Watu wanaomba kazi sio masimango, hili ni jukwaa la connection za kazi sio jukwaa la show off

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
384
2,525
Unajua vijana hamjitumi kijana una degree unaomba kazi ya hovyo. Ningekusaidia ila ujanifata PM (mtu anaesaidia hana manyanyaso)....ndio maneno yao kila siku na kwa kila mtu.

Guys Ili ni jukwaa la kazi yani waomba kazi na watoa kazi wanakutana. Kwa nini utoe maneno ya kejeli kwa mwenzio. Ajira ni ngumu Sio kwamba kuna mtu anapenda kuwa low kiasi cha kuombaomba asaidiwe.

Mimi niliachaga kazi aisee mtaani pasikieni tu unaamka hauna hata mia 5 na hakuna kitu unaweza fanya circle ya ofisini na wana wanasepa simu hawapokei watapokeaje mtu kila call yake nu malalamiko lakini sio malalamiko anajarib kutoa sumu you must have to be smart to understand...niliingia mpak michezo ya kuzebenza magodaun tunaongea na mlinzi tunamweka tambala tunamgalagaza anatufungulia tunatoa mzigo chupu chup mazee 6feet under ndo nikatubu nikarud kwa mhindi nilikuwa napotea.

So mtaani ni kubaya acheni kuongea taarab huna chochote unaweza mshaur mtu maisha wa2 wamepitia mengi wewe kila sehem unatoa ushauri au na wewe ni jobless hutak wenzio wasaidiwe mwingine eti nilitaka unipm nikurushie hela ya kuchapisha wasifu na bando la barua pepe hahahaha sis sio wajinga.

Waafrika ni viumbe wenye roho mbaya sana 🚮🚮🚮
Elimu haileti mtaji mtaji una njia zake za kuupata lazima uwe na kitu cha kukubeba nafanya kazi ya hand to mouth unaniambia nichange mtaji labda miaka 10 😅😅😅

Wacha tuingie mzigoni muhindi hana huruma unachomwa na moto asubuhi mpaka jion na hakuna bima ya afya salary dusko wengine 40 sijui km tutatoboa.

Ila kuuza bisi kuonjesha watu stendi hahahaha hiyo mie hapana ata mm ningechomoa
 
Sasa unaomba msaada au unatuchamba mkuu.
Ajira hakuna ndio
Kuna watu ni much know wanajikuta washaur wa kila kitu they think they understand everything situation somebody is going through...ndii hao nilikuwa nawachana. Anakwambia kijana jiongeze ufanye biashara like paap paap unakuwa business person simple like that... stupid motivational writers wanashinda jf kukatisha wenzao tamaa na kuweka kauzibe
 
Sasa kam ishawajua na wewe unaish kulingana na wao walivyo. Wanajamii forum wengi wamefanikiwa Kwa konekshen za humu. Muda wako bado!. Huyo muhindi wako analipaje
 
Nakula laki 4 mwanangu na nna degree bado anakata msosi wengine pepo hatutoiona maana tunalazimishwa kutenda zambi...tunatoboaje maisha haya, mtu anakuja anasema elimu yangu hainisaidii nipe kazi nzuri uone quality of my education wengine tumetoka familia duni extended family kutoboa sio easy like that hizi dharau tutakuja katana koromeo siku moja
 
Sasa laki 4 ndogo au plan ya maisha yako imekaaje?. Mana mm jamaa zangu nawajua Wana digrii na wanakula 300 tu
 
Mia 4 unatoboaje maisha haya hiyo ndio tunaita hand to mouth ukifanya la maana sana utanunua friji mlango mmoja....kodi nauli ule ulipe maji umeme ule manzi ununue sabuni jamaa yenye povu jingi hahahha labda utoboe skio
 
Hakuna mshahara unaotosha hata ungelipwa million 200 kwa sekunde ungeona bado haikutoshi kutokana na ujuzi na kazi yako, kikubwa jifunze kutosheka vinginevyo utaishia kua MWIZI
 
Unajieleza sana piga kazi toa sadaka utafanikiwa.
Wewe ni mmojawapo Kazi yako ni kupita kila post kutukana watu wanaotafuta kazi una roho ya kichawi you ain't that smart una ulemavu fulani kutilia watu kauzibe jobless flan wew huna lolote kwenye maisha haya so idle get busy pure mswahili roho ya kutu roho ya kwa nn unajipa umuhimu nakuchana mwanangu nakuombea mabaya yote dunia hii yakukute ujifunze dunia ee mwenyez Mungu mpe mitihani huyu kiumbe apate kila baya kama navyowafanyia wenzie amen
 
Hakuna mshahara unaotosha hata ungelipwa million 200 kwa sekunde ungeona bado haikutoshi kutokana na ujuzi na kazi yako, kikubwa jifunze kutosheka vinginevyo utaishia kua MWIZI
Mimi mil 1 inatosha kufanya mambo yangu basic kabisa sina tamaa nimeumbiwa kidogo so kidogo kinanitosha nigee kama unayo kaz ya mil ion wiz nimeacha bob yale ni mapito tu
 
Wewe ni mmojawapo Kazi yako ni kupita kila post kutukana watu wanaotafuta kazi una roho ya kichawi you ain't that smart una ulemavu fulani kutilia watu kauzibe jobless flan wew huna lolote kwenye maisha haya so idle get busy pure mswahili roho ya kutu roho ya kwa nn unajipa umuhimu nakuchana mwanangu nakuombea mabaya yote dunia hii yakukute ujifunze dunia ee mwenyez Mungu mpe mitihani huyu kiumbe apate kila baya kama navyowafanyia wenzie amen
Sonofobia umeamka na mawenge Leo. Hangover au ndo mavibe ya kusema ukweli?

Laki 4 tuliza akili mkuu mm Niko nalipwa hiyo lakin ntatoboaga tu.

Private sector kwenye mishahara Zina Hali mbaya. Wengi wanastrago lakin kitakachokutoa hapo ni plans earning haitoshi. Mana mm nikipokeaga mshahara nakumbuka pis Kali, na nazihonga kwelikweli
 
Huku umeongea point sana. Mkuu huko kwa muhindi vipi? Unaweza kuniforcia nafasi? Mwezi wa kulipa kodi huu halafu sina mbele wala nyuma. 400k per months seems sufficient for now.
Hapa kazi kamlete lakn ww si umetoka kunichana thread nyingine unanipa ushauri kumbe na ww ni jobless
 
Unajua vijana hamjitumi kijana una degree unaomba kazi ya hovyo. Ningekusaidia ila ujanifata PM (mtu anaesaidia hana manyanyaso)....ndio maneno yao kila siku na kwa kila mtu.

Guys Ili ni jukwaa la kazi yani waomba kazi na watoa kazi wanakutana. Kwa nini utoe maneno ya kejeli kwa mwenzio. Ajira ni ngumu Sio kwamba kuna mtu anapenda kuwa low kiasi cha kuombaomba asaidiwe.

Mimi niliachaga kazi aisee mtaani pasikieni tu unaamka hauna hata mia 5 na hakuna kitu unaweza fanya circle ya ofisini na wana wanasepa simu hawapokei watapokeaje mtu kila call yake nu malalamiko lakini sio malalamiko anajarib kutoa sumu you must have to be smart to understand...niliingia mpak michezo ya kuzebenza magodaun tunaongea na mlinzi tunamweka tambala tunamgalagaza anatufungulia tunatoa mzigo chupu chup mazee 6feet under ndo nikatubu nikarud kwa mhindi nilikuwa napotea.

So mtaani ni kubaya acheni kuongea taarab huna chochote unaweza mshaur mtu maisha wa2 wamepitia mengi wewe kila sehem unatoa ushauri au na wewe ni jobless hutak wenzio wasaidiwe mwingine eti nilitaka unipm nikurushie hela ya kuchapisha wasifu na bando la barua pepe hahahaha sis sio wajinga.

Waafrika ni viumbe wenye roho mbaya sana 🚮🚮🚮
Elimu haileti mtaji mtaji una njia zake za kuupata lazima uwe na kitu cha kukubeba nafanya kazi ya hand to mouth unaniambia nichange mtaji labda miaka 10 😅😅😅

Wacha tuingie mzigoni muhindi hana huruma unachomwa na moto asubuhi mpaka jion na hakuna bima ya afya salary dusko wengine 40 sijui km tutatoboa.

Ila kuuza bisi kuonjesha watu stendi hahahaha hiyo mie hapana ata mm ningechomoa
Umeongea uhalisia kabisa mkuu..
Humu watu ni ushauri tuu.. hovyo kabisa
 
Ukweli ni kwamba vijana wasasa mnapenda sana kulalamika, then mnakaujuaji flani ka kipuuzi sana na wakati woooote mnaona kama mnaonewa sanaaaa......
By the way, hiyo degree yako ukiona imekufanya wa thamani sana basi nenda ukaile au ibadilishe ikuliletee pesa kama unavyo taka.
Vijana hamtaki kuanzia chini kisa tu una degree...rubbish empty set kabisa...🤥
 
Hapa kazi kamlete lakn ww si umetoka kunichana thread nyingine unanipa ushauri kumbe na ww ni jobless

Alooo😂 mkuu jana umelala wapi? Kweli unataka kuninyima deal kisa kukuchana? Kwanza wapi nimekuchana? Unanichanganya na 92 Jerrie sijui.

MPIRA PASI MKUU, OKOA JAHAZI. TUNADHARAULIKA SANA NA VI DEGREE VYETU.
 
Back
Top Bottom