Tangazo la kazi

Dr Madam

New Member
Oct 21, 2021
2
3
LIZONA ENTERPRISES LTD iliyopo mkoani Mwanza inawatangazia nafasi za kazi kwa watu wote wenye sifa.

Nafasi Za kazi ni kama ifuatavyo :-
  • Msimamizi mkuu na Mtawala(1)
  • Wauzaji wa bidhaa(15)
  • Wasambazaji na wapangaji wa bidhaa(18)
  • Wapokeaji na waelekezi wa wateja sehemu husika(11)
  • Usafi wa maeneo yote ya kazi(5).

SIFA
  • Katika nafasi ya Msimamizi mkuu muombaji anatakiwa kuwa na uzoefu wa usimamizi wa biashara angalau miaka miwili pia awe na diploma na kuendelea katika fani ya biashara.
  • Awe na cheti cha kidato cha IV.
  • Awe na umri usiozidi miaka 30.
  • Awe tayari kuishi mkoani mwanza
  • Awe na wazamini wawili wa kuaminika.
  • Awe anajua kuongea na kuandika kiswahili kiufasaha.
  • Awe mbunifu na mwenye akili timamu.
Maombi yote yatumwe kwa njia ya barua pepe

lizonaenterprisesltd@gmail.com
 
Kutokana na wimbi la ukosefu wa ajira Kuna watu watatuma maombi bila kujua Ni biashara gani
Hii kitu sitaki kabisa kufanya, kampuni serious zinaweka profile zao, nyingine mpaka Historia unaikuta kwenye tangazo

Hii kampuni ya hili tangazo nimei search Google haipo!!! , Sasa jiulize dunia ya leo kampuni gani hasa ya bidhaa haipo mtandaoni
 
LIZONA ENTERPRISES LTD iliyopo mkoani Mwanza inawatangazia nafasi za kazi kwa watu wote wenye sifa.

Nafasi Za kazi ni kama ifuatavyo :-
  • Msimamizi mkuu na Mtawala(1)
  • Wauzaji wa bidhaa(15)
  • Wasambazaji na wapangaji wa bidhaa(18)
  • Wapokeaji na waelekezi wa wateja sehemu husika(11)
  • Usafi wa maeneo yote ya kazi(5).

SIFA
  • Katika nafasi ya Msimamizi mkuu muombaji anatakiwa kuwa na uzoefu wa usimamizi wa biashara angalau miaka miwili pia awe na diploma na kuendelea katika fani ya biashara.
  • Awe na cheti cha kidato cha IV.
  • Awe na umri usiozidi miaka 30.
  • Awe tayari kuishi mkoani mwanza
  • Awe na wazamini wawili wa kuaminika.
  • Awe anajua kuongea na kuandika kiswahili kiufasaha.
  • Awe mbunifu na mwenye akili timamu.
Maombi yote yatumwe kwa njia ya barua pepe

lizonaenterprisesltd@gmail.com
Nkasema mwanza nmefikiwa ujobless sasa kwisha nichape mitaa...hta google haiwatambui ..a very special pumbav to you.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom