Natafuta kazi

Valence Cheti

Member
Aug 7, 2018
5
3
Habari WanaJF,

Ni kijana wa miaka 24 nakaa tabata-bima Dar-es-Salaam. Ni mhitimu wa kozi ya ualimu katika chuo Cha mtakatifu Augustine SAUT-MWANZA level ya bachelor degree

Natafuta kazi ya kuuza bar hasa kitengo Cha counter au kuuza duka la vifaa vya umeme,nguo,simu,vipodozi,vitu vya nafaka,computer au laptop in case duka la aina yeyote Ile kwani kazi hizo ni mzoefu nazo na nimezifanya kwa weledi wa kiwango Cha juu Sana ko hazinisumbui Wala Sina Cha kujifunza zaidi Bali Nina uwezo wa kuorganize na kuinfluence biashara ikawa nzuri zaidi na zaidi pia naweza nikafanya kazi ya kuwa supervisor katika kampuni yeyote Ile pia naweza kubeba vitu na kupark store

Hivyo kwa yeyote mwenye fursa mojawapo au zote tajwa hapo juu au anajua wapi zinapatikana au wapi naweza pata fursa hizo kwa uaminifu wa Hali ya juu Sana naomba tuwasiliane namba yangu ni 0712035352.

Pls nisaidie nikusaidie.

Napatikana mda wowote ule hata kuanza Sasa Kama unayo tuwasiliane zaidi
 
Jaribu hapo kuna nafasi nyingi za job
IMG-20220310-WA0005.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom