Aloyce Nyanda wa Star TV huenda akafutwa kazi kwa shinikizo la wakubwa

Asante CCM

JF-Expert Member
Jun 22, 2023
346
1,301
IMG_7856.jpeg

Duru za kweli kabisa zinatabanaisha bwana Aloyce Nyanda, mtangazaji wa kituo cha runinga Star TV, huenda akafutwa kazi kwa kile kinachodaiwa " hayupo upande wa wakubwa."

Nukuu ya chanzo;

Jamaa kibarua ki shakani sana, maana hata boss kapigiwa simu kibao akilalamikiwa kuhusu yeye kuendesha mijadala hasi ihusuyo Mamlaka.

Yule mwenzake toka amhoji Dk. Slaa kapokea simu nyingi za vitisho na kwa pamoja usishangae vibarua vikaota nyasi.

Chanzo.

Kinachoendelea:

Inasemekana ndugu Antony Diallo ameweka ngumu vijana wake kuingiliwa na ameomba ushahidi wa jambo lolote baya walilolifanya ili basi awahukumu kwa haki.
 
Duru za kweli kabisa zinatabanaisha bwana Aloyce Nyanda, mtangazaji wa kituo cha runinga Star Tv, huenda akafutwa kazi kwa kile kinachodaiwa " hayupo upande wa wakubwa."

Nukuu ya chanzo;

Jamaa kibarua ki shakani sana, maana hata boss kapigiwa simu kibao akilalamikiwa kuhusu yeye kuendesha mijadala hasi ihusuyo Mamlaka.

Yule mwenzake toka amhoji Dk Slaa kapokea simu nyingi za vitisho na kwa pamoja usishangae vibarua vikaota nyasi.

Chanzo.
Wamfukuze tu kwani si atajiajiri mwenyewe kama Millard Ayo. Ni ngumu sana kumnyima mtu kula. Ukiziba huku anafungua kule
 
Duru za kweli kabisa zinatabanaisha bwana Aloyce Nyanda, mtangazaji wa kituo cha runinga Star Tv, huenda akafutwa kazi kwa kile kinachodaiwa " hayupo upande wa wakubwa."

Nukuu ya chanzo;

Jamaa kibarua ki shakani sana, maana hata boss kapigiwa simu kibao akilalamikiwa kuhusu yeye kuendesha mijadala hasi ihusuyo Mamlaka.

Yule mwenzake toka amhoji Dk Slaa kapokea simu nyingi za vitisho na kwa pamoja usishangae vibarua vikaota nyasi.

Chanzo.
Mm mpaka Leo hii siamini kwanini mama Samia amekubali kuingizwa mkenge.....

Si alisema yeye na Hayati JPM ni kitu kimoja nacho amini over my dead body 👅 JPM nae mfahamu hawezi kodisha Wala ku uza bandari zetu....
 
Nukuu ya chanzo;

Jamaa kibarua ki shakani sana, maana hata boss kapigiwa simu kibao akilalamikiwa kuhusu yeye kuendesha mijadala hasi ihusuyo Mamlaka.

Yule mwenzake toka amhoji Dk Slaa kapokea simu nyingi za vitisho na kwa pamoja usishangae vibarua vikaota nyasi.

Chanzo.
Hawa wasaidiwe kuanzisha vituo vyao binafsi
 
Duru za kweli kabisa zinatabanaisha bwana Aloyce Nyanda, mtangazaji wa kituo cha runinga Star Tv, huenda akafutwa kazi kwa kile kinachodaiwa " hayupo upande wa wakubwa."

Nukuu ya chanzo;

Jamaa kibarua ki shakani sana, maana hata boss kapigiwa simu kibao akilalamikiwa kuhusu yeye kuendesha mijadala hasi ihusuyo Mamlaka.

Yule mwenzake toka amhoji Dk Slaa kapokea simu nyingi za vitisho na kwa pamoja usishangae vibarua vikaota nyasi.

Chanzo.
Star tv ni televisheni ya ccm. Bwana diallo ni bosheni tu.
 
Back
Top Bottom