and i live in Dallas, TX I want a website design for my Wife Restaurant opening soon and I will like you to use this image for the new website for my wife Restaurant. {link kapuni} This is what i want you to create for my...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin awafuta kazi majenerali nane na pia agombana sana na taasisi ya ujasusi ya FSB

    Haya maamuzi ameyafanya baada ya aibu ambayo imemkuta Ukraine, hakutegemea hivi kabisa, FSB walimshauri vibaya kwamba ataingia na kuchakaza kwa siku chache na kumaliza mchezo, leo mambo yameshindikana, amepoteza wanajeshi, vifaru, mindege na zana zingine nyingi tu na bado Kiev inazdi kumtunishia...
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kupata kazi FBI, wameniomba dola 100 kwa ajili ya badge

    Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI. Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo. Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa walimu wa hesabu

    Tunahitaji walimu wa hesabu kuanzia form 1 hadi 6. Kazi inafanyika online na utapewa test kabla ya kuanza. Kwa mwenye uhitaji tuma email: rubysinc2012@gmail.com
  6. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari WanaJF, Ni kijana wa miaka 24 nakaa tabata-bima Dar-es-Salaam. Ni mhitimu wa kozi ya ualimu katika chuo Cha mtakatifu Augustine SAUT-MWANZA level ya bachelor degree Natafuta kazi ya kuuza bar hasa kitengo Cha counter au kuuza duka la vifaa vya umeme,nguo,simu,vipodozi,vitu vya...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyo kwa sanaa ya muziki na kazi nyingine za sanaa zipewe nafasi ili ziweze kukua zaidi

    Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha fikra na mawazo ya binadamu kwa njia aidha ya kuchora, kuchonga, uandishi, upambaji, mitindo, ufinyanzi, uimbaji, Uigizaji na vitu vingine vifafananavyo na hivyo, ni hali ya kuyapa umbo au (kibebeo) mawazo ili yaweze kufika kwa hadhira ili aidha kuelemisha...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuomba kazi

    Habari wanajamii forums Naomba ushauri wenu kwa wanaojua Sana au kidogo juu ya hiki ilimradi nipate dondoo ata kidogo tuu ni hivi nimemaliza chuo mwaka jana nilisomea course ya education(ualimu) Sasa Kama mnavyojua ajira ni ngumu wandugu na mtaani ni kugumu usiambiwe. Sasa katika pita pita za...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wafungwa kula mlo mmoja kwa siku na hufanya kazi ngumu, hii ni haki?

    Hizi jela zetu zimekuwa sehemu ya mateso na sio sehemu ya kumrekebisha mtu tabia. Mfano hapa jela ya Mbeya Mjini watu wanafanya kazi asubuhi hadi saa nane mchana, hio kazi wanayofanya ni nzito ambayo uraiani anastahili malipo ya chini iwe kumudu milo miatu lakini wao wanapewa chakula mara moja...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mtaalamu wa afya na ungependa kufanya kazi ya kimataifa nje ya nchi? 🇬🇧 🇺🇸 🇦🇺

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Siku nzima ya leo benki ya CRDB haikufanya kazi kwa ukosefu wa mtandao

    Siku ya leo haikuwa siku nzuri kwa CRDB. Wateja wengi tulikosa huma na wengine tulikaa ndani ya Benki kwa muda mrefu sana kwa Benki kukosa mtandao. Mpaka sasa Benki haijatuomba radhi licha ya kupata adha kubwa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa kufanya kazi na wahindi jamani

    Jamani nataka nitoke kwa mswahili nikafanye kazi na mhindi. Naombeni ushauri, tahadhari na maonyo niweze kufanya hiyo kazi. Muongee uhalisia ili nisije nikatupa mbachao. Uzi umeisha
  13. M

    JamiiForums Tanzania Singida Mashariki, Kazi anazofanya Miraji Mtaturu, Lissu tafuta jimbo lingine

    ==== Pamoja na kuwa Jimbo la Singida Mashariki lilisalia mikononi Mwachadema kwa zaidi ya mwongo mmoja ajabu ni kwamba baadhi ya maeneo ya jimbo hilo kwenye karne hii ya Sayansi na tekinologia watu walikuwa bado wakiwasiliana kwa kutumia "Barua " kwani hawakuwa na minara ya simu, Ujio wa Mhe...
  14. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani na wastaafu waliokuwa wanafanya kazi maalum?

    Nianze kwa kusema habari wapendwa. Nianze kwa kusema thread yangu nimeianza kwa mfumo wa swali hali ya kuwa ndani inamaelezo machache japo yenye kuendana na swali pia. Sababu ya kuleta thread hii ni kwa sababu ya baba yangu mdogo ambae alikuwa akifanya kazi magereza kipindi cha miaka ya 80 na...
  15. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu ajira kwa vijana wa kileo

    Wengi mna apply kazi bila mafanikio na mnaenda mpaka Dodoma mkitumia gharama kubwa ila matokeo huwa hamna. Wengine wale mnaaomba ma NGO bila mafanikio hali ni tete sana. Ukweli ni kwamba kazi zinanunuliwa sikuhizi😎 asikwambie mtu kama huna connection usipoteze muda wako hutapata kazi hata...
  16. Mes92

    JamiiForums Tanzania Nafasi zimetangazwa 12 Utumishi interview tumeenda 8. Je, kuna uwezekano kweli wa kupata kazi wote au sheria ndo inafuata mkondo?

    Msaada kwa wadau mwenye uzoefu au aliyewahi kukutana na situation hii
  17. nyahinga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa taratibu za kubadili kazi Ualimu kuwa Afisa Lishe

    Habari JF, Naomba kuuliza utaratibu wa kubadili kazi kutoka kuwa mwalimu na kuwa afisa lishe wa wilaya. Nimesoma BSc. In human Nutrition lakini pia nikasoma postgraduate diploma in education. Kwa Sasa nafanya kazi kama mwalimu, Ila nataka kuhamia kwenye field ya mwanzo. Yaani nataka nifanye...
  18. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Msumbiji: Rais Felipe Nyusi amfukuza kazi Waziri Mkuu, ateua mwingine

    Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amemteua Adriano Afonso Maleiane kuwa Waziri Mkuu mpya wa taifa hilo ikiwa ni muda mfupi baada ya kumfukuza kazi aliyekuwa akishika nafasi hiyo, Carlos Agostinho do Rosário. Maamuzi hayo ya uteuzi yameenda pamoja na uteuzi mpya wa mawaziri kadhaa akiwemo Waziri wa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Halotel kwisha kazi kwenye internet

    Jamaa walikuwaga poa sana kwa unafuu wa vifurushi na speed ila kwa sasa ni disaster hawafai kabisa, waepuke waepuke waepuke speed kama konokono
  20. Ederra

    JamiiForums Tanzania Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

    Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu. "Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha. "Haina shida." Nikajibu. "Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza. Nikamjibu...
Back
Top Bottom