Nimebobea kwenye masomo ya Physics na Chemistry. Natafuta kazi

Oct 23, 2022
97
99
Mambo zenu wakubwa,
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Mimi ni kijana mwezenu nina shahada ya fizikia na kemia. Shahada yangu nilifaulu vizuri sana kwa GPA ya 4.
A-level nilifaulu vizuri masomo ya PCM yaani Physics, Chemistry na Mathematics.
Nimebobea vizuri sana katika masomo ya Physics na Chemistry.
Nilianza kufundisha masomo ya Physics na Chemistry katika shule za sekondari kuanzia mwaka 2013.
Nikiwa katika kufundisha wanafunzi wangu wamekuwa
wananielewa vizuri sana na kufanya vizuri sana katika mitihani yao ya taifa.
Ahsanteni sana.
 
Samahani kama nitakuwa nakukwaza....

Kwanini hiyo njia uliyotumia kupata milioni ya zawadi, uiboreshe ili uendelee kupata milioni zingine.

Kupata elimu sio lazima kuajiriwa. Ila elimu itusaidie/itupe wepesi wa kupambanua mambo.

Tunategemea wewe msomi ukiwa na hiyo milioni Yako, basi ile biashara/ujuzi ambao unafanya vizuri sana Kwa asiye msomi uiboreshe zaidi ili ifanye vizuri sana kwako ikiwa imeboreshwa.

Wasalaam.
 
Tunataka white collar Job, blue collar zipo na tunazimudu ila lengo ni White collar mpaka ndoto itimie
 
Mambo zenu wakubwa,

Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.

Mimi ni kijana mwezenu nina shahada ya kemia. Shahada yangu niliipata 2016. Nilifaulu vizuri sana kwa GPA ya 4.

A-level nilifaulu vizuri masomo ya PCM yaani Physics, Chemistry na Mathematics.

Nimebobea vizuri sana katika masomo ya Physics na Chemistry.

Nilianza kufundisha masomo ya Physics na Chemistry katika shule za sekondari kuanzia mwaka 2013 mpaka 2019.

Nikiwa katika kufundisha wanafunzi wangu walikua wananielewa vizuri sana na kufanya vizuri sana katika mitihani yao ya taifa.

Ahsanteni sana.
Ungeweka dau kuanzia ngapi?
Ili nikupeleke school kabisa ukafundishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom